Naomba ramani ya Nyumba yenye sifa hizi.
Hela yangu ndogo sana. Iwe na
•Masters
•Room 2
•Sebule
Mwenye ramani mzuri au alishawahi kujenga nyumba kama hii naomba tu share experience hapa za...
Waheshimiwa,
Ninapoishi kuna changamoto mbili za umeme;
1) Umeme unaisha haraka sana tofauti na kawaida
Kwenye nyumba niliyokuwa naishi awali nilikuwa natumia umeme wa 15,000/- tu kwa mwezi...
Hivi ni kweli mashimo haya ya Biodigester hayajai milele.
Na suala la harufu kuwa hayarudishi ndani ni kweli au lugha za biashara tu.
Mwenye uzoefu ama ni fundi au anatumia kwake atuhabarishe.
MAMENEJA TARURA WAAGIZWA KUSIMAMIA MIRADI KIKAMILIFU
Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Festo J. Dugange(Mb) amewaagiza Mameneja TARURA wa Mikoa na Wilaya zote nchini zinazotekeleza...
SERIKALI IKO MBIONI KUJENGA OFISI YA OCD WILAYA YA KALIUA
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Jumanne Sagini akijibu swali la Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Bungeni, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi...
Kila ukiingia instagram unauliza fenicha flani mfano. Ni hizi kitchen cabinet. Unawapigia wanakwambia meter laki nane na nusu wengine milioni.
Yan mdf hizi hizi za board elfu 80. Na hinges za...
Mbunge Martha Mariki Achangia Zaidi ya Milioni 6 UWT kusaidia Ujenzi wa Nyumba za Watumishi
MBUNGE wa Viti maalumu mkoa wa Katavi Martha Mariki anechangia mifuko 30 ya Simenti na fedha shilingi...
Hii ni mara yangu ya pili kipitia msoto wa ujenzi.Nilipitia hali hii kwa mara kwanza mwaka 2014.
Ni kero sana. Ni kero sana kufanya kazi na mafundi ambao hawako smart. Huyu atakuharibia kazi...
Wasalaam ndugu zangu!
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, lengo la huu uzi ni kupeana mbinu ni namna gani uliweza kuanza ujenzi.
Uzi huu ni kwa wote, hapa namaanisha wale mliyofanikiwa kujenga...
Habari wadau naomba kujua aina gani ya bati za msouth ndio nzuri na imara, zinachelewa kutoa rangi, kama unajua na bei Yake Kwa gauge 30 itapendeza. Nipo mwanza
1. Kununua Uwanja wa Ujenzi wa Tsh Milioni 4 na Laki Saba na Elfu Hamsini ( Tsh 4,750,000/= ) maeneo ya ndani ndani kiasi Kinondo, Mingoyo, Vikawe na Mapinga.
2. Kununua Ramani ya Nyumba Shilingi...
JIMBO LA KITETO: SHULE YA MSINGI KONGWE YA LENGATEI YATENGEWA MILIONI 145,772,640 UJENZI WA MADARASA 6 & MATUNDU 8 YA VYOO
Ndugu Wananchi Wenzangu wa Lengatei natambua uchakavu wa Madarasa na...
Madalali mko wapi aisee! kuna raia anataka chumba Cha kuishi maeneo hayo niliyoyataja, na bajeti yake ni 70k, 80k, hadi 100k
Mwenye nacho anicheki nimconnect na jamaa
Habari wakuu! Nimerudi tena baada ya kujikusanya na kujipanga sana. Nimefika hatua ya kuweka vigae (tiles). Sasa kuna jambo ambalo nimejaribu kupitia post mbalimbali na kugundua kwamba vigae pia...
Nipo hapa karibia na hardware,na jamaa anapesa Sana na anamiliki hardware mbili hapa mjini,hapa kawaacha wafanyakazi tu,Sasa siku moja nikawa na piga stoli na mfanyakazi mmoja ,katika kongea...
MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ametoa Shilingi Milioni 2 na Mifuko 30 ya Simenti kwaajili ya Kusaidia Ujenzi wa Nyumba za watumishi wa UWT Wilaya ya Mpanda na UWT mkoa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.