Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara (TANROADS), Eng. Mohamed Besta kufanya tathmini ya eneo la Mtanana katika barabara kuu ya Morogoro – Dodoma...
Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kujenga na kupanua Miundombinu ya Viwanja vya Ndege ili kujihakikishia utoaji wa huduma ndani ya nchi na nchi Jirani
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri...
Hii inamhusu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi; Mheshimiwa watu wako wataangamia kwa kukosa maarifa!
Kuna watu wanafanya biashara ya kutengeneza na kuuzwa matofali kila mahali. Ni...
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi inaandaa Mpango Mkuu (Master Plan) wa Miundombinu ya nchi kulingana na mahitaji ya kiuchumi na kijamii itakayowezesha kurahisisha usafiri na usafrishaji kulingana...
Habari wakuu.
Nimekua nikiona members humu wakiulizia kuhusu idadi ya material kwa nyumba.
Sasa kwa ufupi ukitaka kupiga hesabu kwa uhakika unatakiwa kujua
1. urefu (running meter) wa nyumba...
Habari wakuu.
Nimeona kuna post za members kutaka kujua idadi ya material ya nyumba. Sasa Ili kuanza ujenzi unatakiwa kuwa angalau na idadi ya material ya kuanza kujenga mpaka kupaua. Kisha...
Wakuu wasaalam
Mwezi huu nimefanikiwa kupaua nyumba yangu, kuweka magrill, kuchimba shimo la choo na nina mpango wa kupiga plasta nadni na nje pamoja na jamvi. kinachoniumiza kichwa mwezi Januari...
Kuna kampuni inaitwa noble real estate wanuza viwanja madale kwa sh 40,000 kwa square meter, nataka kiwanja cha 800sqm ambapo jumla ni 32M, ukizingatia ni pesa nyingi na ni saving yangu na mikopo...
habari za jioni wadau heri ya mwaka.mpya naomba kuuliza kama nimepata coordinate za eneo usiku kwaajili ya kurasimisha kiwanja changu nawezaje kupata ramani ya mipango miji ya eneo husika na...
kwema wakuu,
Mdogo wenu huu mwaka nimejitafuta nataka nikanunue uwanja mwsho wa upepo uko ndani ndani.
Sasa sijui chochote kuhusiana na kununua uwanja naombeni mnipe muongozo mdogo wenu napoenda...
Habari ya wakati huu, poleni na hongereni pia na harakati za kila siku na nawatakia heri na pongezi za msimu huu wa sikukuu
Uzi huu uko inspired na nyuzi mbali mbali kutoka hapa jf, lakini zaidi...
Hi,
Kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata connection ya nyumba NHC mkoa wa Dsm, nahitaji kupanga katika hizi nyumba mda wowote kuanzia sasa. Naombeni msaada wenu please, naamini wapo wapangaji...
Kuna uzi humu tuliwahi kuchangia jinsi majrani wanavyoleta tafrani ya mipaka kwa sababu ya maisha yao duni.
Hivi na nyie mmewahi kukutana na adha hii ya kujenga kamjengo kako ka ndoto zako lakini...
Salaam,
Re bagging kwa tafsiri ya kiingereza…to unbag an item and put it in another bag, or to put an item back into its bag na kwa tafsiri isiyo rasmi ya lugha ya kiswahili ni kutoa kitu kwenye...
Kila mtu ana dream yake
Muda mrefu saana niliona nyumba mbali mbali walizojenga watu lakini kiukweli hazikunishtua mshipa ht kidogo
Sasa hivi karibuni tiktok niliona jengo fulani...
Habari.
Muda wa ku renew bima za vijibanda vyangu umekaribia ila kusema ukweli kampuni niliyopo niliingia tu kwa ushawishi wa rafiki yangu anayefanya hapo ila natamani kujua kama kuna kampuni...