Waziri Tabia Mwita Aipongeza Tanzania Youth Icon (TAYI)
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita ameupongeza Uongozi wa taasisi ya Tanzania Youth Icon (TAYI) kwa...
Habari wa ndugu wa jamii forums , nipo hapa kuomba kwa mwenye mabati used yaliyo na hali nzuri awasiliane na mimi
Mawasiliano. 0672701329
Nahitaji pc 50 hivi
Asante...
Wakuu habari za wakati huu.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Baada ya Kupambana na Mungu kuniwezesha kupata kiwanja. Natamani sana kwa mwaka ujao Mungu anisaidie nianze ujenzi.
Ila...
KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Simiyu imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya Maji inayofanywa na Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mkoani humo ikiwa...
SERIKALI YAJENGA DARAJA KUUNGANISHA VIJIJI VINNE MEATU, SIMIYU
Serikali Kupitia Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini (TARURA) imetoa kiasi cha shilingi Mil. 197 kwa ajili ya kujenga daraja la...
MBUNGE GEOFFREY MWAMBE AZINDUA ZAHANATI MATAWALE
• Imegharimu Milioni 200
• Wananchi wampongeza
Mbunge wa Jimbo la Masasi Mjini Mheshimiwa Geoffrey Mwambe, leo amezindua zahanati mpya katika...
Wakuu,
Naomba msaada, nafanyaje ili kuzuia hii hali ya nyasi kuota kwenye maungio ya paving blocks ambazo zimekwishawekwa?
Kadri mvua zinavyonyesha majani yanastawi sana kwenye maungio inakuwa...
Naomba nipate uzoefu. Ni mipira ipi bora kwa kazi za kumuagilia nyumba wakati wa ujenzi kwa kuzingatia vigezo vufuatavyo:
I) Kampuni inayotengeneza (aina ya mipira)
ii) Milimita za Mpira...
Huu ni ukweli mchungu,kama bado hujajichanga na kuweza kununua kiwanja kilicho sehemu salama ni bora uendelee kutafuta hela ya kuongezea ili kupata kiwanja eneo salama,watu wengi wameingia hasara...
Serikali kupitia ofisi ya Rais TAMISEMI imeahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 20 ili kuimarisha kivuko cha cha Magole/Mwanagati kilichopo katika kata ya Mzinga Halmashauri ya Ilala mkoani Dar...
Waziri wa ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), kuhakikisha kuwa Wakandarasi wasumbufu na wababaishaji hawapewi kazi za ujenzi wa barabara...
Ningependa kujua makadirio ya bati ya nyumba ya aina hii:
Nyumba ina:
Upana wa 15.5m
Urefu wa 10m
Bati za mita tatu
Style ya bati sio za kwenda juu kama za siku hizi. Mfano wa urefu na style ni...
Naomba nipate uzoefu. Ni mipira ipi bora kwa kazi za kumuagilia nyumba wakati wa ujenzi kwa kuzingatia vigezo vufuatavyo:
I) Kampuni inayotengeneza (aina ya mipira)
ii) Milimita za Mpira (unene)...
Habari ndugu zangu. Leo nimekuja kwenu kuomba wajuzi wa mambo ya ujenzi.
Nina boma langu limenisotesha kulimaliza mpaka kozi 12.
Sasa hatua inayofuata ni kupaua. Hitaji langu ni kujua idadi ya...
Nimemaliza siku 30 toka nipewe termination lakini hawataki kunilipa hela ya likizo pamoja na nauli ya kunirudishwa walikonitoa nimesaini toka terehe 6 mwezi wa kumi mpaka sasa wananizungusha...
Habari wakuu,
Nimefikia kwenye hatua ya kupaua kabanda kangu kenye ukubwa wa 13×11 naomba nijue nitatumia bati pc ngap? Na mbao 2*4 ngapi na 2*2 ngapi?.pamoja na feature body ngap.Bati nitatumia...
Wakazi wa vijiji vinne katika Tarafa ya Masasi wilayani Ludewa mkoani Njombe vinaenda kuondokana na changamoto ya kuhatarisha maisha yao kwa kuliwa na Mamba pindi waendapo kuchota maji katika mto...
Habari wanajf kwa ujumla,wakubwa shikamoo,wenzangu na mie mambo vipi poa,wadogo zangu,marahaba.Nimekuwa nikifuatilia sana mambo mbalimbali yanayohusu ujenzi na ushauri unaotolew kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.