We mteja muulize FUNDI wako akupe sababu ya kuchagua Aina aliyoichagua katika kusuka nondo ya nyumba yako .
Ili ujue na madhara yake. (Technical reason ni Bora zaidi ye economic reason).
Angalia...
BASHUNGWA ATOA MWEZI MMOJA KWA WAHANDISI WOTE NCHINI KUWA NA LESENI.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewataka Wahandisi na Washauri elekezi wote nchini kuhakikisha wanakuwa na leseni...
Waziri Mhagama: Serikali Kujenga Chuo cha Ufundi VETA, Kata ya Liganga
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho amesema Serikali imefanya...
BASHUNGWA AAGIZA MKANDARASI ALIYEDHULUMU MFANYABIASHARA ATAFUTWE NA KUCHUKULIWA HATUA.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amemuagiza Msajili wa Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB)...
Habari wakuu, nimekuja kwenu nikiwa na uhitaji wa kiwanja kwa maeneo ya dar. Sitaki chanika Wala chamanz, pendekezo langu ni kimara, mbezi hadi kibamba, kiluvya nk (target morogoro road)
Offa...
Wakuu nimejipanga na bajeti ya milioni 5 hadi 8 kwa ajili ya kununua kiwanja, maeneo ya DSM au Pwani kulingana na upatikanaji utakavyokuwa, bahati nzuri mimi nafanyia kazi nyumbani so hata eneo...
Wakuu habari za hapa,ninauza ramani ya kuanzia maisha ,ramani ya vyumba viwili,KIMOJA master,jiko,sebule, choo cha public. Ramani hiyo Ina kurasa za paa,msingi,muonekano,na vipimo vyake. Kwa...
Wakuu ameni iwe kwenu.
Wakuu nimefanya uchunguzi wangu ambao siyo rasmi nimegundua nyumba karibia zote kwa mji ninaoishi hazijawekewa KINGA RAD isipokuwa majengo ya benki tu ndiyo yamewekewa...
Nakaribia hatua ya uezekaji, ila uwezo wa kununua ALAF naona sina, kuna mabat mengi yanatangazwa kama Dragon, Taishan, sunbank, Kinglion, Mabati Bomba, Kiboko etc..ni Kampuni gani angalau ina bati...
MBUNGE NGASSA: "HONGERA RAIS DKT. SAMIA, HONGERA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)"
" .... Jana Wizara ya Nishati, Waliwasha Mtambo namba 9 kwenye Bwana la Umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP) kwa ajili ya...
Kwanini hivi huwa hata ujenge ghorofa mjengo wa milioni 200 wa kuishi Chamazi, mmbande, mbagala hadi Vikindu bado tu itaonekana ni kama umechezea hela? Au umejenga sehemu isiyo faa au lazima...
MBUNGE SAASHISHA MAFUWE: MILIONI 300 KUJENGA DARAJA MACHAME
Daraja la Makoa lililopo Machame, ambalo limejengwa kipindi kirefu na ambalo lilikua ni kero kubwa imeanza kujengwa upya kwa gharama ya...
BASHUNGWA ATOA MIEZI MIWILI KWA MKANDARASI KUKAMILISHA DARAJA LA MTO RUAHA MKUU - KILOMBERO
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa miezi miwili kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/s Reynolds...
Mbunge wa jimbo la Urambo mkoani Tabora, Margaret Sitta ameiomba Serikali kutenga fedha kwa ajili ya ujenzi wa nyumba za walimu hususani wale wanaoishi maeneo ya vijijini kwa kuwa wanakumbana na...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), kuwachukulia hatua Mameneja wa Mikoa wanaoshindwa kusimamia usanifu wa kina na ujenzi wa barabara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.