SHULE KONGWE 84 ZIMEFANYIWA UKARABATI NA SERIKALI HAPA NCHINI
Mhe. Masache Kasaka, Mbunge wa Jimbo la Lupa ameuliza swali Wizara ya TAMISEMI kwa niaba ya Mbunge wa Jimbo la Rungwe, Anthony Albert...
NDEJEMBI HAJARIDHISHWA USIMAMIZI WA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA CHEMBA – DODOMA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Deo J. Ndejembi (Mb)...
MBUNGE ABUBAKAR ASENGA AMEIOMBA SERIKALI KUONDOA MGOGORO WA ARDHI KILOMBERO
Mbunge wa Jimbo la Kilombero (CCM), Mhe. Abubakar Asenga ameiomba Serikali ikamsaidie kupima ardhi ya wananchi ili...
KIJIJI CHA NYASAUNGU CHADHAMIRIA KUFUNGUA SEKONDARI YAKE JANUARI 2024
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ametembelea Kijiji cha Nyasaungu, Kata ya Ifulifu kwa lengo la...
Poleni na mapambano wakuu.
Twende kwenye mada, nahitaji kujenga chumba kimoja chenye size tajwa hapo juu. Halafu baadae nitajenga chumba/rest room juu yake. Kinaunganishwa toka kwenye nyumba...
Habari ya usiku ndugu wanajamvi, natumai sote tuko salama na tunaendelea vizuri ujenzi wa taifa. Niende kwenye mada Moja kwa moja.
Mimi ni mjasiriamali ambaye kwa kudra za Mwenyezi Mungu...
Juzi niliamua kutembelea kigamboni hadi kimbiji nimepita pale mradi wa nssf dege kwa mbele huko nimeona kumetulia sana sasa wenyeji hebu leteni mchongo wa viwanja vya bei nafuu tuyajenge pesa ipo...
Habari wanajamvi,
Mwenye ramani ya nyumba yenye vyumba vinne vya kulala yani mater moja na vitatu kawaida, yenye dinning room, sitting room, jiko na store.
Ramani za kisasa ndo naiomba...
MBUNGE ALOYCE KWEZI ATAKA AJIRA KWENYE MIRADI ZIZINGATIE VIJANA WA MAENEO YAO
Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoa wa Tabora, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya...
SERIKALI YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI WA MIRADI KWA WAKATI
Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Jackline Msongozi ameiomba serikali kukamilisha ujenzi wa barabara kwa wakati bila kusubiri misimu kwa...
BAJETI YA TRILIONI 3.554 KUBORESHA MIUNDOMBINU NCHINI - WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI
Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha zaidi ya shilingi...
Wakuu karibuni tujuzane hatua na maandalizi muhimu ya kufuata wakati wa kuanza ujenzi wa nyumba
Nina eneo langu nataka kuanza ujenzi Sasa nimepitia thread nyingi humu zinazoelezea ramani...
Nna Nyumba Magomeni Natafuta Mwekezaji wa Ubia... Nyumba ipo Barabarani kabisa karibu na Stendi ya Magomeni Kanisani, Kanisa la KKKT Magomeni, Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kinondoni na Majengo mapya ya...
Wakuu naomba msaada kwa wajuzi na watalaam wa tiles.. Ni tiles gani nzuri sana (imara na durable) zinatengenezwa Tanzania?
Nahitaji zile bora hata za China na India. Kibanda changu kimefikia...
MIRADI MIPYA YA MAJI JIMBO LA NGARA, KAGERA
Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe. Ndaisaba George Ruhoro amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuelekeza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.