Salaam wakuu,
Kama mnavyojua ndugu zangu ni lazima tuhame kwa wazazi wetu tukaanze maisha. Na kutokana na hayo hatuna budi kufikiria kuwa na makazi yetu.
Uhalisia huo umenifanya niijiulize...
NYUMBA 196 ZILIZOJENGWA NA WHI JIJINI DODOMA ZAIKOSHA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Joseph...
Habar wakuu
Kwanza Natafuta kampuni(sio mtu) iliobobea kwenye maswala ya plumbing inayoweza kufanya plumbing both maji Safi na maji taka kwenye gorofa tatu tatu(zipo gorofa nyingi) na kusambaza...
Habari wakuu,
Naomba kusaidiwa mawazo kwa wale WAELEVU wa mambo ya ujenzi, hv 7M naweza kujenga ka'nyumba ka aina gan ka kuanzia maisha!
NB: Kiwanja ninacho!!
Thanks
Wakuu, week kadhaa nyuma niliomba ushauri juu ya ramani yangu ya kwanza.
Refer uzi huu hapa:[emoji116]
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2067353/
Wengi wenu mlinishauri, na...
Wakuu wapi nitapata ramani ya nyumba za kizungu.
Nataka kujenga nyumba very simple lakini unique yenye muonekano wa kizungu.
Kama una picha yoyote nisaidie au kama kuna sehemu naweza kuziona...
Habari wapendwa, niliwahi uliza kati ya Goba & Kigamboni wapi pako poa.
Kutokana na uwepo wa jamaa zangu wengi maeneo ya kigamboni, nimeamua kwenda huko.
Sasa kisota na kibada ndo napawaza maana...
Nina swali moja kama sio mawili.
Eneo lililotengwa kwa ajili ya maziko ya watu (makaburi) ni sawa Serikali ama mtu binafsi kupatumia kwa shughuli za ujenzi kwa maana ya kusambaza makaburi bila...
Wataalamu wa ununuzi wa Majengo, viwanja na mali zisizohamishika.
Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kununua nyumba, au kiwanja lakini nisipate matatizo au migogoro, stage 1, mpaka stage ya...
Imekuwa ni jambo la kushangaza kwa watanzania wengi kuamua kujenga na kuendelea kuishi maisha yale yale.
Unakutana fundi fenicha aliyefanya kazi miaka 15 anakuambia anamalizia ujenzi ukiangalia...
MDAU WA MAENDELEO ACHANGIA UJENZI WA MAABARA ZA SAYANSI KWENYE SEKONDARI ZA MUSOMA VIJIJINI
Leo, Jumatano, 8.3.2023, mmoja wa Wadau wa Maendeleo hapa nchini, NGUVU MOJA SECURITY SERVICES...
Wakuu mambo vipi.
Nina ramani ambayo nimeandaa kwa ajili ya kujenga nyumba ya vyumba vitatu.(1 master bedroom + 2 normal rooms).
Nyumba itapauliwa kwa mtindo wa Hidden Roof a.k.a contemporary...
SABABU YA NYUMBA KUUNGUA KWA TATIZO LA UMEME NA UTATUZI WAKE:
Napenda kuwakaribisha katika majadiliano ya tatizo hili ambalo limekuwa likisababisha majanga makubwa sana hapa kwetu Tanzania...