Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Kuna hizi nyumba wazungu/Wamarekani wanazichamba balaa. Utacheka wakianza kuzichamba. Wanaziita Mcmansions(Poor man mansions). Ni zile nyumba kubwa, zina manjonjo mengi na zaidi paa linachukuwa...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Position: HR Manager location : Sapphire Complex, Sunbank mabati, Nyerere Road reports to: General Manager Role Purpose The position holder will be responsible to support the Human Resource...
0 Reactions
4 Replies
279 Views
NAIBU Waziri anayeshughulikia Afya Ofisi ya Rais-TAMISEMI , Mhe Dkt. Festo Dugange amesema Serikali katika mwaka wa fedha wa 2023/24 imetenga kiasi cha Sh Milioni 900 kwa ajili ya ukarabati wa...
0 Reactions
1 Replies
248 Views
Nahitaji kujua gharama ya madirisha ya grill. Nyumba ina madirisha 9 6×6 yapo (2) the rest ni 4x4 (7) Msaaada jamaniii
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Habarini wapendwa. Nina kiwanja maeneo ya vikawe wilaya ya kibaha chenye ukubwa wa sqm 686 na ramani ya jengo nishachorewa na architecture yenye chumba master, sebule, choo public na baraza ya...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Habari wana JF Nimepaka oil ya petrol ambayo sio nyeusi sana kwenye kenchi zangu, ila nimekuwa na wasiwasi kama zitazilinda kenchi dhidi ya mchwa au inatakiwa oil yenye weusi mwingi kama ya...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Salam, wakuu nimeweka picha ya Ramani ya nyumba ninayotaka kujenga mwakani baada msimu wa masika kuisha. Ningependa kupewa ufafanuzi juu ya gharama zote za ujenzi hadi furniture mpaka kukamilika...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
"Wizara ya Maji inatarajia kutekeleza mradi mkubwa wa Maji Ngara Mjini kwa gharama ya Shilingi Bilioni 41. Usanifu wa mradi umekamilika na unatarajia kuhudumia wananchi 170,678 waishio katika Kata...
0 Reactions
0 Replies
395 Views
Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga, Mhe. Dkt. Emmanuel Cherehani amesema kuwa jumla ya Shilingi Bilioni 1.8 za mradi wa BOOST zimetumika kukamilisha ujenzi madarasa 25 na Shule mpya 2...
0 Reactions
1 Replies
580 Views
Nitangulize shukrani zangu na heri ya Christmas na mwaka mpya kwa wanajukwaa. Kwa kawaida watz wengi tumekua tukijenga au kuplan kujenga bila kuwa na plan ya management ya majitaka.Kiukweli...
3 Reactions
1 Replies
664 Views
Habari wa ndugu wa tanzania?? Nimepitia site mbalimbali humu,ila site iliyonifanya kuwaza sana ni hii ya UJENZI,nimepitia nyuzi nyingi sana humu,yani kila niliyosoma imenifanya moyo kuuma kwa...
40 Reactions
166 Replies
14K Views
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kusaini mikataba 15 kwa pamoja ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami pamoja na Daraja zenye thamani ya shilingi Trilioni...
0 Reactions
0 Replies
328 Views
JIMBO LA KITETO: TAARIFA MAALUM KWA WANANCHI KUHUSU USAJILI WA SHULE MPYA- USAJILI WA SHULE MPYA 12 ZA MSINGI Ndugu wananchi wenzangu mnatakumbuka kuwa kwa miaka miwili na nusu ya Serikali ya...
0 Reactions
0 Replies
673 Views
Nchi zetu za Afrika zimejaliwa ardhi kubwa na ujenzi wetu wengi ni ujenzi usiopimwa. Mijjni uhaba wa ardhi umeshaonekana na kuna watu wanaoweza kubuni makazi ya watu wengi katika eneo dogo...
8 Reactions
21 Replies
1K Views
Kuna yeyote humu alie na experience na kusafirisha milango na madirisha ya mninga kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine? Je process ziko vipi na gharama zikoje?
0 Reactions
31 Replies
2K Views
AIRPOT YA IRINGA KUFUNGUA UTALII KUSINI, UJENZI WAFIKIA 82% - NAIBU WAZIRI KIHENZILE Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Mwakiposa Kihenzile amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
0 Reactions
0 Replies
411 Views
Picha ya juu ni mchoro wa nyumba tarajiwa na picha ya chini ni fundi alichotoa
3 Reactions
7 Replies
776 Views
Wakuu hii ni moja ya ndoto zangu kubwa. Nipeni maujanja wajameni siku moja kwa neema za aliye juu namimi "ninyee juu"
1 Reactions
12 Replies
1K Views
UJENZI WA SEKONDARI MPYA UNAENDELEA MUSOMA VIJIJINI: KISIWA CHA RUKUBA KIMEANZA UJENZI WA SEKONDARI YAKE Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374. Jimbo hili lina...
1 Reactions
1 Replies
463 Views
Nina kiwanja changu pahala off course ni kidogo (50 x 47 Futi) sasa nilitaka kuweka ujenzi pale! Nimemtuma fundi kufanya setting ya msingi na vipimo vya vyumba kulingana na nilivyotaka majibu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom