Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

MBUNGE wa viti maalum Mkoa wa Dar es Salaam, Janeth Masaburi ameitaka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini ( TARURA) kuhakikisha inafanya kila jitihada ya kutatua changamoto za Barabara korofi...
0 Reactions
2 Replies
596 Views
Ni kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room. Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu. Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni...
6 Reactions
67 Replies
5K Views
Anahitajika fundi pikipiki mzuri mwenye uzoefu wakutengeza pikipiki aina zote Location: makumbusho jirani na standi ya mabasi Kwa aliye teyari tuwasiliane phone no 0693598467 Nb: asiwe...
0 Reactions
3 Replies
429 Views
Habari. Nina nyumba ninataka kuiuza. Ila kiwanja kimeshapimwa lakini hati ya umiliki bado haijatoka. Je, ninaweza kuuza bila ya hati ya umiliki kutoka? Na ni taratibu gani ninatakiwa kuzifuata...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Je, ni bora kununua za kichina ambazo zinazalishwa nchini kwa viwanda vya hapa nchini ama kununua za kutoka nje ya nchi mfano Spain, Italy n.k.
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa ufafanuzi wa Changamoto iliyotokea katika daraja linalounganisha mkoa wa Pwani na Dar es salaam katika barabara ya Tegeta kuelekea Bagamoyo kwa kueleza...
0 Reactions
3 Replies
539 Views
Tuambie namna uliuziwa ardhi yenye utata ilikuaje, na ulitatuaje hiyo changamoto?
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Kuna huu mradi wa Kigamboni wa nyumba unaoitwa Hamidu City kiukweli umenivutia sana kutokana na uzuri wa eneo na udogo wa bei? Mbona hizi nyumba hazinunuliki na bei ni ndogo sana tangu...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Naombeni mawazo au ushauri kulingana na ramani ya nyumba kutoka kwa architect wangu, naamini kuna vitu vya kuzingatia mapema kulingana na huu mchoro kabla ya kufanya maamuzi ya kuanza ujenzi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wataalamu wa ujenzi, nimeweka tiles nyumbani kwangu,lakini baada ya miezi miwili kupita vinatokea hivi vitu. Ni kama maji lakini ni mazito kiasi yanavutika,yakikauka yanaacha rangi nyeupe,hata...
0 Reactions
77 Replies
5K Views
Hapa naomba ieleweke ninamaanisha mafundi wa fani zote yani kushona, plumbing, visima, mapambo, umeme, selemara, rangi, ujenzi, bati n.k Kuna ugumu gani kufanya kazi yako kwa uaminifu bila kuleta...
0 Reactions
12 Replies
795 Views
Nmeezeka nyumba yote lakini milango na madirisha naona bajeti yangu bado ndogo sana Nipo na laki 8 mfukoni mawazo yananiambia nimalizie master bedroom nipige gypsum roof floor na plaster na Choon...
3 Reactions
35 Replies
6K Views
Habari wadau muhimu wa ujenzi. Niko kwenye hatua za kupaua baada ya kupambana na boma. Sasa ombi langu ni kujua idadi ya mbao zitakazotumika kwenye mjengo wangu. Nyumba ina urefu wa futi 37 na...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Habarini wadau. Nimemaliza kuezeka ila kwa hizi mvua zikinyesha sana na ikiwa na upepo, kuna dalili ya matone ya mvua /maji naona yanadondoka kwa ndani. Japo mvua ikiwa sio ya upepo hio kitu...
0 Reactions
3 Replies
973 Views
- Habari wajenzi Mwaka huu nimefeli kuanza ujenz(na kutizma lengo) lakn panapomajaliw mwakan Natumain jambo langu hii nitalifaniksha Ujenz ni :- Nyumba ya vyuma 3 + /master bedroom na single...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
SERIKALI KUFUGUA WILAYA YA RUNGWE KWA BARABARA ZA LAMI Serikali imesema inaenda kumaliza kero ya wananchi wa wilaya ya Rungwe kwa kuikamilisha ujenzi wa barabara ya Katumba-Mbambo-Tukuyu (km...
1 Reactions
4 Replies
754 Views
Salamu, wapendwa, Miaka imekuwa mingi sana sasa nimekuwa nikishi kwenye nyumba ya banda umiza sasa wakati wa kujenga nyumba angalau ya kueleweka umewadia. Najua humu kuna mafundi professional na...
2 Reactions
6 Replies
471 Views
Habari wakuu, Kwa wataalamu wa ujenzi milioni 35 itaifikisha nyumba hatua gani? Ni nyumba ya vyumba 3 kikiwemo cha master, dining, jiko na stoo.
4 Reactions
28 Replies
5K Views
Serikali Kutumia Bilioni 900 Kwaajili ya Ujenzi, Uboreshaji na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafiri na Usafirishaji kwenye Bandari za Maziwa Nchini. Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya...
0 Reactions
1 Replies
374 Views
Back
Top Bottom