NB: Haihusishi walemavu ambao inabidi wavitumie vyoo vya kukalia.
Kiukweli linapokuja suala la kwenda haja, choo cha kuchuchumaa ni kizuri zadi kuliko cha kukaa..
1. mkao wa Mchuchuma ndio pozi...
Wakuu... ninaomba kupata makisio ya GAHARAMA ZA UFUNDI wa nyumba ninayotarajia kujenga... Lengo ni ili niweze kujua namna ya kujiandaa kwa kumlipa fundi kwa kujua makisio ya gharama kwa uzoefu...
Mbunge wa vitu maalum Mkoa wa Mbeya Suma Ikenda Fyandomo, ameshtukia mchezo unaofanywa na wataalamu katika ujenzi wa stendi ya mabasi katika Mamlaka ya mji mdogo wa Tukuyu Mkoani Mbeya, kwa...
Dkt. Dugange Atoa Agizo, Kituo cha Afya Ulembwe Kikamilike Ifikapo Disemba 30, 2023
NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (SMZ) Mhe. Tabia Maulid Mwita amesema ukarabati unaoendelea kufanyika katika uwanja wa amani una lengo la kuimarisha na kuufanya kuwa wa kisasa na...
Kati ya kiungio cha bati na bati kuna nafasi (bati hazijashikana) kama inavyoonekana japo haivuji.
Mwenye uwezo wa kusolvu hilo changamoto bila kutoa bati anipm. Nipo Mwanza
Nipo najenga nyumbn huko mwakan mungu akinipa uzima nimejarbu kujenga kwenye karatasi na lengo ni kuihamia ikiwa na ukamilifu atleast 75/89% let go guys
BREAK DOWN
(NYUMBA YA ROOM 3+ MASTER...
House 10m x 9.3m
Fence 20m x 20m
1 master room
1 bedroom
1 public toilet
dining room
kitchen
living room
simple garden
HINTS
■aluminium windows
■normal tyres, no...
Binafsi kero za mwenye nyumba zilisababisha kujenga nyumba yangu na kuhamia faster ilikuwa 2015.
Unalipa kodi mara umeme umekatwa wakati kwake upo, mara kuchota maji mwisho saa 4 asubuhi...
Habari za usiku huu wana wa JF,
Nimekuja kuomba ushauri maana nimewaza peke angu bila kupata majibu. Nimejenga kajumba kangu wa style hii ya sasa la bati la kuficha ila sasa kiukweli nakosa...
Wakazi na wenyeji wa Mwanza nisaidieni, Kati ya fumagira wilayani Nyamagana na Nyang'holongo wilayani Misungwi panafaa kununua kiwanja na kuweka makazi ya kudumu.
Nimetoka Mwanza mda mrefu mji...
Update:
Leo nimeanza kunyayua nadhani kesho kutwa ntamaliza kozi 10 nisubire kufunga mkanda na kumalizia 3.
Mwaka huu mwezi wa tatu kwa kipato changu nikaamua kujipiga piga na mimi nianze...
Hii kitu kwa saivi imefanywa kama ni kitu ya lazima kwenye ujenzi wa nyumba.
Mi sioni kama ni kitu chenye umuhimu kiviile, zaidi naona ni kuongezeana gharama tu bila sababu ya msingi.
Nipe...
Mimi ni fundi ujenzi (majengo) katika wilaya X ninajenga na kufanya kazi za serikali kwa njia ya force account lakini ikifika swala la malipo ninazungushwa sana mara taarifa zinakuja eti...
(fungu la 24 - 30)
UTANGULIZI
Mwongozo huu wa umiliki kwa ajili ya raia wa Tanzania unatokana na fungu la 24 - 30 la sheria ya ardhi Na. 4 ya mwaka 1999. Aidha, ardhi inayoombewa milki...
Katika muktadha wa ardhi na mali isiyohamishika, hati ya umiliki wa ardhi inaweza batilishwa au kubadilishwa mwenendo kwa mujibu wa sheria na mazingira fulani.
Hata hivyo, mchakato huu unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.