KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Kwanza, naomba mkubali kwamba mnachowaambia wananchi eti katiba haiwahusu na eti wanachopaswa kukijali wao ni maji na umeme na elimu bora ni kuwahadaa. Pili, naombeni kuwauliza kama kweli hii...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Samuel Sitta mwenyekiti wa bunge maalum la katiba imebidi alazimishe ushindi kwa upande wa Zanzibar kwenye rasimu, nimethibitisha. Uhakika ni kwamba mwenyekiti huyo atatangaza matokeo ya...
4 Reactions
82 Replies
11K Views
UKAWA imekuwa ikibakia kwenye katiba huku CCM ikizunguka nchi nzima na kunadi sera zake,zindukeni sasa UKAWA 2015 mtapigwa chini kinyama.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ameyasema hayo hv punde katika kipindi cha kipima joto ITV. Ameipongeza ITV kwa kuwa fair kwenye mchakato huu wa katiba mpya.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baadhi ya wanasiasa, wajumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, wanaharakati na wanasheria wamekosoa zoezi la upigaji kura katika kupitisha rasimu ya katiba iliyopendekezwa na Bunge...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Kipimajoto kama ada kimetoa majibu tata kwa upande wa Rasimu ya Sitta. Swali Je katiba pendekezwa imekidhi mahitaji ya kukivusha kizazi hiki na kijacho salama? Matokeo ni 79%------ HAPANA...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wana jamvi wenzangu, nna mtizamo kwamba kwa wale wajumbe wa BMK waliopiga kura za siri za HAPANA wajitokeze ili tufanye mahesabu kuujua ukweli halisi wa kura zilizopigwa za siri za HAPANA ni...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
MKURUGENZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk. Helen Kijo-Bisimba, amesema watafanya uchunguzi kubaini mazingira yaliyowezesha kupatikana kwa theluthi mbili ya wajumbe wa Bunge...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Wajumbe wa BMK wakiongozwa na Sitta wamekuwa wakiwalaamu Warioba na waliokuwa wajumbe wa Tume ya katiba kwa kitendo chao cha kuendelea kutolea ufafanuzi na hata kutetea kazi yao ya kukusanya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wanabodi, Baada ya kupitishwa kwa hiyo "Bora Katiba" ile jana pale bungeni Dodoma!, hatuwezi kuendelea kulia lia tuu na kulaumu kilichotokea!, it's about time tufanye stock taking, sio ya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama ilivyo kawaida mtu anapochaguliwa kuwa kiongozi wa nchi mathalani Mbunge au Rais hutakiwa kuapa kwamba atailinda na kuitetea Katiba ya Tanzania.Sasa Je,endapo katiba pendekezwa itapitishwa na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakati wa kikao cha kujadili kanuni ya upigaji kura kwa walioko nje ya bunge, Samweli sita aliweka wazi kuwa Ukawa hawataruhusiwa kamwe kupiga kura kwa kuwa wamesusia vikao na hawajapata ruhusa ya...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Je ni ipi idadi SAHIHI ya wajumbe wa BMK ni 624 au 630? Kwenye website ya BMK idadi ya wajumbe wa BMK kwa majina na picha ni wajumbe 624. Kwenye matokeo ya leo yaliyotangazwa na Sitta, kupitisha...
9 Reactions
42 Replies
6K Views
Kuna vitu ukivitafakari kwa undani sana kwa kweli huwezi kupata jawabu.zaid zaid utaishia kushangaa na kujiuliza maswali yasiyo na majibu. Ukiangalia kinachoendelea bungeni kwenye mkutano wa...
8 Reactions
120 Replies
8K Views
Wanabodi. Matokeo ya Katiba Mpya ndio haya, imepita!, japo Watanzania tulitaka "Katiba Bora", lakini BMK Imetupatia "Bora Katiba!", if you can't get what you want, just take what you get!, hivyo...
12 Reactions
139 Replies
9K Views
Ijumaa Khareem, Jamani naombeni wajuzi wamambo mnifafanulie yafuatayo kuhusu rasimu hii yab VIJISENT, moja ya kati ya mamba ambayo yalisemwa sana ilikuwa ni swala la mabadiliko ya kumi ya katiba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiongozi wa dini yeyote kazi yake ni kumpatanisha Mtu na MUNGU na siyo mtu na mtu.Sababu mtu akipatana na mwenyezi mungu inakuwa rahisi kupatana na mtu mwingine.Sasa hawa maaskofu badala ya...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu, Jana wakati anachangia kuhitimisha bunge la katiba, Mh.Waziri mkuu amesema, yeye binafsi ana shauku kubwa sana kuliona jambo hili la katiba likifikia mwisho kabisa. Akashauri kwamba kama...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwa aliyekuwa anafuatilia bunge la Katiba wabunge wa kutoka visiwani walishangilia sana baada ya rasim ya Katiba kupita na kura kutimia(kama wanavyodai) , na wengine kuongea maneno ya kejeli na...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom