Wakuu salama
Mwenye uzoefu wa maeneo ya kata ya MSONGOLA wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam aniambie juu upatikanaji wa viwanja na bei zake zipo vipi.
Naamini humu jukwaani kuna watu wana...
Hii ramani kali sana, nimeipenda ni nyumba ya vyumba viwili, nimeitoa huko Twitter kwa mnigeria, mwenyewe anadai anaweza kukujengea nyumba kama hiyo ya kwa Naira milioni 5 tu ambapo hiyo ni sawa...
MBUNGE EDWARD LEKAITA AKAGUA MIRADI YA MILIONI 390 KATIKA KATA YA KIPERESA, KITETO
Mbunge wa Jimbo la Kiteto, Mhe. Edward Ole Lekaita ameendelea na ziara yake katika maeneo mbalimbali ya Jimboni...
Wakuu habari za majukumu, bila kupoteza mda ningependa wale wataalamu wa ujenzi wanisaidie kufanya makadirio ya kuzungushia uzio wa kiwanja changu, kiwanja changu kina size ya 45m x 25m na naplan...
Hofu imetutawala kiasi cha kuweka nondo madirishani, ili wezi na wahalifu wasifikie usalama wako na mali zako. Nondo hizi huwa kero wakati hatari ikiwa ndani ya nyumba. Mhalifu anaweza kuingilia...
Heshima kwenu wakuu.
Kuna jamaa yangu kaniomba kiasi fulani cha fedha kwa malipo ya moja ya nyumba zake ambazo moja iko Mgeni Nani na nyingine iko Mbezi Maramba Mawili.Zote ni nzuri za kisasa na...
Habari zenu,
Nataka nianze kujenga ila mdogomdogo.
Kuna ramani nitaituma hapo ndio nataka nyumba yangu iwe hivyo ila nitaanza na chumba kimoja kimoja mpaka inaisha.
Lengo langu ni kujenga...
Najua pesa Mara nyingi Ndo inaamua uishi maisha ya aina gani
Lakini tukienda kwenye mada Mimi naona kuzungushia nyumba ukuta ni kukwepa majukumu au kazi Mungu aliyotuletea
Nyumba zenye mageti...
Wadau wa JF habari za majukumu.
Wadau naomba ushauri, kwa sasa nimechoka kupanga na kulipa Tsh. laki 6 per year kama kodi ya chumba.
Nipo Mwanza, nina cash Tsh. 13M tu naweza pata plot ya Tsh...
Wakuu nauliza kwa mliojenga tayari, Ulitumia Tofali ngapi kujenga msingi tu wa nyumba yenye vyumba 3 ikiwa na jiko dining na public toilet!
Na je gharama gani inafaa kumlipa fundi kwa ujenzi wa...
Wakuu,
Ni matumaini yangu mpo bukhery.
Naombeni msaada wenu hapa kwenye haka karamani.
Target yangu ilikua ni kutumia tofali range ya 3200-3600 ....
Sasa nimeambiwa tofali 4300 kichwa...
Wale mabingwa wa uezekaji paa, wanaojua kuweka mlalo mzuri wa kupendezesha nyumba,kwa mabati ya muundo wa vigae, tuwekeeni sample, ikiwezekana na bei ili wateja tujichange kwa kazi.
Wakuu habari.
Nimesikia vibaya au vipi kwamba kwenye bajeti iliyopitishwa bungeni hivi leo kwa kishindo Kila kilo ya sementi itatozwa ushuru shillingi mia mbili.
Sasa kilo hamsini itauzwa...
Naitaji sehemu ya kupanga ipi nzr kwa kuishi mke wangu na mtoto mdogo 1
Kati ya sehem hizi
Buhongwa
Nyegezi
Natta
Nyakato
Au capri point kodi ina range Bei gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.