AWESO AAHIDI KUSIMAMA NA SALIM ILI KUMALIZA TATIZO LA MAJI ULANGA
Waziri wa Maji Jumaa Aweso(Mb) amemuahidi Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mhe.Salim Alaudin Hasham kuwa atatoa ushirikiano wa kina yeye...
Habarini wakuu,
Kuna mjadala uliletwa humu kuhusu ni nyumba zipi zina gharama nafuu kwenye ujenzi kati ya hizi za kisasa za kuficha bati (‘contempoarary) na zile za kawaida. Ambapo kwa uzoefu...
Ndugu zangu!
Hebu turahisishe maisha, mawazo ya kitaalamu yanahitajika zaidi. Lakini hakuna BIASHARA.
Kwa ujenzi wa kisasa, weka vipimo vya mzingo na vyumba bila kujali ukubwa wa kiwanja...
Najua HAIHUSIANI SAN ILA MSAADA
Nina degree ya COMMUNITY ECONOMIC DEVELOPMENT.
[emoji419]Naitafutia uzoefu ili badae niweze kuwa na chochote kwenye CV na kuombea Kazi.
Nisaidie hata Internship...
MBUNGE CONDENSTER SICHALWE AIBANA WIZARA YA MAJI KUHUSU VISIMA VYA MAJI SHULE ZA SEKONDARI MOMBA
"Tarehe 12 Juni, 2023 niliuliza swali la nyongeza Bungeni kuhusu changamoto tumeipata kwenye Jimbo...
Usiache kujenga ukiwa na nafasi iyo ila usiache kuishi ili ujenge, kuwa na kwako ni muhimu sana tena sana..
Pia biashara ya nyumba ni ya matajiri coz return yake inachukua muda mrefu mnoo na...
Habarini ,wakuu
Naomba msaada kwa wale wenye uzoefu/walio na ujuzi na pia waliofanikisha ujenzi wa Nyumba za mbao ,,mfano mzuri Nyumba za wenzetu wa ulaya, wanipe msaada na maelekezo juu ya...
Habari wana JF,
Naombeni msaada kwa anayejua maswala ya ujenzi nilkuwa nataman kujua nyumba ya aina hii inatakiwa iwe na tofali kuanzia ngapi?
Msingi itakuwa ni tofali ngapi?
Na kupandisha Ni...
WANANCHI WAASWA KULITUNZA DARAJA LA BEREGA-DUMBALUME
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Denis Londo ametoa wito kwa wananchi wa Wilaya ya Kilosa...
Je, ipi ni sahihi ukiwa na hela yako kama Tsh. Milioni 40, ununue nyumba mbalimbali zinazotangazwa mitandaoni na magazetini au kwa hiyo hiyo Tsh. Milioni 40 uliyonayo umtafute fundi na akujengee...
MHE. JAFARI WAMBURA AISHAURI SERIKALI KUTENGA FEDHA ZA KUTOSHA KWAAJILI YA TUME YA TAIFA YA MATUMIZI BORA YA ARDHI NCHINI
Mbunge wa Jimbo la Rorya Mhe. Jafari Chege Wambura tarehe 22 Juni 2023...
Habari wakuu
Mpangilio sahihi wa mawasiliano ya umeme ni hatua muhimu zaidi katika nyumba yako.
Ni kwamba haiwezekani kuanza ufungaji wa wiring bila mpangilio na hatua sahihi,
Hatua na...
Habari za wakati huu wajuzi wa mambo. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza hapo juu, nimefika stage hiyo na ningependa kufanya kitu sahihi ili kuepuka makosa ambayo ningeweza kuyaepuka endapo...
WANANCHI WANAOZUNGUKA UWANJA WA NDEGE WA KIA WATAKIWA KUWA NA SUBIRA YA MALIPO YAO
Serikali imewataka wananchi wanaozunguka uwanja wa ndege wa KIA kuwa na subra wakati wanasubiri malipo ya fidia...
NDEFU KIDOGO
Habari zenu wakuu , nadhani wote tunalikumbuka vizuri lile zoezi la urasimishaji liloanza chini ya raisi wa awamu ya tano marehemu jpm . Ukiachilia mbali changamoto zake , moja ya...
MKABATA UJENZI WA BARABARA MTILI - IFWAGI (KM 14) WASAINIWA - JIMBO LA MUFINDI KASKAZINI
Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mhe...
Habari wajenzi, ninataka kufahamu gharama za kujenga nyumba kama hii apa kuanzia msingi hadi kupaua tu inaweza kugharimu kiasi gani?
Mazingira niliyopo kwa boma msingi utakuwa wa mawe na tofali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.