Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Wapi naweza kupata, fremu na top za milango ya mninga kwa bei nafuu; top isizidi 200,000/=, na fremu isizidi 90,000/=; hiyo gharama iwe mpaka kufikisha eneo la ujenzi, Arusha. Milango na fremu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nyie mnaongeza sifuri kwenye ujenzi mnatutoa sana kwenye reli hata pesa tunaishia kuhonga badala ya kujenga! Kuja fundi alinitumia hii picha ya nyumba hapo chini na kuniambia hadi hapo ilipofikia...
9 Reactions
51 Replies
3K Views
Nimeshuhudia mara nyingi malundo ya molam yakirundikwa barabarani kwa ajili ya ujenzi wa Barabara na kukaa muda mrefu (wiki moja hadi mwezi), na kisha kusambazwa. Mtaani nilipo, ni zaidi ya wiki...
2 Reactions
8 Replies
748 Views
Wakuu hata haka kanishinde? Nikiweka bajeti ya 70m kwa miaka mitatu si nakamaliza haka?
13 Reactions
98 Replies
9K Views
Napita mitandaoni nakuta kuna watu wamefungua makampuni yao wanauza viwanja vilivyopimwa tayari. Naomba kuuliza kama hawa jamaa hawana magumashi. Au kama kuna alienunua kwao anipe uzoefu kidogo.
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimeona mara nyingi mafundi wanapoanza kujenga ghorofa au kituo Cha mafula (Shelli) wanatanguliza kuziba na mabati kwani wanakuwa na maana Gani wadau? Sent from my Infinix X657B using JamiiForums...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nilimsikiliza mtaalamu mmoja wa masuala ya uokozi, alisema kwamba, ni vyema ukakaa chumbani na nyundo angalau ya kilo 15 hivi. Ili moto unapotokea kwa mfano, umeanzia jikoni, basi unaanza kupiga...
9 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wana Jf, Kwa Mtu asiye mtaalamu atatambuaje mbao zilizo na dawa na zisizo na dawa? Na je bei za mbao kwa sasa ulipo ni kiasi gani? Mfano 2*2 2*3 2*4 Katika kipindi hiki cha mfumuko wa bei...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Habarini wana JF! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mm naish maeneo flani ya mji sasa ninarafiki yangu yupo vizuri kidogo kwa kuwa tuna urafiki wa muda mrefu rafiki yangu kwa kuon natesek na...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Ndugu wataalamu nimeambatanisha baadhi ya michoro mbalimbali ya nyumba/vyumba vya kupanga. Naomba Kwa mtaalamu yoyote aliye na sample zaidi za Floor plan ya nyumba au vyumba vya kupangisha...
8 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari wakuu. Inajulikana Wengi kwenye kujenga tunahofia gharama kubwa za ujenzi. Sasa hapa nimewaletea design ya nyumba ya vyumba vitatu, jiko, dining na sebule ya gharama nafuu. Kinachoifanya...
4 Reactions
46 Replies
9K Views
Habari wa nzengo (salaam kutoka Jijini Mwanza) Mimi ni kijana mpambanaji. Nimekua katika hustles kwa muda mrefu sasa naona milango ya baraka inafunguka na mimi sitaki kuchezea nafasi. Mwisho wa...
3 Reactions
43 Replies
6K Views
Habari wanajukwaa. Nataka kusafirisha Top za milango toka Songea kwenda Dar, naomba kujua changamoto za usafirishaji, kuna vibali vyovyote vinahitajika? Kama vipo gharama zake zipoje?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habarini za muda huu, Kwa Dar es Saalam ni wapi naweza kupata kiwanja cha milioni 3? Namaanisha kiwanja cha milioni moja, mbili hadi tatu mwisho, iwe tatu maana ndiyo uwezo wangu. Kwa Dar...
4 Reactions
39 Replies
7K Views
Watu wengi wamekuwa wakiogopa kujenga nyumba kwa kuhofia gharama za mafundi kuwa kubwa na hata nyumba yenyewe, nimekuletea mpango mzima wa kujenga nyumba kwa tofali Nikisema hivi namaanisha kuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kiukweli ujenzi kama ujenzi ni experience/exposure kubwa sana. Unajifunza na kukosea mengi, hasa zaidi zile stress za ujenzi, kupishana mawazo na mafundi, kufanya research za materials sokoni...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimezunguka sehemu nyingi Hasa mikoa ya pwan naona wanajenga vihifadhi maji vya chini. Ndan ya ardhi. Sasa mimi nimeona kwangu havitanifaaa. Nataka nijenge kisima Cha kuhufadhi maji Cha juu, sio...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salama wadau, Nina kamamiezi kadhaa toka niamie makazi yangu mapya...ila tatizo ninalokutana nalo ,wapita njia wanaomba ramani ya nyumba(nyumba bado sijaliza ukuta) pia ipo barabarani main road...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Hivi unajua kuwa hiyo kodi ya nyumba unayoilipa kila siku kama ungeweza kusave. hicho kiwango unaweza kukamilisha nyumba ya ndoto yako bila kuamini kilichotokea?. wengi watakuambia ujenzi si Lele...
10 Reactions
82 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…