Uhakika wa nishati ya umeme katika nyumba ni jambo muhimu kila mmoja anafaham hilo; Tunajua namna gani nishati hii imekua sio ya uhakika wakati mwngne, kwa kuzngatia hilo nikupe wazo wakati...
Hi waheshimiwa
Kwa mlio Mafinga trested timber 2x4 ni sh ngapi, 2x2 ni sh ngapi
Na 1x6sh ngap
1x10 ni sh ngapi
Naomba huo msaada mkuu ili nifanye maamuzi
Mafundi wengi hawana elimu wanatumia ujuzi wao wa wizi na utapeli kula hela ya mteja,ata kwenye semina za wajasirimali uwezi kuwakuta .
Mafundi umeme nyie ndo wezi kabisa wa kuwaibia maboss vifaa...
Wakuu, mwezi wa tano mwanzoni nitakua mkoani mbeya kikazi kwa muda wa karibu miezi 4.
Sitarajii kusafiri na familia yangu ila nategemea wife atakua ananivisit mara kwa mara.
So nilikua naomba...
Wazee nahitaji fremu haraka sana kwa ajili ya Ofisi.
1. Iwe na eneo mbele kwa ajili ya parking. Hilo eneo la parking isiwe eneo la barabara. Sehemu inayotosha hata gari ndogo 3.
2. Siyo lazima...
Habari wana jf? Nipo katika ujenzi na kwasasa nahitaji kufunga gypsum board ndani ya nyumba, hivyo Naomba kujua namna ya kupatana na fundi Ghrama za kupiga blandering na kufunga bodi na mikanda...
Hizi ni bati zenye muundo mzuri kweli. Zinakuja katika bei kubwa na last time i checked inatengenezwa Alaf anatengeneza gauge 28 tu.
Vp wewe ungependele ununue design gani?
Habari wana JF,
Heshima kwenu wakubwa zangu, mimi ni kijana umri miaka kadhaa naomba kupata ufafanuzi kuhusu hizi taasisi zinazouza viwanja ( realestate company's).
Hivi ni kweli kuna watu...
Nikiwa nimeishi hapa mkoani Dodoma kwa muda wa miaka ishirini sasa(20),nilishuhudia usumbufu wa watu kufuatilia viwanja vyao na kupata hati.Nadhani kwa sasa inabidi mabadiliko makubwa sana!kwani...
Waungwana heri ya pasaka na mfungo mwema kwa kila muhusika.
Kwa anaemjua fundi wa mlango wa porte ambao umeacha kujifungua automatically. Awe dar tafadhali.
Shukran za dhati za awali.
Cc: Extrovert
Katika huu uzi ebu tujuzane baadhi ya changamoto na migogoro ya ardhi hasa mipaka na majirani au jirani uliyepakana nae katika kiwanja chako, Ilikuwaje na mgogoro uliisha vipi.
Kwanza tunawapongeza wote mnaoendelea na ujenzi wa makazi. Kumiliki nyumba kuna heshima yake.
Lakini hebu tuambieni, ratiba za kwenda site huwa zikoje?
Mfano wewe unayejenga; site unaenda kila...
Nahitaji Mafundi Wa Kufanya Skimming, Kupiga Rangi, kuweka Tiles, Na Gypasum Decoration Kufanya Finishing, Kutengeneza Madirisha Ya Vioo Na Almunium, Kupiga Patition Note:
Wawe Dar
Wakuu habarin za kazi.
Natafuta fundi mzuri wa hizi nyumba za contemporary aliyeko Mbeya mjini kwa ajili ya kufix sehem kwenye ofisi panavuja.
Ofisi imejengwa kwa aina hiyo hivyo kutokana na...
Habari za muda huu wakuu,
Siku moja mida ya jioni nikiwa nimetulia nilistushwa na text ya whatsap, kucheki vizuri nikabaini ni mteja kutoka Instagram kwenye account yangu inayohusiana na ujenzi...
BARABARA KUU PEKEE YA MUSOMA VIJIJINI INAHITAJI KUWEKEWA LAMI: HAIJAPITIKA KIURAHISI KWA ZAIDI SIKU TANO (5)
Barabara ya Musoma-Makojo-Busekera (km 92)
*Mvua zinazonyeesha wakati huu zinaleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.