Wakati wa kutunga kanuni tulishuhudia wajumbe wa CCM mapovu yakiwatoka kung'ang'ania kura ziwe za wazi ili mliowapa rushwa wasiwasaliti, matokeo yake sasa uhai wa wajumbe upo mashakani na pia...
Kwanini Wapige Kura Kama Walijua Wote Walitakiwa Waseme Ndiyo?Neno La Hapana Kwanini Waliliweka?Waliwekewa Watu Gani?Et Mwanasheria Mkuu Hakuwemo Bungeni, Unajua Sababu Iliyomfanya Asiwemo?Katumia...
Baada ya upigwaji kura kuwa mgumu kiasi, hatimaye kwa uzoefu walionao chama Cha mapinduzi na mawakala wake watatangaza kura za kutimia kwa akidi kwa ushindi mwembamba kama iliyokuwa kwa jimbo la...
Wanabodi jana mwenyekiti wa bunge maalumu la katiba Samwel Sitta katika hali iliyoashiria kuelemewa na uendeshaji wa BMK mheshimiwa Sitta alionyesha kuwashutumu viongozi wa kiroho wa TEC juu ya...
Kwa mujibu Tangazo la Samwel Sitta Jumatatu 29/09/2014; Jumla ya Wabunge wote wa Bunge la Katiba = 629 Wanaotoka Tanganyika = 419 Wanaotoka Zanzibar = 210 SASA TUIANGALIE ZANZIBAR PEKE YAKE...
Hivi huyu Askofu ana msimamo gani hasa juu ya siasa za nchi yetu?nani alipendekeza huyu mtu awe askofu wetu?hivi anajua misimamo yetu au anajifanyia mambo yake anavyotaka na kujipendekeza kwake...
Ndg. wanajamii mtakumbuka tangu viongozi wa waandamizi wa chama walipinga uanzishwaji katiba mpya.
Nadhani yanayotokea sasa na tangu utungwaji wa sheria yenyewe yawezekana ilipangwa kwa makusudi...
Wadau, kuna baadhi ya watu wameniomba niyaweke hadharani majina ya wabunge wa Bunge Maalum la Katiba ambao wamepiga kura ya Wazi ya HAPANA. Baada ya kutafakari sana, nimeona ni vema niyaweke humu...
UMeshajiuliz hili??? watu wote wanaopenda na kuona wazi ubovu wa rasmu ya chenge kuwa ni ya kiovu na hivy isipite wote wanategmea zanzibar??? Zanzibar katik mchakato huu imeonyesha wazi kuwa...
Wadau nimedokezwa na mmoja ya mashuhuda walio kwenye chumba cha kuhesabu kura za siri zilizopigwa na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba kuwa asilimia tisini za kura ambazo zimeshahesabiwa ni HAPANA...
Wajumbe wa Kamati ya Ufundi ya UKAWA (Technical Committee) wakizungumza na waandishi wa habari leo Makao Makuu ya CUF leo mchana, (John Mnyika, Joran Bashange, Tundu Lissu) wamesema kuwa CCM...
Nasisitiza hizi bado ni tetesi, inasemekana kuwa kuna baadhi ya wana ukawa znz wamepiga kura ya ndio kwa kutumia fax na email. Taarifa za ndani kabisa zinadokeza kuwa wana ukawa hao kwa upande wa...
Wahudumu wa Bunge Maalumu la Katiba wakiwa wamebeba masanduku ya kura za wajumbe waliopiga kura za siri kwa Sura ya 11 hadi 19 ya Rasimu ya Katiba inayopendekezwa, mjini Dodoma jana. Picha na...
Kuna msemo au imani iliyopo katika jamii kuwa "Kunapotokea kutokuelewana kukawepo na uvunjifu wa amani, wanaoumia ni wanawake na watoto". Ni kweli si kweli? Wanaozomea sana kwenye BMK, ni...
Katiba hii imejenga hisia za Upinzani kwa Makundi Mkubwa ya Watanganyika hususuani,
1. UKAWA (CHADEMA, CUF, NCCR - MAGEUZI na wengineo.
2. WAISLAMU (KADHI COURTS PIONEERS)
3. BARAZA LA MAASKOFU...
sidhan ntakosea kuita bunge la wahuni
mh sita kukubali kumzalilisha werrema wa znz basi hili bunge ni la wahuni sitokosea kuwaita maharamia ama boko haramu
WAZANZBAR AMKENI
Katika taarifa ya habari startv walimu wa babati wametoa tamko la kuwataka wabunge wote kuikataa katiba inayopendekezwa bungeni kwakua imewaumiza wafanyakazi katika mafao yao
Nimemsikiliza Mh.Cleopa David Msuya,Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT katika kipindi cha dk.45 cha ITV na hakika nimemwona ni mtu mwenye akili nyingi sana,sielewi kwanini wakati wake alikuwa ni mtu...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE MAALUM
Simu: +255 026 2322696
Fax No. +255 026 2323116 Barua pepe: info@bungemaalum.go.tz
Ofisi ya Bunge Maalum,
S.L.P. 901,
DODOMA.
TAARIFA KWA UMMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.