Hellow wanafamilia wa JF,
Kumekuwa na haya makanisa ya kilokole yanayoota kama uyoga katikati ya makazi yetu, na likiwepo basi ni kelele mtindo mmoja.
Ninapoishi mimi kuna kikanisa kidogo cha...
Kama unachangamoto / shida ya umeme au vifaa vya umeme nyumbani kwako unaweza pata msaada hapa au tufanye kazi na fundi umeme hapa <<dar , ubungo>>
Kama unaswali uliza au maoni changia
Wengi huwa tunajenga makazi yetu ya kuishi kutokana na ukubwa wa vipato vyetu; wapo watakao jenga kwenye eneo la 10x10m, 20x 30m, 40 x 50m n.k
Pia, wapo watakaojenga kwenye eneo la ekari 5, 10...
Habari ndugu zangu,
Jamaa yenu nataka mwaka huu niachane na upangaji kwa wenye utaalamu naomba kujua gharama za ujenzi wa nyumba ya vyumba vinne sebule choo na jiko kwa fundi.
Nimeuliza gharama...
-Kipengele Cha Umeme katika Nyumba ni moja ya kitu muhimu sana,na inashauriwa kutumia wataalamu wa fani husika kwakua umeme ni hatari pia.
◾️Kwa Nyumba Ambazo sio za Ghorofa, Inashauriwa Kabla...
Wakuu bila shaka mpo salama. Siku hizi naona kuna hii biashara ya kuuza/kununua zege..
1. Hivi ubora wake huwa ukoje?Mteja unauhakiki vipi ubora kukidhi mahitajio yake maana linaletwa na gari...
MHE. GODWIN MOLLEL - NYUMBA 52 ZA WATUMISHI ZIMEJENGWA MWAKA HUU WA FEDHA
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema katika mwaka wa fedha 2022/2023 Serikali kupitia Wizara ya Afya imejenga...
Kwema Wakuu?
Nimeanza Ujenzi wa Nyumba yenye Hidden Roof, na nishapiga kozi 10 nataka sasa nianze kwenye Linta kwenda juu kozi 6 pamoja na kibaraza na mifereji yake ya maji.
Katika "quotations"...
Habari wakuu,
Nahitaji ushauri wa wapi panafaa kujenga nyumba kwa ajili ya familia, option ya kwanza ni mjini,hii namaanisha sehemu ambayo haiko mbali na mjini na tayali kuna maendeleo kama...
Hello wana jf
Husika na kichwa cha uzi hapo juu.
Je, endapo mgomba utapandwa karibu kabisa na ukuta wa nyumba (nje ya dirisha) mizizi yake inaweza leta madhara kwenye ukuta?
Karibu unielimishe...
• Kumeibuka wimbi la ujenzi wa ICD usioratibiwa katika jiji la Dar
• Wilaya zilizoathirika zaidi ni Temeke (kuroka Mbagala hadi Kurasini) na Kigamboni
• Nyingi zimejengwa katika makazi ya watu...
Naomben mnisaidie rough estimation ya gharama ya fundi kumlipa. Sijawahi kujenga nataka nianze kijenga mafundi huwa mnawalipaje mfano mm fundi nataka aanzie msingi hadi boma, je kwa nyumba ya...
Hello guys heri ya sikukuu nisiwachoshe sna ila kama kichwa cha habari hapo juu serikali imetoka msamaha wa kodi kwenye umiliki wa ardhi kwa wale wenye malimbikizo ya kodi.
Sasa swali langu mmi...
Wakuu habari,
Ningependa kujua best waterproof for walls maana najenga contemporary ila kati ya kitu kinachonipa mawazo kwa aina hii ya nyumba ni kuona ukuta umelowana baada ya kunyeshewa mvua...
UWEKEZAJI BANDARI YA MTWARA WALETA MATOKEO CHANYA
Naibu waziri wa Ujenzi na Uchukuzi ( Sekta ya Uchukuzi) Mhe. Atupele Mwakibete, amesema uwekezaji wa zaidi ya shillings bilioni 157.8 uliowekwa...
Salaam Jamiiforums,
Naombeni msaada wa mawazo, niko na njia mbili ila sijui niifate ipi?
Nimeitiwa mahali kuna kiwanja kinauzwa milioni 20, wakati huo huo nikaitiwa sehemu nyumba inauzwa milion...
Habari jamani, naombeni kujua gharama au makadirio ya ujenzi chumba kimoya choo na kijiko cha mchongo.
Kiwanja nnacho kipo Kibaha, Pwani.
Maji yapo karibu.
Mfano wa ramani ni kama unavoiona hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.