KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Wahudumu wa Bunge Maalumu la Katiba wakiwa wamebeba masanduku ya kura za wajumbe waliopiga kura za siri kwa Sura ya 11 hadi 19 ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, mjini Dodoma jana. Makamu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hakika haki ya mnyonge,haipotei bali huchelewa. Binafsi nilipoteza mvuto kabisa kufwatilia Bunge maalumu la katiba baada ya kuona mwenyekiti wake dhalimu Samwel Sitta akitupilia mbali maoni ya...
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Taarifa rasmi kuna wabunge wa Ukawa kutoka znz wanapigiwa simu za kushawishiwa kupiga kura wanahaidiwa mpaka 500 m ushahidi upo, ccm ni janga kwa taifa hili Watanzania tushikamane tuwaondoe...
6 Reactions
33 Replies
4K Views
Kweli majuto ni mjukuu, CCM walililia kura za wazi na leo wanajuta. Kwa upofu usio mfano walililia moto na sasa kilio cha maumivu kimewaumbua. Hakuna kitu kibaya kama kukataliwa hadharani, heri...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Naona wana ccm wanatoa hoja kuwa wameweka haki nyiiingi sana,hawajui kuwa wazanzibari wanataka kuongea na TANGANYIKA,wakae nae,wajadili jinsi walivyojiunga kuwa jamhuri ya muungano na mapungufu...
1 Reactions
3 Replies
819 Views
Mimi toka mwanzo nilisema ni mdau wa Tanganyika na siipendi Zanzibar na Wazenj wenyewe lakini sina budi kumpa tano kadada kamoja kadogo sana kutoka Zanzibar ambako kalikubali kukaa ndani ya bunge...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wazanzibari wametutoa jasho. Wameshaharibu mianya ya kupata akidi. Punde,timu ya kimkakati tumetua Dodoma kutafuta maridhiano. Maridhiano ya kiakidi. Kuongea na wanahapana ili wajiunge na...
17 Reactions
62 Replies
7K Views
The game is over! -by ISMAIL JUSSA LADHU Kwa mujibu wa Samuel Sitta alivyotangaza jana, jumla ya Wabunge wote wa Bunge la Katiba = 629 Tanganyika = 419 Zanzibar = 210 2/3 ya 210 = 140 1/3 ya 210...
4 Reactions
34 Replies
5K Views
Rasimu mpya imependekeza mambo kumi na nne tu kuwa ya muungano. Swali ni je, kwa nini wabunge wa Zanzibar wanahusishwa kupigia kura ibara zote hata zisizo za muungano? jambo hili ni sawa kweli? na...
1 Reactions
2 Replies
749 Views
Ni wale mashujaa waliopiga kura hapana kwenye rasimu ya katiba ya Sitta. Kutokana na vitisho hivyo wanavyopata kutoka kwa wenzao na watu wengine, wameamua kurudi kwao Zanzibar. my note:aul...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Jamani hivi mlishawahi kusikia kua mtu amepiga kura ya Hapana halafu akabembelezwa na kubadilisha kura yake ikawa ya Ndio na Tena halali?. Hii ni kali. Amakweli hii Katiba lazima ipite wanavyotaka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tunaomba mheshimiwa Sitta atueleze au mtu yeyote mwenye uelewa kama mtu aliepiga kura ya ndio anaweza kurudi na kupiga kura ya Hapana ?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
angalia TBC sasa hivi uone jinsi Evodia Mmanda anavyoweweseka akisema ameshtushwa na walipoiga KURA za hapana, eti wamekataa kila kitu naona haki ya kuishi inapigiwa sana upatu eti nayo...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Mjumbe wa Bunge la Katiba Bi Salma Saidi Salma na kundi lako, tunakupongezeni kwa ushujaa wenu mkubwa. Kuipigania maslahi ya nchi si lazima uchukuwe mtutu wa bunduki. Hivyo mnavyofanya...
9 Reactions
37 Replies
5K Views
Hivo ndo yashaliwa tena, du kweli wadanganyika wataendelea kudanganyika tuuuu, kodi zetu ndo zishateketea tena,??? Wanangojea tuzichange zingine du kweli zis is only hapeningi in Tanzania
0 Reactions
0 Replies
708 Views
BARAZA LA WAZEE WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MAADHIMISHO YA SIKU YA WAZEE DUNIANI Ndugu waandishi wa habari Tunapenda kutumia fursa hii kuzungumza nanyi...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Inasemekana kuwa leo usiku kucha ccm ilihaha kwa mbinu mbalimbali ili kubadili msimamo wa wajumbe walopiga kura ya hapana...mchuano ni mkali kwani wajumbe waulizwa wanakumbuka yaliyo mkuta...
0 Reactions
3 Replies
973 Views
Ukawa wameishiwa sera sasa wanarukia ajender yeyote inayojitokeza mbele zao kwa ufupi hawana dira. Hivi mlitegemea Ukawa waikubali Rasimu ya tatu ya Katiba huku waliikimbia, je hata kama itakuwa...
6 Reactions
60 Replies
8K Views
Amani kwa wote,nachukua nafasi hii kuwapongeza wajumbe wote wa bmk waliopiga kura ya hapana.kwangu mimi bila kujali itkadi zao,dini zao,elimu yao,kabila zao,na jinsia zao hawa ndiio mashujaa wetu...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanabodi, Leo nimepata fursa ya kushuhudia upigaji kura za ndio kwenye BMK!, nikanote hamasa kubwa kupitiliza kwa baadhi ya wajumbe waliopiga kura za ndio, wakitanguliza vibagwizo, nimetumwa na...
10 Reactions
34 Replies
7K Views
Back
Top Bottom