leo nakupa ushauri kuhusu contemporary house
Contemporary house
Wengi wanadhani kuwa ni nyumba ya gharama nafuu lakini sio kama inavyofikiriwa unafuu wake upo kwenye kupaua tu
Endapo mtu...
Inatamanisha kutumia chuma katika kuezeka au kukamilisha ujenzi wa majengo na utengezaji wa samani kama vitanda, meza, makochi n.k.
Lakini malighafi ya chuma ni gharama sana na inaweza kukupatia...
Aisee ujenzi wa kanda ya ziwa unaweza kujiuliza yule fundi kafikaje juu ya paa.
Nyumba inajengwa vizuri ila upande wa kuweka bati ilibaki kidogo kuwa na usawa wa gorofa moja.
Tupeane Uzoefu wa Tabia za Wenyeji wako, ulizo kutana nazo kwa Jiran yako wa mpakani au mtaa ulio jenga na kuhamia au ulipo nunua kiwanja umepokelewaje? Vipi wenyeji wa pande zote za nyumba au...
BARABARA YA NANENANE - TUNGI MOROGORO KUFANYIWA UKARABATI MWAKA MPYA WA FEDHA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni...
Salaam wana jukwaa,
Kuna eneo(kiwanja) nahitaji kununua sehemu. Ila ni kama kuna utata kuwa ni kwaajili ya makazi au biashara au yamkini ni eneo la serikali kwasababu kipo karibu na eneo la soko...
Habari wakuu, kwa mara ya kwanza nilijenga nyumba 2 in 1 mkoa wa Morogoro, kwakuwa lengo ilikuwa kuzipangisha maana sikuwa nimetulia kimaisha nilizizungushia uzio wa matofali na kuziwekea mageti...
Wakubwa poleni na mjukumu na wezangu habarini za mihangaiko.
Kama mada inavyojieleza, nina kiwanja kipo eneo zuri tambarare kiasi hali twamishi maji yani kuna kamwinuko.
Asili ya udongo ni...
Wanajf ninaomba ushauri wa haraka wa nini kifanyike kwani kuta za kakibanda kangu kaliopo Katavi mahali ambapo matetemeko makubwa ya ardhi mithili ya mabomu yanapita Mara kwa Mara zimetoa nyufa...
Ndugu zangu nimekuwa nikipigwa na shoti kwenye kitanda cha chuma wakati napanda au wakati ninaposhuka chini nikigusa chini kunakuwa na shoti.
Tatizo hili linasababishwa na nini na jinsi gani...
Nimejaribu kufikiri lakini sijapata majibu.
Je, suala hili Ni coincidence au Kuna kuambizana?
Mfano kwa Dar es Salaam, maeneo Kama Masaki, Oysterbay, Mikocheni, Upanga, Mbweni, Msasani, Kijichi...
Nimezoea kuona bongo watu wakibomoa bomoa msingi au kuta walizojenga ili wapitishe mabomba ya maji na choo.
Hivi haiwezekani kutengeneza plan ya maji safi na taka na kujenga mfumo maji na taka...
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita ni kukuza uchumi wa Sekta binafsi inayochangia makusanyo ya kodi ambazo...
Katika uchaguzi wa Rangi ya nje ya nyumba jambo muhimu ni kuchagua rangi zinazomech vzuri na paa/bati lako ili kupata muonekano maridhawa.Kama inavyoonekana pichani hizo ni baadhi ya rangi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.