Rasimu ya 3 ya katiba inayopendekezwa BMK ina mambo ya Tanganyika na Muungono humo humo. Hii inamaanisha rasimu ya 3 katiba ya muungano pia ndiyo katiba ya Tanganyika.
katika rasimu ya 3 hiyo...
Haya yamejidhihirisha bada ya 2/3 ya kura za kupitisha katiba ya muundo wa serikali mbili kushindikana zanzibar. Ilionekana kama kina Warioba hawakufanya homework yao vizuri lakini kitendo cha BMK...
Akitoa ufafanuzi wake dhidi ya 2/3 ya zanzibar,alisema watu wamesahau kuna wajumbe nane wa zanzibar wako hijja.
Hivyo wasipotoshe kwamba 2/3 haitopatikana.
source: Tbc1
Umeamkaje ndugu yangu katika Jf napenda kujua itachukuwa siku ngapi kuhesabu kura za bunge kuhusu katiba inayopendekezwa, na lini matokeo yatakuwa wazi? NAOMBA SANA KUJULISHWA
Mzee John Cheyo amesimama akiomba muongozo wa spika baada ya mbunge mmoja (jina sijalipata) kutamka bungeni kuwa kesho saa saba kutakuwa na kikao cha kujadiliana waislamu wote kususia katiba kama...
Wanajamvi,habari zenu.
Mimi nadhani nimechanganya au nimechanganywa.Hivi idadi kamili ya wajumbe wa BMK kutoka zanzbar ni wangap??
Hapa nazungumzia wajumbe wote waliokuwa bungeni wakati bunge...
Mwanzoni wakati BMK linaanza watu wengi sanawalipinga utaratibu mbovu wakupigia kura rasimu ya mwisho. weledi wakasema tupige kura ya siri kwa sababu ndio utaratibu uliozoeleka kidemocrasia LAKINI...
Nyie wajumbe wa BMK fanyeni fasta fasta muondoke Dodoma mrudi majumbani kwenu maana hakuna cha maana mtakachokileta huku kwetu.
Toka Bunge lianze Watumishi wengi serikalini madeni yao...
Wakiamini kuwa kila mtu ni mwoga na hata thubutu kukataa hadhrani katiba inayopendekezwa, CCM walikuja na hoja ya kura ya wazi kinyume na mazoa kuwa kura huwa siri. Kumbe Mungu aijua akawaongoza...
Ilianzakukataliwa na UKAWA wakadai wapinzani kazi yao kupinga kila kitu.
Waislamwaliakataa wakawapoza kwa change la macho la Pinda, Eti sheria itatambua hukumuza mahakama za kadhi, (Wamefunika...
Kama waliopiga kura za HAPANA za Wazi wametishwa mpaka kuondoka dodoma wengine inakuaje zile zinazohesabiwa mafichoni?
Nani anazilinda zisichakachuliwe! Nani jasiri kuzilinda?
Wadau, katika hali ambayo inaashiria kuwa Katiba mpya inapatikana kiulaini, akidi imepatikana ndani ya Ukumbi wa Bunge bila ya kuwahusisha wabunge waliopo ndani ya ukumbi huo na UKAWA waliosusa...
Nimepata kujiuliza maswali mengi sipati majibu, Tangia mwanzo Bunge limeanza nasikia Serikali mbili zinasemwa sana na kila nikitafuta kwenye Rasimu hazipo, naona Serilali Tatu (3) na maoni...
WanaJF Kwa mda mrefu sasa kumekuwa na malalamiko mengi sana kutoka pande zinazopingana juu ya bunge la katiba huku wengine wakitala liendee na wengine wakiomba lisitishwe.
Napendekeza tuwe na...
Hatimaye rasimu ya Samwel Sitta ambayo inaitwa 'rasimu ya tatu' imeleta maumivu makubwa kwa wanaotaka mamlaka kamili ya Zanzibar, nimethibitisha.
Kwa mujibu wa rasimu hiyo ambayo kesho...
Mwanasheria mkuu wa Zanzibar ameonyesha msimamo thabiti wa kusimamia kile anachokiamini kwa kukataa sura kadhaa na ibara kadhaa kwa kusema "Hapana" katika katiba inayopendekezwa.
Mwanasheria...
Kwa kuwa kura ni za wazi basi nilijua kuwa baada ya upigaji, zingehesabiwa hazarani na kutoa matokeo. Sasa zimeanza kuhesabiwa siku bila matokea kutolewa. Pia nasikia kuwa zilipelekwa kwenye...
Kiukweli aliyeona na kusikiliza kebehi, dharau na matusi ya Sitta leo kwa viongozi wa dini, ataanza kukubaliana na wanaosema mzee huyu ana mradi wa kuiangamiza CCM. Amekiri kwamba kwa waraka ule...
Mimi namshangaa Mhe. Warioba aliyewahi kushika wadhifa wa uwaziri mkuu Katika nchi hii huko kwenye katiba anafuata Nini tena kila siku kuropoka. Yeye Fundi keshakabidhi Nyumba kwa mwenyewe kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.