KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Bunge maalum la Katiba limemaliza kazi yake na swali linalobaki kichwani mwa watu,ni akina nani wametoka ukawa na kupiga kura ya NDIYO kuhusu Rasimu? Jana wakati Sitta akitoa matangazo alisema...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
"Othman hawezi kamwe kupigia kura muundo wa Serikali mbili ambao hautoi uhuru wa kutosha kwa Zanzibar, na huo ndio msimamo wake na unafahamika" Msimamo wa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Othman...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Sisi wengine tuliukataa mchakato huu - nakumbushia tu. Tuliamini kuwa mchakato mzuri wa Katiba unahitaji kura za wazi na si za siri. Tuliogopa sana wazo la kutaka kura za "siri" kwa sababu mambo...
7 Reactions
60 Replies
4K Views
Kuna tuhuma zimetolewa na katibu mkuu wa chadema Dr Slaa kwamba uongozi wa BMK pamoja na viongozi wa ccm wamekuwa wakifanya jitihada za kuwahonga pesa wabunge 3 wa viti maalumu chadema kutoka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jambo kubwa katika Rasimu hii na kupitishwa kwake ni idadi hasa ya Wajumbe wote wa Bunge Maalum la Katiba na idadi ya wale wa Tanzania Bara pamoja na wale wa Tanzania Zanzibar. Idadi ndiyo,ingawa...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
kutokana na matokeo yaliyotangazwa na Samwel Sita(times 0) ambapo imeonyesha kuwa wabunge wote wa BMK kutoka zanzibar waliopiga kura za siri walipga kura ya ndiyo hii ni sawa na kusema kuwa...
0 Reactions
1 Replies
992 Views
Nimekutana na mjumbe mmoja wa UKAWA kasema wafadhili ndio warikuwa wakiratibu na kutoa amri ya kila hatua ya wana UKAWA kuchukua kwenye mchakato wa katiba. Anasema kuna siku alifoka kuwa foreign...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Chama chetu cha Mapinduzi kimejipanga,tangu mwanzo wa mchakato,kudhibiti mchakato na kulinda maslahi ya kichama. Kinaelekea kuweza. Kuyalinda maslahi ya kichama ni kulinda sehemu kubwa ya Katiba...
13 Reactions
28 Replies
4K Views
nimekaa na kujiuliza sana kwa nini mwanasheria wa zanzibar aliamua kupiga ya wazi na si siri? Jee mwanasheria alikwisha jua kua kura za siri zitachakachuliwa kisha wamuweke kwenye mtego kua...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu Nasalimu kwa Jina la Bwana aliye hai.. Kwa yaliyotokea leo Bungeni, Je ni Kweli Mwanasheria mkuu wa Zanzibar, anajua majukumu yake ya kisheria na utungaji wa katiba kuliko Mwanasheria...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mojawapo ya kura zinazodhaniwa zilipigwa kwa fax
0 Reactions
2 Replies
1K Views
inaonekana kama wabunge na wanachama wa CCM wanataka kutuaminisha kwamba nchi hii inaongozwa na katiba ya CCM na siyo katiba ya Jamhuri ya Muungano. 1. Wamejiongezea vifungu vinavyokiuka sheria...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nukuu ya Rasimu iliyopitishwa na BMK "URAIA KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO Uraia wa Jamhuri ya Muungano 68.-(1) Mtu ambaye, kabla ya Katiba hii kuanza kutumika, ni raia wa Jamhuri ya Muungano...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Ndugu zangu, Kwanza niwapongeze wale wote walio na huruma na nchi hii inayotafunwa na ufisadi uliojikita katika mfumo wa serikali mbili zinazopendekezwa na CCM na washirika wake. Niwapongeze pia...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama leo ambavyo tumeona rasimu ya katiba imepitishwa kwa chereko wakati BMK ikihitimisha kazi iliyowaweka pale Dodoma.Mimi nami katika kuhitimisha naomba japo niulize je kupitishwa kwa hii katiba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kichekesho kikubwa sana mweshimiwa sitta ameshindwa mpaka sasa kuwataja wabunge wa kutoka ukawa waliopiga kura kwa njia ya simu kutoka huko mafichoni hao ndio wanautaka urais
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Tokea mwanzoni baada ya kudhihirika kuwa asilimia kubwa ya wajumbe ni makada wa Chama Cha Mapinduzi ambao wako waliopitia kwa kuwa ni wabunge na wapo waliochomekwa katika lile kundi la 210 na...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Jukwaa la katiba wametangaza azma ya kuishitaki Tume ya katiba ndani ya siku saba.Miongoni mwa sababu walizozitaja ni kuwa mchakato umeingiliwa sana na wanasiasa.(Kujua uzito na udhaifu wa hoja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Taifa limekuwa kwenye kipindi kigumu cha mchakato wa Katiba baada ya kutokuelewana kwa makundi ya uwakilishi katika BMK. Najua viongozi wa kidini walikuwa pamoja na wananchi wakifuatilia kwa...
2 Reactions
1 Replies
864 Views
ccm mmekataliwa Misikitini ccm mmekataliwa Makanisani ccm mmekataliwa na UKAWA ccm mmekataliwa na Wana harakati ccm mmekataliwa na Wasomi ccm mmekataliwa na Wenye nchi ccm mmekataliwa na...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom