Kwema wazee?
Jamani natafuta pipe za plastic za 10mm lakini kwenye ma kardware kyna za 12mm na zaidi.
Je pipe za plastic za 10mm naweza pata wapi dar? Na je zinatimika kwa kazi gani?
MBUNGE NORAH MZERU AKABIDHI MIFUKO 50 YA SARUJI, MATOFALI 500 NA TSH. 400,000 KWAAJILI YA UJENZI WA NYUMBA YA KATIBU UWT WILAYA YA MOROGORO VIJIJINI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe...
Najenga nyumba yenye ukubwa wa square mita 300.naomba kujua makisio ya mbao za kupaua 2x2 . 2x4. Firsher bod.misumari ya bati.misumari ya kupaua.idadi ya bati za kupaua zenye urefu wa mita 3...
Napatikana kwa namba 0743257669
TUMEKABIDHI KAZI PANDE ZA KIGOGO MABIBO NYUMBA INAUKUBWA WA MITA 4.6 KWA 12M
Mbao 4×2 pcs 80×5500= 440,000
Mbao 2×2 pcs 60× 2800= 168,000
Mbao 10×1 pcs...
Wakuu, mimi nina swali.
Hivi mtu hawezi kutengeneza rough floor kabla ya kuezeka nyumba?
Maana kwa hesabu zangu kuezeka ni november au december.
Lakini hapa katikati ela nayopata haiwezi fanya...
NAIBU WAZIRI MHE. MASANJA ACHANGISHA MILIONI 43 ZA UJENZI KITUO CHA MAFUNZO CHA WANAWAKE, WATOTO NA VIJANA CHA KANISA LA AICT
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja...
Wakuu, Natumai mko vyema na mmejiandaa kikamilifu kuhesabiwa.
Unaambiwa upange maisha yako kwanza, uhakikishe unakuwa kwenye mstari wa mafanikio kisha uwaze kuhusu maisha ya ndoa. Uki-vise verse...
Habari wadau,
Najua Kuna mada nyingi kuhusu bati ila hebu tushauriane hapa.
Kwasasa naelekea Hatua ya upauaji ila nimejikuta napata shida niangukie wapi
BATI ZA RANGI
Wengi wanashauri ALAF...
WANAKIJIJI WAMEAMUA KUFUFUA MRADI WA UJENZI WA ZAHANATI YAO - MBUNGE ACHANGIA SARUJI MIFUKO MIA MBILI (200)
Kijiji cha Chimati cha Musoma Vijijini ni moja ya vijiji vitatu vya Kata ya Makojo...
Naibu Waziri Dugange aipongeza TARURA kwa kazi nzuri ya Ujenzi wa Miundombinu ya Barabara
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Mhe. Festo Dugange ameipongeza TARURA kwa kazi nzuri ya ujenzi wa...
MBUNGE CHEREHANI AKABIDHI MADIRISHA 15 (MILIONI 4) KUKAMILISHA NYUMBA YA KATIBU WA UWT WILAYA YA KAHAMA
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe.Dkt Emmanuel Cherehani amekabidhi Madirisha 15 yenye thamani...
MAKAMU MWENYEKITI UWT TAIFA ZAINAB SHOMARI AKAGUA UJENZI WA HOSPITALI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI.
Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa, Zainab Shomari ameipongeza Serikali ya awamu ya 6 kwa...
VISIMA 10 VYA MAJI KUCHIMBWA WILAYA YA KALIUA, KUMTUA MAMA NDOO KICHWANI
Taarifa kutoka Ofisi ya Meneja RUWASA Wilaya ya Kaliua imethibitisha kuwa Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Kaliua...
Miaka yangu 26 ( me)..
1. Kiwanja ninacho 1
2. Bank nina mil 3
3. Tayari nimeshatoka nyumbani kitambo (najitemegea)
3. Nimeajiriwa kwenye N.G.O ( afya) kwa mkataba wa miaka 3.
Je, naweza...
TAMISEMI NA WIZARA YA UJENZI KUFANYA TATHIMINI YA KUPANDISHA HADHI BARABARA ZA MKOA WA KILIMANJARO
Kama lilivyotakwa la kisheria vikao vyote vinavyokaa katika ngazi ya Wilaya na Mkoa zinafikishwa...
Kama una uwezo hakikisha umewekeza kwenye haya maeneo.
1. Chimba kisima uwe una uhakika wa maji.
2. Funga umeme wa solar uwe na uhakika wa umeme na sio huu wa TANESCO unaokatika katika kila saa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.