Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Angalizo; Hii picha ya mtandaoni, kwa hiyo msitumie muda mwingi kuwasimanga waliojenga bali weka majibu ya kitaaluma.
2 Reactions
2 Replies
428 Views
Habari wakuu natumai mko poa kabisa Moja kwa moja Nataka kujua kuhusu viwanda vya kutengeneza machine mbali mbali za ujenzi mfano zile za kuchanganya zege (za umeme) vilivyopo hapa (home land)...
0 Reactions
0 Replies
182 Views
Tunahusika na ujenzi wa: 1. Pavement blocks za maua mbalimbali (kufyatua na kupanga) 2. Kujenga kegbstone(bouder blocks) na kudesgn garden🌺🌱 3. Tunafanya renovation (paving zilizotitia) na...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya kuupima mziki wa ghorofa na kuona ni kina kirefu sasa nahamia rasmi kwenye mabangaloo aka Freemason. Kuna floor plan ya huyo mwamba hapo. Naombeni maoni yenu na kukosoa kwingi kabla...
13 Reactions
73 Replies
6K Views
Habari ndg zangu. Ninaomba tiba ya fangasi kwenye nyumba ambayo tayari imeathirika na fangasi ya ukutani. -rangi na tofali vinapukutika kutokana na unyevu wa maji. Ahsanteni.
1 Reactions
7 Replies
987 Views
Ni katika harakati za kujenga nyumba ya ndoto tangu. Iko hivi....nina kipato cha kawaida sana. Nikeshajenga nyumba ambayo ni sehemu ya nyumba kubwa. Nyumba tarajali ina floor moja. Kwa sasa...
1 Reactions
5 Replies
419 Views
Nataka kuweka vyoo, naomba ushauri wapi niweke vya kukaa na wapi niweke vya kuchuchumaa kwenye vyumba vifuatavyo 1. Public toilet 2. Watoto 3. Master Naomba na sababu?
4 Reactions
85 Replies
12K Views
NIMEKWAMA NAUZA ENEO LANGU KIBAHA KWA MFIPA. LIKO SEHEMU NZURI HUDUMA MUHIMU ZIPO. NGUZO MBILI ZA UMEME MPAKA SAITI. MCHANGA UKO HAPO HAPO TOFARI MAPAKA SITE TSH. 750 MAJI YAPO JIRANI TUPO KWENYE...
1 Reactions
9 Replies
962 Views
Je, ni kwanini watanzania wengi lazima tuweke magrill kwenye nyumba zetu mbona marekani ujambazi ni mwingi kuliko kwetu lakini hawawekagi magrill kwenye madirisha? Je, unaweza kuishi kwenye...
16 Reactions
124 Replies
11K Views
BASHUNGWA AAGIZA TIMU YA WATALAAM KUREJESHA MIUNDOMBINU LINDI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi Eng. Aisha Amour kupeleka timu ya wataalam...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
SERIKALI YAWAKINGIA KIFUA WAKANDARASI WAZAWA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA BENKI YA DUNIA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameiomba Benki ya Dunia kupitia upya masharti ya manunuzi katika...
1 Reactions
4 Replies
367 Views
Ngazi ni "structure" inayonijitegemea unapokuwa Una designing (it's independent structure). Unaweza kuanza kujenga ngazi kabla yakujenga kitu kingine kama NGUZO au kuta.
0 Reactions
5 Replies
612 Views
📍 Igunga, Tabora IGUNGA: TUTAFIKA MWAKA 2025 TUKIWA TUMEMTUA MAMA NDOO KICHWANI Mabomba kwa ajili ya Upanuzi wa Mradi wa Maji ya Ziwa Victoria kutoka Bomba Kuu kwenda Vijiji na Vitongoji vya...
2 Reactions
2 Replies
807 Views
Habari wakuu. Kwanza tutoe pongezi kwa uongozi wa Jamii Forum kutuwekea jukwaa maalum la ujenzi, jukwaa tulolisubiri kwa kitambo. Tunalo tiper la mchanga, hivyo tuna ukaribu wa mchanga. Pia...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa siku nne kwa Mameneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) nchi nzima kufanya tathmini na ukaguzi wa madaraja, makalvati na barabara kuu zote ambazo...
0 Reactions
1 Replies
318 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameutaka Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa wa Lindi kuhakikisha wanamsimamia Mkandarasi wa Kampuni ya China Railway 15 Bureau Group anayejenga barabara ya...
0 Reactions
0 Replies
335 Views
Moja kwa moja kwenye mada, hiyo ramani nimejenga msingi umekamilika.nilikuwa na matumaini mambo yangekuwa sawa nijenge boma niezeke lakini mambo yamegoma. Kwa milioni TATU nifanyeje ili nikaishi...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakulungwa kumekuwa na matangazo ya nyumba mpya zinazouzwa Chanika, Chamazi na kwingineko kila kona sasa watu wengi sana wamekuwa na hofu wakitaka kufahamu usalama wa hizi nyumba isijekuwa kuna...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Ikiwa serikali imechukua eneo lako na kulipa fidia, kuna hatua kadhaa unazoweza kuchukua kuhakikisha kuwa unapata haki yako stahiki. Hapa kuna miongozo kadhaa: Thibitisha Malipo:Hakikisha kuwa...
0 Reactions
1 Replies
643 Views
Back
Top Bottom