Dodoma kuna shida ya upatikanaji wa hati miliki za ardhi. Mtu anakuwa amemaliza kulipia kiwanja na kufuata hatua zote zinahitajika lakini linapofika suala la kupewa hati ni mtihani.
Wapo wananchi...
Kwema wadau? Nyumba kama hii inaweza cost shilingi ngapi? Nimeipenda sana nataka kuijenga...
Anyone who can estimate the cost for building a house like this in Dar es Salaam?
With much thanks...
Wakuu naomba kuelimisiwa,
Ninafanya makadirio ya ujenzi, sasa eneo la mkanda, linta, ripu na sakafu zinanipa changamoto.
Jengo mzunguko wake ni futi 120. Walau nikipata hata kanuni ya...
Habari wakuu ñina mpango wa kununua kiwanja Dar ukubwa wa sqm 800 katika maeneo kati ya mbezi, kigamboni chanika chamazi bajeti yangu million 10 au kibaha
Sehemu gani itakua nzuriii ambayo...
Habari za muda huu wadau,
Kuna hii aina ya fence nimeiona mahali ila sijajua inapatikana wapi hapa Dar es Salaam.
Mwenye kujua msaada tafadhali. Shukrani
Dah nawashauri vijana kama uneweza kujenga ukiwa bado hujaanza familia itakua bora sana kuliko kusubiri wakati majukumu yamekua mengi dah inasumbua Sana inaweza ata kuchukua miaka 10 kukamisha...
Wakuu habari zenu na poleni kwa majukumu,
Kuna kitu nimekiskiia na kinafanyika kwenye ujenzi wa nyumba kwa hivyo naomba msaada wenu ili nipate uhakika najua kuna wataalam wengi humu.
Kitu...
Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mkoa wa Manyara Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi Mifuko ya Saruji 600 kwaajili ya ujenzi wa miradi mbalimbali ndani ya Kiteto.
✅ Kata ya Kiperesa amekabidhi Mifuko ya...
Habari za jioni Jukwaa,
Naomba msaada wa kuzuia wezi wa nyaya za umeme, mwezi mmoja umepita nimefanya wiring kwenye nyumba yangu na sasa inanibidi nirudie tena hii ni baada ya mwizi wa waya...
Hiji ni choo cha shimo, nje unachimba shimo na unaweka bomba la kusafirishia uchafu. Uchafu unausukuma kwa ndoo ya maji.
Ni rahisi kusafisha na uchafu unaoukusanya unaweza kuutupa shambani...
Habari wakuu,
Naomba msaada wa kujuzwa makadirio ya gharama ya kufanya wiring kwa nyumba ya vyumba 4 (vyumba 4, sebure, dining, stoo na jiko), pamoja na vifaa vinavyohitajika.
Natanguliza...
Ilani ya CCM ya Mwaka 2020-2025 Ukurusa wa 82 Ibara ya 57 inaeleza kuwa Kwa kutambua umuhimu wa kuendelea kuboresha miundombinu ya usafirishaji na uchukuzi katika kuwezesha shughuli za kiuchumi na...
Kama vile ujenzi wa kuficha paa ulivyo mashuhuri sikuhizi, kwa wengi kuficha paa kunaokoa gharama za mabati. Sinza combine ilikua ni muokozi wa gharama za mabati miaka ya 1990.
Ujenzi huu...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amekabidhi NONDO NA KOKOTO KWA AJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA MTUMISHI WA UWT MKOA WA MOROGORO vyenye thamani ya shilingi milioni moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.