Habari za humu wadau?
Msaada wenu tafadhali.
Ninahitaji kupiga rafu sakafu, fundi kanambia labour charge ni sh 800,000/ ambapo ataongeza kifusi chini kidogo kunyanyua, maana kilikuwa...
Natanguliza shukran zangu za dhati nimeanza kufanya usajili brela ila nimekwama kupata sample nzuri ambayo itafiti kwenye memorandum ya biashara ya hardware.
Nimejaribu kugoogle ili niokoe muda...
Habari wanajamvi?
Nachukua fursa hii ili tuweze kujadili kwa pamoja hoja husika kuhusu wizara husika kwa upande wa mipango miji kwa nchi yetu ya Tanzania."
kwanza niipongeze Wizara kwa...
Wakuu niko njia panda kipi kianze je naweza weka gypsum board na mikanda then baadae nikatandaza ile final wiring juu ya dari maana kuna wizi wa hizi nyanya sana
JIMBO LA MOMBA KUNUFAIKA NA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024
Mbunge wa Jimbo la Momba Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe amesema Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi...
Watanzania tuna waste materials na space. Nataka niwaambie, hizi paa ndefu maana yake kuna space kubwa kati ya dari na paa ambayo hatuitumii kabisa.
Wenzetu wazungu wanaitumia hiyo nafasi kati...
Salam.
Unajenga nyumba ya ghorofa ili iweje
Kwnza uoni ni usumbifu unadhani ukizeeka utaweza kupanda ngazi.
Pia ni risk unakuta mtu mlevi nae anaishi kwenye ghorofa ukianguka kwenye ngazi je...
JE INAWEZEKANA?
Mimi ni mmoja kati ya watu wanaoishi maisha ya upweke kwa muda mrefu hivyo starehe yangu kubwa baada ya shughuli zangu za kila siku ama ninapopata nafasi ya kumpumzika ni kusoma...
Habari za mida hii wakuu
Poleni na Majukumu,
Poleni pia na maswaibu ya DPworld
Nimepata kibarua maeneo ya Posta.
Kwa sasa ninaishi Kibaha.
Hivyo nataka nihamie sehemu ambayo nitapunguza...
Wakuu hebu someni huu ujumbe kama nilivyoupokea kutoka kampuni moja ya uzalishaji materials za ujenzi... (NABAKI AFRIKA LTD).
Dear Customer
I trust this message finds you well.
As you might be...
Tunafanya kazi kwa uaminifu
Kama unaitaji kiwanja Kibaha kwa mfipa(upande wa chuo)
Viwanja vilivyopimwa(vyenye Hati) sqm 400 ni million 6.5
Viwanja ambavyo havijapimwa sqm 400 ni million...
Karibuni sana watu wangu wa nguvu hii ni fursa pia kwa wasio kuwa na kazi unaweza kuja kuchukua sample ukipata oda unakuja nakupa mzigo uchague kulipwa kwa mwezi au kwa siku,[emoji106]
Habari,
Jamani mnisaidie kitu kwa Wakazi wa hapa Dar es Salaam, anayejua bei ya Mchanga, Kifusi na Kokoto kwa bei ya fuso na canter ili nikienda kuagiza nisiwe mgeni wa hili
Si unajua ukienda...
Habari wakuu
Nipo Iringa mjini, nina kiwanja ndani ya halimashauri, kwa wazoefu eti kibali cha ujenzi kina gharama zipi na process zipi nifuate ili niwe nacho.
Na je kinapatikana baada ya muda gani?
Nawasalimu....
- Nimeanza ujenzi, kaa hapa tujenge pamoja
Samahani Sana huo Uzi hapo juu Kwa muda Sasa sijarudi na wengi najua mlikua na hamu ya kujua nimefika wapi.
Leo sitaweka details za...
Viwanja vinauzwa mbagala kongowe
Viwanja vimekatwa mara tatu
ukubwa Kwa vipimo ni mita 24 * 19 Kila kimoja
Viwanja vyote vipo ndani ya fensi upande mmoja
Bei Kwa Kila kiwanja kimoja ni...
Ninataka kuweka Decor katika nyumba yangu. Madukani naambiwa kuna Yapfix na Minart. Moja ni imported na nyingine ni bidhaa yetu ya hapa hapa nyumbani
Swali langu kwa wataalamu (mafundi, wateja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.