Nimekuwa nikitamani kujenga hizi nyumba lakini changamoto imekuwa ni kuvuja.
Watu wengi naona wanapata tabu nyumba kuvuja pembeni, katikati na pale bati zinapochoka.
Kwa maeneo ya unyevunyevu...
Habari wadau wa Jamii forums.Nilikuwa naomba kuuliza ujenzi wa nyumba ya vyumba viwili kimoja kikiwa juu kingine chini pamoja na jiko, sebule, dining na choo inaweza kugharimu shilingi ngapi mpaka...
Habari naomba kuuliza makadirio ya ujenzi wa uzio wa kawaida tu wa matofali kwenye eneo lenye urefu mita 120 na upana mita 80 inaweza kutumia matofali mangapi? Nataka nianze kukusanya tofali...
Nipo eneo moja wanarasimisha makazi, barabara wanazoziandaa hapa mtaani,zipo za mita 8, mita 6, na mita 4
Swali (1) je, barabara ya mtaa yenye mita 6 upana, ikiwekewa na mitaro gari zinweza...
Kwenye matangazo mengi, mf. Kupatana, Facebook market n.k, utakuta matangazo mengi ya nyumba zinazouzwa zipo Mbagala Chamazi.
Ni kwanini? Hii inatia shaka hata kununua nyumba hizo. Kunani Chamanzi?
Hidden roof houses ni Kama hizi hapa
Ni kweli kabisa hidden roofing hupunguza gharama ya mbao kwa zaidi ya 80% na hupunguza pia gharama ya bati kwa zaidi ya 70%.
Endapo idadi ya mbao...
KITETO KUNUFAIKA NA MRADI WA UJENZI WA BARABARA SABA ZA LAMI
Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. Edward Ole Lekaita, akitoa neno kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la Kiteto kwenye Hafla ya Utiaji Saini...
Naomba kujua makadirio ya gharama za kufanya finishing chumba kimoja
Vitu vya kufanya
Rough Floor
Mlango wa mbao
Mlango wa Alminium kwa ajili ya toilet
Plaster
Skimming
Blandering
Gypsum board...
Mimi nina nyumba Chanika jirani yangu anasema nimeingia kwake upana wa nyumba yangu 45 mt lakini nikipima ni 42 mt bado anasema nimejenga kwake. Je, utaratibu upoje wa kupata watu wa ardhi waje...
IGUNGA KUFUNGWA TAA ZA KUONGOZA MAGARI BARABARANI
Clip/Video
Majibu ya Serikali kuhusu kufungwa Taa za kuongoza Magari dhidi ya Watembea kwa Miguu na Vyombo vingine vya moto kwenye Mji wa Igunga...
WANAVIJIJI WAPATA MATUMAINI MAKUBWA YA KUANZA KUTUMIA MAJI YA BOMBA
Kata nne (4) zenye jumla ya Vijiji 12, za Jimbo la Musoma Vijijini, zina miradi ya kusambaziwa maji ya bomba kutoka Ziwa...
MBUNGE MARTHA MARIKI - SERIKALI IUNGE MKONO JUHUDI ZA WANANCHI UJENZI WA KITUO CHA POLISI KATIKA WILAYA YA TANGANYIKA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki katika kipindi...
MBUNGE BUPE MWAKANG'ATA AITAKA SERIKALI KUTUMIA ZIWA TANGANYIKA KUSAMBAZA MAJI MKOA WA RUKWA
"Je, lini Mradi wa Maji Kata za Kaengesa na Sumbawanga Vijijini utakamilika?" - Mhe. Bupe Nelson...
Habari za kutwa nzima ya wale wana jamvi wote nawasalimu kwa jina la Jammhuri ya Muungano. Nimeandika uzi kadhaa kuhusu bati nikiomba ushauri ili niweze kununua kile ambacho kina ubora hasa baada...
Kwenye ujenzi bhna kuna mambo ukikosea utakuja kujilaumu sana baadae.
Hizi mbao mnazoambiwa ni treated ni wizi mtupu,
Mbao za pine pia ni laini sana, mafundi wanazipenda sababu ya urahisi wa...
Wakuu nataka kuwa moja kati ya wanaJF wenye nyumba kali. Hii ni idea ya kunipeleka huko. Hii ndio nyumba ya kudumu ya mkuu wenu itakayowekwa kwenye kiwanja cha mita za mraba 2,000. Inatakiwa kuwa...
Habar wapendwa Niko mkoan nilikua naomba ushaur mwez wa Tisa nimepanga kuanza ujenzi wa hiyo nyumba nina 3M.
Nitatumia tofali za kuchoma mwanzo mwisho je nitafikia hatua gan Kwa kiasi hicho Cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.