Habar wanajamii, poleni na majukumu, Matumaini yangu mnaendelea vizur kwa wale wenye changamoto mbalimbali poleni.
Naomba kuuliza kitu kimoja, Je ukitaka kupata raman ya sehem husika unaipataje...
Wakuu habari ya kazi, kijana wenu nimekuja kupata experience na ushauri kuhusu ujengaji wa nyumba.
Kati ya kujenga nyumba kwa tofari choma ambazo kwa huku nilipo tofari mpaka site ni shilling...
Habari
Nahitaji kampuni inayouza viwanja vizuri kigamboni.
Nia nikukunua kiwanja kikubwa kizuri na itapendeza zaidi kama watakuwa na utaratibu wa kulipa kidogo kidogo.
Shukrani.
Wakuu huyu jamaa simjui vizuri Ila nahisi ni mtumishi wa Serekali, kwanza kiwanja chake ni kikubwa kuliko changu Ni square meter 1200 na changu Ni square Mt 800.
Sasa kinachonipa mawazo Ni juu ya...
WIZARA YA UJENZI YAJIPANGA KUFANYA MATENGENEZO MIUNDOMBINU ILIYOATHIRIWA NA MVUA NA KUPUNGUZA FOLENI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2024/25 Wizara...
Wadau habari zenu, katika harakati za kujitafuta kama kijana nimepata kiasi flan cha pesa nataka kujenga. Bajeti ya kiwanja ni 4 M to 5M.
Nahitaji kupata kiwanja maeneo hayo ya maili moja sababu...
Habari wadau,
Naomba msaada wa gharama za ujenzi wa nyumba ya vyumba 2(self), sitting room & kitchen.
maeneo ya Mwanza Busweru.
Habari zenu, Naomba kujuzwa rough estimate za kujenga nyumba ya...
Wiki iliyopita nili tafuta fundi mtaani aniwekee double socket Kwa room ambayo nilikuwa naitaji nyongeza ya socket ya kuweka tv ukutani, Sasa fundi akaja usiku sa mbili kupanda darini ,ilibidi...
UWANJA WA NDEGE WA KIA SASA KUSIMAMIWA NA TAA BAADA YA KADCO KUMALIZA MUDA WAKE
Mhe. Condester Michael Sichalwe, Mbunge wa Jimbo la Momba leo tarehe 11 Novemba, 2023 ameshuhudia Makabidhiano kati...
Wataalam,
Asiwadanganyeni mbwa yeyote kukaa kwa baba mkwe jau sana...Hii nyumba nayoishi masaki ni ya baba mkwe, Sasa juzi kati luku iliisha nikampigia kumuomba anunulie nyumba yake umeme,looh...
BARABARA YA MAFINGA - MGOLOLO (KM 81) MKABATA KUSAINIWA KESHO DODOMA
Mikataba ya ujenzi wa barabara saba (07) ambazo zimekuwa zikiongelewa kwa muda mrefu katika majukwaa mbalimbali ikiwemo ndani...
MAKALA YA 6
Karibuni tena katika Makala ya ujenzi. Leo tujifunze machache juu ya Udongo wa Mfinyanzi na Uhusiano wake katika Ujenzi
1.Mfinyanzi ni moja kati aina kuu tatu za udongo.
-sifa aa...
Habari wana JF
Karibuni kwenye Ardhi special thread huku tutapeana taarifa mbali mbali kuhusiana na Umiliki wa viwanja na Mashamba
Pia tutapeana njia mbali mbali za kufanikisha maswala ya...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kuhakikishia anasimamia masuala ya usalama katika vivuko vyote nchini ili...
Habari,
Kama nina nyumba ya kawaida tu siyo ghorofa na sitaki kuibomoa ila mahali hapo hapo nataka juu ya nyumba hii nijenge nyumba nyingine ambayo haitategemezwa na nyumba hii ya zamani kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.