Baada tu ya kuunganisha bomba kwenda kwenye Septic tank ,choo kilianza kurudisha harufu ndani, ikinyesha mvua ndio kabisa kinazidi . Fundi aliyetengeneza hapatikan
Lakini vyoo vingine...
Wadau naomba kuuliza hii imekaaje maana kuna nyumba moja naishi lakini kuta zake ni baridi sanaa pamoja na sakafu ya chini (tiles) baridi vilevile kiasi kwamba ktk hicho chumba lazima nivae soksi...
Malazi haya huwa yanalipiwa kwa siku, kitanda kinaweza kuwa €20 kwa siku. Huwasaidia sana wasafiri vijana hasa wanafunzi. Kuna huduma ya maliwato, unaoga vizuri na kupata usingizi wako mnono...
Maeneo gani mazuri yenye hewa safi kununua kiwanja Vilivyopimwa kwa ajili ya makazi kwa budget ya 20M??
Maeneo ya karibu na urahisi kufikika gongo la mboto..
Wakuu! Nimewakusanya hapa nataka tushauriane kuhusu bati bora za kuezeka nyumba.
Zipo nyuzi nyingi humu nimepitia kuhusu hii mada.
Nafahamu wengi wanashauri kuezeka kwa bati za ALAF.
Lakini...
Habari,
Nimempata chumba nataka nipake rangi, niweke kapeti na mapambo, naomba ushauri nipake rangi gani?
Na kapeti inayofata pamoja na mapambo kwa chumba Cha mwanaume?
Asante
Habari za wakati huu wana jukwaa
Lipo jambo la kuwashirikisha ili niweze kupat uwelewa zaid juu ya jambo hilo na pia iwe tija kwa wana jamii wengine kupata tarifa sahih pale watakapo hitaji
Kwa...
Hivi paradiso italetwa? Au tutaileteleza wenyewe hapa duniani?
Watu wenye kusali hutusisitizia kila mara kwamba paradiso ni mahala pazuri saana 😍
Ni mahali ambapo kuna miti na maua mazuri ya...
Mimi ni mgeni jiji la Dar es salaam nimetokea Mwanza nimehamia Dar es salaam kikazi sasa nimefika kwa rafiki yangu Tabata Chang'ombe na nimetokewa kuvutiwa sana na mazingira ya hapa ningependa...
Ukijaaliwa kupata uwezo jenga kwa kutumia tofali za simenti hizi mnaita blocks maana zinadumu dahari.
Mzee wangu alijenga miaka hiyo kwa kutumia hizi tofali za blocks saivi kashastaafu anapeta...
Habari Wakuu.
Nahitaji tofali 4,800 kwa ajili ya kuweka fence ya ukuta wa nyumba, ili kupunguza gharama kidogo nimefikiria kukodisha mtu wa kufyatua kwenye site yangu. Sasa naomba anayefahamu...
Poleni kwa mahangaiko ya hapa na pale.
Kama kichwa tajwa hapo juu, naomba mwenye uelewa wa process nzima ya chipping anipe elimu kidogo, pia gharama zake kwa kuta za nyumba yenye Sqm 72, maana...
Habari wanajukwaa
Naomba kufahamu zaidi kuhusu kuezeka kwa vigae, kutoka kwa wenye uzoefu.
Swali la nyongeza: Vile vigae vya Nabaki Afrika ambavyo ni vya bati/stainless steel ila vimepigwa...
Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imewahakikishia wananchi wa Tanga kusudio lake la kuuboresha uwanja wa ndege wa mji huo hususani katika jengo la...
Habari zenu wanajamvi. Nimefanikiwa kujenga nyumba ya flat roof, nyumba ina mitaro darini inayokinga maji ya mvua ila mitaro inaonekana kwa ndani kama mnavyoona ktk hii picha.
Mtaro uko kulia...
Habari,
Naomba kujua aliyewahi kutumia mabati ya kampuni hizo ubora wake ukoje, kwa eneo nililopo ndio bati zinazopatikana madukani sasa sijajua naenda wapi, ALAF najua wako bora ila bei yaoo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.