Naomben mnisaidie rough estimation ya gharama ya fundi kumlipa. Sijawahi kujenga nataka nianze kijenga mafundi huwa mnawalipaje mfano mm fundi nataka aanzie msingi hadi boma, je kwa nyumba ya...
Nimeangalia Matokeo ya sensa nimeona Licha ya Kigamboni kuwa Dar ila Ina watu Wachache na wengi pia hawahamii tofauti na Mkuranga..
Sasa sijajua shida ni ipi ila nataka kuuliza,ni wapi Kati ya...
Panapo majaliwa mwaka huu nataka nianze ujenzi mkoani kwetu .
Namjengea mama yangu kama zawadi ya shukurani kwake kwa malezi mazuri .
Sina pesa nyingi ya kujenga kwa mkupuo ila ujenzi wangu...
Nyumba hizi nyingi zipo Ilala miji ya zamani, Kigogo, Mburahati, Vingunguti, Mbagala, Keko n.k Utofauti unakuja kwenye kupaua na idadi ya vyumba tu ila ramani ni moja.
Habari wapendwa humu Kama kawaida ya jamii forum watu mbalimbali tumeweza kukutanishwa huku tukiwa na fani mbalimbali.
Lengo la uzi huu ni kupata fundi ambae anaweza nipa gharama za awali ujenzi...
Wengi tunajenga kwa kujinyima na kudunduliza. So tunahitaji measures za sisi kutogharamika na kutofanya vya ziada.
Ila kuna jamaa mmoja akiwa amekaa kwenye kochi la shemeji yake anandaa comment...
Ujenzi wa sasa ni gharama,
Ukitaka ujenge haraka, jenga nyumba ndogo. Ili iishe haraka, uhamie.
Tumetembelea maeneo mengi. Nimeona, wengi waliojenga majumba makubwa, wameishia njiani.
Endapo...
WAZIRI MHAGAMA AWATAKA WAKANDARASI UJENZI WA MJI WA SERIKALI MTUMBA KUONGEZA KASI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama...
MAKANDARASI WATAKIWA KUZINGATIA TAALUMA
Makandarasi wa ndani wametakiwa kutumia wataalam wenye sifa katika kutekeleza shughuli zao, ili kuifanya miradi inayotekelezwa kuwa na viwango na kudumu...
Habari wanandugu,
Mimi ni mkazi wa gongo la mboto (mongola ndege), maisha yalikuwa safii tu bila usumbufu wowote ila sasa kuna kiwanja cha jirani hapa wamefungua kanisa.
Ni ibada sawa hakuna...
Habari za leo wajenzi.
Samahani, navutiwa au niseme nimevutiwa sana na ujenzi wa nyumba za kupangisha, zile zinazokaa nyingi kias ndani ya eneo moja.
Naomba kuuliza itanicost garama kiasi gani...
Miaka ya nyuma kusafisha ukuta ( skim) watu walitumia chokaa , wapo wanaoendelea kutumia chokaa japo wanaonekana wamepitwa na wakati,🎚️baada ya chokaa zimekuja materia nyingi nyingi.
Nimetumia...
Habari wakuu?
Nimerudi tene kijana wenu niliechoshwa na sarakasi za wenye nyumba na wapangaji wenzangu,
By the way naomba kujuzwa kati ya hizo RAMANI 2 nilizo'attach hapa ni ipi naweza...
Habari, kutokana na mada za watu tofauti wakiomba kufahamishwa kuusu aina gani ya AC wafunge nimeona nije na hii mada itakayo weza kutoa muongozo kwa yule mtu ambaye anahitaji kufunga AC kwenye...
Wakuu habari za muda wana jf ,moja kwa moja kwenye mada
Naombeni ushauri wa muundo mzuri wa furniture nzuri ya kuwekea jiko la gas,vyombo,na sehemu ya kuwekea viungo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.