Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

BASHUNGWA AMUONDOA MKANDARASI WA BARABARA KATIKA KIWANDA CHA SUKARI MKULAZI-MOROGORO Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameuagiza Wakala wa Barabara (TANROADS) kumuondoa Mkandarasi wa kampuni...
1 Reactions
3 Replies
372 Views
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameelekeza mamlaka wa viwanja vya ndege Tanzania (TAA) kuvunja mkataba na Mkandarasi anayejenga jengo la abiria la kiwanja cha ndege cha Ruvuma kutoka na...
1 Reactions
4 Replies
351 Views
BASHUNGWA: MITAMBO YOTE NA WATAALAM WAWE ‘SITE’ NDANI YA MWEZI MMOJA - MLIMBA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/s Henan Highway Engineering...
1 Reactions
4 Replies
420 Views
Habari wakuu, Nina kiwanja changu cha cha 20 kwa 30 ambacho hakijapimwa, kipo level kabisa maeneo ya tegeta-Dar es salaam, sasa nataka nikipime niweke na bikoni, mwenye uelewa kuhusu gharama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam wakuu. Katika pitapita zangu mitandaoni huku na kule, nilikutana na mjengo fulani wa macontainer. Kwa haraka haraka nikapiga hesabu nikaona ni more affordable kama unakimbia maisha ya...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
TANZANIA NA MISRI KUSHIRIKIANA KATIKA UJENZI NA UKARABATI MIUNDOMBINU YA BARABARA. Tanzania na Misri zimekubaliana kushirikiana katika ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya Barabara na Madaraja...
0 Reactions
0 Replies
442 Views
MAJI YA BOMBA YAENDELEA KUSAMBAZWA MUSOMA VIJIJINI Serikali kwa kupitia RUWASA na MUWASA inaendelea kusambaza maji ya bomba kutoka Ziwa Victoria kwenda vijijini mwetu. MUWASA imepewe jukumu la...
0 Reactions
1 Replies
290 Views
Wandugu kuna jamaa wananikusanyia Mchanga , Sasa kwa wajuzi naomba msaada, fuso moja linajaa ndoo ngp za mchanga? Ili nipate hesabu sahihi. Asante kwa anayejua..!
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu! Kwa mafundi au mtu yeyote mwenye uzoefu, naomba kujua nyumba ya vyumba vinne inachukua tiles kiasi gani? Just makadirio.
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mbunge Twaha Mpembenwe: Force Account Idhibitiwe Katika Kutekeleza Miradi WABUNGE wametilia shaka matumizi ya Force Account katika kutekeleza baadhi ya miradi ya Serikali. Wawakilishi hao wa...
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Wakuu Kwema? Kuna haya mashimo ya choo wanayosema hayajai. Inawezekana kweli hayajai au yanajaa kwa kuchelewa lakini naona kama yanakuzwa sana Gharama zake. Yaani nikijaribu kuangalia materials...
12 Reactions
103 Replies
24K Views
Habari wadau! Naomba kuuliza ukiwa na TZS 20 Milioni na unataka kujenga nyumba ya Vyumba 3 na Master unaweza kuanza na kufika hatua Gani? Ntashukuru kama mtanipa estimate za kila hatua Asantee
5 Reactions
149 Replies
32K Views
Heri ya mwaka mpya nyote. Kwa TSH 4mil inaweza nifikisha hatua ipi katika kuiendeleza hio nyumba. Inavyumba vitatu na Choo cha public UKubwa ni 15*16 NB: Nimesha nunua Bati, mbao za kupaua na...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari kwenu wajenzi wa JF, naweza simamisha mijengo Yenye hii ramani Kwa fedha kiasi gani?
0 Reactions
3 Replies
604 Views
WAZIRI BASHUNGWA: BARABARA YA RAMADHANI – IYAYI KM 74 (WANGING’OMBE) KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amesema kuwa Serikali inakwenda kuijenga kwa kiwango cha...
0 Reactions
1 Replies
571 Views
BARABARA YA MBEYA - MKIWA KUENDELEA KUJENGWA KWA AWAMU. Naibu Waziri wa Ujenzi Eng. Godfrey Kasekenya amesema Serikali inajenga kwa kiwango cha lami barabara ya Mbeya - Chunya - Makongolosi -...
0 Reactions
4 Replies
442 Views
MBUNGE JULIANA MASABURI AIBANA WIZARA YA ARDHI KUHUSU KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KATIKA MALIPO YA UPANGISHAJI NYUMBA Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mbunge wa Viti Maalum, ambaye swali lake namba 15...
0 Reactions
1 Replies
320 Views
Waziri Mhagama: Ujenzi wa Nyumba za Waathirika wa Maafa Hanang’ Uzingatie Ubora na Thamani ya Fedha Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu...
0 Reactions
0 Replies
308 Views
Wadau, Naomba ushauri au mawazo yenu. Nataka kununua kiwanja cha kujenga nyumba ya maisha, sasa kuna hizi sehemu mbili. Kigamboni Gezaulole na Goba. Ipi ni sehemu sahihi?
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Salaam wakuu, Naambatisha hapa picha ya ramani ya paa( hiddenroof) naomba wataalamu wetu wanisaidie kunipa makadirio ya idadi ya bao na mabati inayohitajika ya hiii nyumba. Ikiwezekana pia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom