NI BAADA YA RASIMU KUPITA:
*Ataka nakala nyingi zisambazwe
kwa wananchi
*Akiri mengi ni yale
yaliyopendekezwa na Tume
*Ahoji masharti yanayombana
mgombea binafsi
*Ukawa wajiandaa...
Hatimaye mjini Dodoma siri za kupitishwa kwa rasimu ya Sitta kimizengwe zimeanza kuvuja, nimethibitisha.
Miongoni mwa mambo yaliyoshtua ni kuwa baadhi ya wajumbe waliopiga kura ya siri ya...
(5) Pamoja na wajibu na madaraka yake yaliyotajwa kwenye masharti yaliyotangulia ya Ibara hii, Mkuu wa Mkoa yeyote wa Zanzibar atatekeleza kazi na shughuli za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar...
Wale mliomsoma fasta na kuelewa kwenye katiba inayopendekezwa je kuna kifungu kinaelezea familia na kama ndoa ni kati ya watu gani? Nakua na wasiwasi kama tafsiri ya ndoa imo kwenye katiba. Kama...
Naomba tuwe wawazi kujua nini hasa UKAWA na watu wengine wanakipinga. Ukisoma ndani ya hiyo KATIBA PENDEKEZWA utakutana na hicho kipengele cha "Uhuru wa Imani ya dini" Je nacho ni kibaya?
SURA...
MAHARAMIA WAMEPITISHA KATIBA HARAMU; WAMEANZISHA MGOGORO CHANYA NA MWANYA WA MABADILIKO
Dira ni kuwa na katiba bora itakayojenga Tanzania yenye demokrasia ya kweli, uhuru wa kweli na maendeleo...
Jamani mwenye kufahamu alipo mbunge wa bukoba mjini na waziri wa maliasili na utalii aliyejiuzuru Mh. Balozi Hamis Kagasheki atujuze cz mara zote mbili alipoitwa kwenye upigaji kura BMK amekua...
Wazanzibar wanakatiba yao ambayo imewajengea umoja na mshikamano mkubwa ambao haujapata kuwapo Zanzibar tangu enzi za kudai uhuru wa Zanzibar. Katiba hii ya mwaka 2010 imewafanya wazanzibar wawe...
Zanzibar Attorney General (AG),Othman Masoud Othman
The just ended Constituent Assembly (C.A) is likely to heighten political temperature in Zanzibar, causing more cracks in the Isle's...
wadau wa jf nadhani hamjambo.
Nilikuwa naipitia katiba iliyopendezwa na bunge maalum la katiba, kuna kipengele cha wabunge kinachosema hamsini kwa hamsini. Uwepo wa kipengele hicho unaua...
UKAWA waliamini kuwa 2/3 haiwezi kupatikana.
Waliposusa walitegemea kuwa halitawezekana.Kutabiri vitu vya mbele ni kazi ya manabii,wanajimu na washirikina.
UKAWA hawajawahi kuwa manabii, wapiga...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, wakati wa vikao vya Bunge, nipatapo nafasi, hutia timu viwanja vya Bunge Dodoma kuamkuana na huyu na yule!, this time, nimetia tena timu, na kudodosa haya na yale...
Baada ya kukamilika kwa mchakato wa kuandika rasimu ya tatu ya katiba yamesemwa mengi na watu wengi, wengi wakiisifia na wengi wakiiponda lakini kati ya hawa wote hakuna anayeisifia au kuiponda...
Ukweli binafsi siwaelewi kabisa viongozi wa UKAWA. Waliwashawishi wafuasi wao kususia BMK kwasababu walizozitaja ambazo sitaki kujiingiza kwenye mjadala Kama zilikuwa valid or not. Kwa mantiki ya...
Ni Ukweli ambao hauna mbishi kuwa matazamio juu ya wasiwasi wa kupita kwa rasmu pendekezwa yalikuwa yanaleta mashaka huko Zanzibar.
Naomba Wazanzibar watwambie ni kitu gani wamekiona katika...
Mzee Kingunge ambaye wakati anaitwa na alipofika mimbarani alikiri kutojiandaa kuongea kwani hakudhani angepewa nafasi alisikika wakati wa kuota neno akisema kwamba alikua anaisubiri kwa hamu...
Jana bila ya kutegemewa Mwanasheria mkuu wa Zanzibar alijitokeza BMK baada ya kutokuwepo Bungeni kwa muda mrefu na kususia kuwepo kwenye kamati ya uandishi chini ya Bwana Chenge. Sababu kubwa...
In simple terms hakukubaliana na rasimu ya katiba ya JMT inayokinzana na Katiba ya ZNZ! Achilia mbali kanga moko, viduku, vigodoro, vijembe, kejeli nk.
Wakuu mimi sio mtaalamu wa sheria ila naona makosa haya yanafaa kabisa kubatilisha Rasimu ya bunge maalum kwa hoja zifuatazo
1.Mwenyekiti alivunja sheria ya mabadiliko ya katiba na kanuni za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.