Hicho kimemo kwa Mwanaidi Othman Twaha, Mjumbe aliyerukwa na M'kiti wa BMK Sitta kupiga kura siku ya Jumanne. Habari nilizopata zasema alirukwa jina lake kimakusudi, ili upatikane muda wa...
Wanabodi,
Kuhusu kura za ndio kwenye BMK, nimekuwa nikisema zisipo timia, zitatimilizwa!, Mwenyekiti wa BMK, Mhe. Samwuel Sitta ameanza siku ya pili ya upigaji kura kwa hakikisho kuwa...
Wakati wa kipindi cha bunge leo,kama ambayo wengi wenu humu mlimsikia, mwenyekiti wa Bunge la Katiba Mh. Samwel Sitta alisema ameunda kamati ya maridhiano kwa lengo la kukutana na kujadiliana na...
Hvi inawezekana kweli waliopiga kura za siri kutoka zanzibar wote kabisa walisema NDIOOO? Kama ni hivyo watu watakaokuwa wameiuza zanzibar watakuwa wamejulikana pamoja na kupiga kura ya siri...
Wadau mimi niko porini, siwezi kufuatilia habari kwa urahisi kuhusu Bunge la katiba ingawa nasikia uwepo wa kura za hapana 9. Naomba mnifahamishe; Hivi tayari wajumbe wote wamepiga kura au bado...
Usanii wa Ukawa ulianzia kwa Lipumba na Mbowe, ukaja kwa Viongozi wa Cdm na Cuf, akaachiwa Tundu Lisu, ukarudi tena kwa Mbowe, sasa upo kwa Mnyika but hakuna lolote wanaficha aibu zao wakijidai na...
Alianza kutoka Waziri wa sheria na katiba Zanzibar, watu wakasema ni kwa vile anatokana na chama cha CUF. Lakini walipaswa kujua hakuwa amejiuzuru uwaziri wake na hivyo aliwakilisha serikali kama...
Wazanzibari 7 waliotishiwa maisha baada ya kupiga Kura ya Hapana wamerejea DSM. Bado wanazongwa na kushaiwishiwa sana ili wakodiwe ndege kurejea Dodoma ili wakati wa KURA ya azimio la jumla la...
Katika hali ya kawaida mtu akiwapigia kura watu wawili au akipiga kura katikati ya mabox mawili ya wagombea, kura yake huhesabika imeharibika!
Hivyo katika kupigia kura rasimu ya katiba (BMK)...
Ahsante Mungu leo ni siku nyingine..
ahsante kwa uhai, afya na mambo mengine..
baada ya hayo baba nina jambo jingine..
pengine ni wazo au swali pengine...
Hivi mioyo ya watanzania ni sawa na ya...
Napenda kujua mamlaka na majukumu ya mwanasheria mkuu wa nchi. anayejua atujuze.
maana kama mwanasheria mkuu wa zanzibar haitaki katiba hata ikipitishwa sijui nani ataitafsiri.
Jamani, hivi nini kinacho chelewesha utangazwaji wa kura za Siri Bunge Maalum la Katiba?. Kura za Nchi nyingi sana katika uchaguzi wa Kitaifa hutangazwa ndani ya Masaa 24. Hivi leo kinashindikana...
Dodoma/Dar. Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Katiba waliopiga kura za hapana wamelazimika kuondoka Dodoma na kurudi Zanzibar kwa madai ya vitisho walivyopata kutoka kwa wenzao.
Mmoja wa wajumbe hao...
Ok, I'll say it naona watu wanasita kulisema but to hell...
Because thats what we are good at. Mfano Tazama Anti- Terrorism laws zetu.Prof Issa Shivji alisema kuwa what we did ni COPY & PASTE...
Hii nimeipata kutoka kwa wana UKAWA Zanzibar kwamba kuna uwezekano wa e~mail feki na majina yao kutumika kupiga kura.
Hofu hii imezidi hasa kwa kuwa nchi nzima haina mawakala wa bunge la Katiba...
Awasubiri wabunge mitaani,
Prof. Maina aonya nguvu ya FFU
Jaji Joseph WariobaMWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema hali ya mambo yanayoendelea bungeni mjini...
Katika hali ya kuonekana kuanza kukwama kwa katiba, M/kiti wa bunge la Katiba nduguSamuel Sitta ameunda kamati ya maridhiano kwa ajili ya kujadiliana na wale waliosema HAPANA. Hii ni njia ya...
Wajumbe wa bunge maalum la katiba walioisusia mbali rasimu ya Samuel Sitta, sasa wanaondoka rasmi Dodoma kurejea Zanzibar ambapo watafanyiwa mapokezi ya kihistoria kuwahi kutokea.
Wajumbe hao...
Wahudumu wa Bunge Maalumu la Katiba wakiwa wamebeba masanduku ya kura za wajumbe waliopiga
kura za siri kwa Sura ya 11 hadi 19 ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, mjini Dodoma jana.
Makamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.