KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Wadau salaam, nimeulizwa swali hili nimeshindwa kutoa jibu. Sasa hapa ni nyumbani kwa great thinkers, sasa toeni michango yenu tupate jibu/majibu kwa mitazamo yenu.
0 Reactions
3 Replies
927 Views
Pamoja na hila zinazoendelea Dodoma.WanaCCM wanaona haya kukutaja.Tutamleta Rais wako,naam Rais Wa Tanganyika.Nitakupigania kwa moyo yangu wote na kwa akili zangu zote.Haijalishi lini.Sitaacha...
1 Reactions
0 Replies
900 Views
Mwanasheria Mkuu Z'bar akataa rasimu ya Sitta Wenzake wamwita UKAWA, wataka kumpa kipigo Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman na askari nje ya BungeMWANASHERIA Mkuu wa Zanzibar...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Kama ambavyo nilitoa ushauri wangu hapo nyuma kuwa ukawa walitakiwa waitishe mkutano wa dharura kwa ajili ya kupiga kura za hapana. Sasa kilichotokea wenzenu wametumia mwanya wa kura za siri...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Wakuu salamu, yametia mambo ambayo leo makonda alijifanya kulitetea bunge la katiba na kuiponda jf kuwa tunatoa taarifa feki juu ya wajumbe wa bmk kutishiwa maisha kwa wale walio piga kura ya...
0 Reactions
85 Replies
8K Views
Wana jamvi ukiwaondoa ukawa na tume ya jaji warioba kwa uzalendo;mwanasheria mkuu ndie mzalendo na shujaa toka znz ambe ameitendea haki elimu yake kwakusimamia weledi na sio njaa!njaa!kama wasomi...
5 Reactions
34 Replies
5K Views
Wadau, amani iwe kwenu. Huku Dodoma hali ni shwari kwa siku ya leo. Nje ya UKUMBI wa bunge hali ya ulinzi imeimarishwa ingawa ni tofauti na jana. Leo wapo askari wachache na ile barabara kuu ya...
2 Reactions
644 Replies
52K Views
Ni ukweli ulio wazi sasa BMK imefika njia panda baada ya wajumbe wa kura ya hapana kuamua kuitisha vyombo vya habari na kuondoka kwa kile wanachodai usalama wao uko mashakani. Salma Said ni mmoja...
6 Reactions
150 Replies
21K Views
Kamati ya Maridhiano nayo ikagomewa.Wazanzibari wamesema wao wameshasema HAPANA na hawatasema NDIYO kwa vyovyote vile. Mwenyekiti Sitta amearifiwa kuwa Kamati ya Maridhiano iliishia kusubiri bila...
24 Reactions
94 Replies
12K Views
Spika wa bunge maalum la katiba (Samweli Sitta) ) ametikisa kwenye mitandao ya kijamii (twitter, whatsapp, fecebook, na instagram) kwa vimemo vyake ambavyo vinasemekana alikuwa anaviandika katika...
21 Reactions
196 Replies
27K Views
Kuna kila dalili za kuchakachua kura zinazopigwa kwa Siri. Tusubili kusikia mazingaombwe ya Sita. Kimeshanuka mifuko ya watu kutunishwa.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, Hivi wale wanaopinga kila kitu kilichomo ndani ya Rasimu wanatoa ujumbe gani hasa? Wanataka kutuambia hata Ibara zinazohusu haki za Binadamu hawazitaki? Au zile Ibara zinazohusu kupinga...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
WANAHARAKATI wa masuala ya jinsia na mtandao wa wanawake na Katiba wamepongeza Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa kwa kuingiza madai yao kwa asilimia 90 na kusema kuingia huko kumetokana na wao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mi naona kwa sababu wanatupiga virungu na kutmwagia maji ya kuwasha kama sio watanzania. basi njia nyingine ya kuandamana..ni kutokwenda kwenye mikutano yao, au watakapo ita kupiga kura tusi...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amejiweka katika wakati mgumu kwa kuzua mgogoro mpya dhidi ya viongozi wa dini ya Kikristo, baada ya kuita waraka wao kuwa ni wa kipuuzi na wa...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
WANAHARAKATI WAUNGA MKONO RASIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA "WANAHARAKATI wa masuala ya jinsia na mtandao wa wanawake na Katiba wamepongeza Rasimu ya Katiba Inayopendekezwa kwa kuingiza madai...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Kwa style hii ya wabunge wa BMK kutumia maneno ya mungu kwa dhihaka...yatawarudia. Hisia za wengi watanzania wazalendo ni mpate katiba ya maridhiano. Nikiwatizama wajumbe wa iliyokuwa ya Warioba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Je unajua iliwachukua siku tatu bunge la katiba kupigia kura rasimu inayopendekezwa? Kama watu waliopiga kura ni 629 tu kama tume ya uchaguzi ingefuata mwendo huo wa kupiga kura kwa watanzania...
0 Reactions
0 Replies
822 Views
Habari za jioni wakuu. Leo hii mwanasheria mkuu wa zanzibar alipiga kura ya wazi ya hapana kwa baadhi ya ibara zikiwemo ibara ya 70 hadi 75.Hali hiyo ilizua mtafaruku kwa baadhi ya wajumbe hasa...
10 Reactions
37 Replies
6K Views
Wana Jf katika pitapita zetu tumeongea na watanzania mbalimbali wa rika zote kuhusiana na uhuni unaondelea Dodoma,inaonekana wote wanamtupia lawama Kikwete Ukweli ni kwamba Kikwete asilaumiwe...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom