Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Kati ya hizi paa zipo zinakaa muda mrefu zaidi na gharama nafuu kuezeka?
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Makala hii nimeiandaa ili kukuelimisha elimu ya kawaida na muhimu kuhusu mabati,ikiwemo maneno yanayotumika kwenye bati, hivyo sitaingia kwa kina sana kuhusu namna bati linavyoundwa.Lengo ni...
29 Reactions
73 Replies
30K Views
Miezi kadhaa nyuma niliomba ushari kuhusu ujenzi. Leo narudi tena kwenu. Wazoefu na wajuzi mnisaidie. Nitatumia tofali za kuchoma na ntajengea tope mpaka lenta ambapo ntamalizia kwa cement...
66 Reactions
157 Replies
41K Views
Habari wakuu, Kwa nyumba yenye ukubwa wa 13m kwa 12m (urefu na upana), ili iwe na mwonekano mzuri, urefu wa paa (king post height) unatakiwa uweje kwa kipimo cha futi?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana JamiiForums, Naomba ushauri wa hili jambo langu nimejiokoteza kwenye shughuli zangu nikajipatia sh 4million nikaona nianze ujenzi. Kiwanja ninacho ambacho ni mita 15 Kwa mita 10 nataka...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
SERIKALI ITAENDELEA KUJENGA BARABARA KUU LA MUSOMA VIJIJINI KWA KIWANGO CHA LAMI: WAZIRI BASHUNGWA ASISITIZIA UAMUZI HUO WA SERIKALI Jana, Jumanne, tarehe 10.10.2023, Waziri ya Ujenzi, Mhe Waziri...
1 Reactions
0 Replies
602 Views
Mama mmoja kutoka Kenya, ameonekana kuwavutia watu wengi nchini humo baada ya kuja na design ya kujenga nyumba yake ya kuishi juu ya nyumba ya wapangaji wake (landlord amekalia tenants). Mama...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Maeneo ya mradi wa NSSF ukivuka kama unaelekea Kimbiji nimeona maeneo tulivu sana, wenyeji karibuni tupeane mchongo wa viwanja vya bei nafuu jamani pesa ipo mfuko wa shati.
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Wapi naweza pata hayo mawe meupe kama yanaovyoonekana kwenye picha. Shukrani
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, Katika hatua za awali kabisa za kuanza ujenzi, kuna faida gani kumtumia Architect (msanifu ujenzi)? Ama ni wastage of money na hamna ulazima?
3 Reactions
64 Replies
5K Views
Watu wa Ramani walikua kila nikiuliza gharama za kunichorea Ramani ya Nyumba Kawaida tu wanasema laki 7 mara laki 9 sijui unapewa Ramani na nini gani mbwembwe kibao aiseee nilibembeleza kinoma...
12 Reactions
40 Replies
4K Views
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, public toilet, dining, sebure na stoo . Ina urefu wa 10.6m na upana wa 9m, vyumba vyote vinaukubwa wa 9 sqm. Naomba mchanganua wake, gypsum powder zitahitajika...
2 Reactions
33 Replies
20K Views
Hivi ukijenga Mbezi, Kigamboni au Huko Bunju ndani unapata huduma za jamii bure? Mbona watu wanauziwa ardhi kwa bei kubwa sana? Pesa ya Kiwanja tu unapata Nyumba nzuri tu Mbagala, Chanika na...
25 Reactions
78 Replies
56K Views
Naombeni ramani simple nzuri ya kisasa. Roof ya kawaida ya bati (sivutiwi na contemporary roof). *Master room *Sebule/sitting room (kubwa) *Self bedroom *Jiko *Study room N.B: Ni kwaajili ya...
6 Reactions
29 Replies
5K Views
Mimi siyo mzee wa miaka hiyo, ila wazee watakuja kuthibitisha hili. Kuna mitaa ipo katikati ya mji huku napoishi nyumba zimechoka ila zimepangika na barabara zinaonekana zikiwa zimenyooka. Siku...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Naishi kwenye kijiji kilicho makao makuu ya kata sehemu ambapo kuna mji mdogo unaokua kwa kasi. Kuna mwingiliano wa watu wa wastani lakini wakazi ni watu mchanganyiko. Hapa kuna sherehe za mara...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu, Samahani naomba kujua makadirio ya ujenzi wa nyumba hii ya kuishi, Natarajia kuanza ujenzi mwishoni mwa mwaka huu. Eneo la uwanja ni Sqm 700 Kiwanja kipo Mbeya Mjini.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WANANCHI WILAYANI MOMBA WAIPONGEZA TARURA KWA UJENZI WA BARABARA YA IKANA – IYENDWA-NAMCHIKA. Na Mwandishi wetu - Momba Wanachi wa Wilaya ya Momba wameeleza kufurahishwa kwao na ujenzi wa...
0 Reactions
0 Replies
577 Views
Ndugu wanajamvi, habari za majukumu? Kuna mchoro wa ramani ya nyumba ya jirani yangu nimeupenda sana. Vipi nikihamishia huo mchoro site kwangu haitaleta noma?
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Salamu wakuu, katika maisha wengi tuna pitia au tume pitia mengi, na hasa ukija katika swala la upangaji. 👉Hapa ndo huwa kuna vilio au malalamiko mengi, kutoka pande zote. - Iwe mwenye nyumba au...
9 Reactions
83 Replies
6K Views
Back
Top Bottom