Kwa kura za fax/email na kutojua atakayezihesabu, akidi ipo.
Kwa kupigia sura kwa sura badala ya ibara kwa ibara,akidi lazima.
Kwa kura kupigwa kifichoni,akidi haikosekani.
Tujiandae tu kwa...
TANGANYIKA UMEPOTEZWA TENA ZANZIBAR
UTABAKI KWAPANI
Rasimu ya Katiba inayopendekezwa
inaondoa dhana ya usawa kati ya
Tanganyika na Zanzibar. Zanzibar
inaendelea kutambuliwa zaidi Kikatiba na...
Mwenendo wa Bunge la katiba la CCM umedhihirisha wazi udikiteta wa Samwel Sitta. Udikteta ni kinyume cha demokrasia. Sitta kaonyesha wazi rangi yake halisi. Mnyamwezi huyu amesimamia kubadilishwa...
Namkumbuka sana Prof:- Lumumba (aliekuwa katibu wa tume ya katiba pale kenya) alituonyesha watanzania njia hovu ambayo ilifanywa na viongozi wa Kenya kwenye mchakato wa katiba, akatuambia Tume ya...
Bado najiuliza hiyo katiba inayopendekezwa ni ya Tanzania au Tanganyika? Mbona Zanzibar ina katiba yake na ina SURA na IBARA zinazokinzana na katiba iliyopendekezwa wanayoiita ya JMT? Kwa mfano...
Wananchi kuulizwa juu ya mustakabali yao ni njia nzuri sana ya kujenga umoja,heshima,amani na kuondoa manung'uniko ktk jamii.Ni kipofu tu ndiye anayeweza kupuuza madai ya mamlaka ya Tanganyika na...
Je watakuwa tayari kwenda hewani na kusema kwamba kura zao zilihujumiwa? Ibara zilizokataliwaje? Zimefanyiwa maridhiano? Hebu waliopiga kura za siri watuondolee usiri ambao bunge la katiba mpaka...
Ushauri ilani yenu mwakani swala la katiba litakuwepo na vyema mngetengua makubaliano yenu na kikwete ili hizi rasimu ya change iletwe mapema mtaani tuikatae ili waipitishe kwa kuiba kura muweze...
Nilitarajia uchakachuaji lazima ufanyike na ndo kilichotokea...ni matarajio yangu pia kura za wananchi zitachakachuliwa pia lkn tujitokeze kwa wingi ili washindwe....lkn hata wakichakachua msikate...
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba waliopiga kura za hapana za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa wamedai kuwa wako matatani na mashakani. Wajumbe hao kutoka Zanzibar wamedai kutishwa na watu...
TAASISI ZISIZOKUWA ZA KISERIKALI- (WAJUMBE 20)
TANZANIA BARA (13)
1. Magdalena Rwebangira 2. Kingunge Ngombale Mwiru
3. Asha D. Mtwangi 4. Maria Sarungi Tsehai
5. Paul Kimiti 6. Valerie N...
TAASISI ZISIZOKUWA ZA KISERIKALI- (WAJUMBE 20)
TANZANIA BARA (13)
1. Magdalena Rwebangira 2. Kingunge Ngombale Mwiru
3. Asha D. Mtwangi 4. Maria Sarungi Tsehai
5. Paul Kimiti 6. Valerie N...
Nimefanya kautafiti kwa kutembelea tovuti za bunge la Tanzania, baraza la wawakilishi, na BMK na hii ndiyo idadi ya kweli ya wajumbe wa BMK kwa muujibu wa tovuti hizo...
MAJINA YA WAJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA
Posted on February 7, 2014
UTANGULIZI
1. Uteuzi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba Unatawaliwa na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura...
Tanganyika inakuja,mamlaka yake itapiganiwa mpaka ipatikane.Muungano usiotoa haki sawa kwa pande zote sasa huu karibu kifikia mwisho.
Haitadumu.Mbona siasa za chama kushika hatamu haikudumu?,Toka...
Wakuu
Wakati JK akizindua Bunge Maalum la Katiba alisema kuwa Majina ya Wajumbe wa Bunge hilo yataandikwa kwa "wino wa dhahabu" kwa kuwa watakuwa wameweka Historia katika kuandikwa kwa Katiba Mpya...
alishiriki kikamilifu kuwashawishi wabunge wa upinzani wapitishe sheria iliyounda bunge hili lenye wajumbe 201 wa kuteuliw na raisi hivyo ⅔ ya kura kila upande zote za muungano kupatikana...
Baada ya kumaliza kuandika katiba mpya kuna uvumi kuwa majina ya walioshiri kwenye Bunge Maalum la Katiba yataanikwa kwa wino wa dhahabu. Kisingi nionavyo haitapendeza majina yao kukumbukwa kwa...
Hatimaye katiba inayopendekezwa kwa wananchi imepitishwa na bunge maalumu la katiba na kilichobakia nikuiwasilisha kwa Watanzania jambo ambalo litafanyika baada ya uchaguzi mwaka 2016. Sioni kuna...
Hakika kilichosemwa na Prof. Lumumba sasa kimetimia! Ni katika hotuba yake pale alipoalikwa kutoa uzoefu wake katika sakata la baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba al-maarufu kama UKAWA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.