KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Ni wazi mbinu wanazotumia wajumbe wa BMK zimechoka kabisa, kwanza ilishajulikana kabisa akidi haiwezi kutimia na hata watu muhimu nchi hii kama mh. rais na wengineo walishaonesha hilo ni tatizo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mnakumbuka kuwa idadi ya wajumbe kwa ujumla wao ni 629? lakini cha kushangaza katika siku mbili hizi tovuti husika hapo chini imeondoa majina 5 na kubakisha 624 tu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
The game is over! Kwa mujibu wa Samuel Sitta alivyotangaza jana, jumla ya Wabunge wote wa Bunge la Katiba = 629 Tanganyika = 419 Zanzibar = 210 2/3 ya 210 = 140 1/3 ya 210 = 70 Kwa hesabu ndogo tu...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Baadhi ya wajumbe wa BMK waliopiga kura ya HAPANA kuikataa katiba pendekezwa wamelalamika kutishiwa na wajumbe wenzao kufuatia uamuzi wao, wamedai kuwa wanaambiwa watafanyiziwa ama warudishe...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna habari zisikuwa hakiki kuwa Mheshimiwa Ibrahimu Lipumba na Mheshimiwa Slaa wakifuatana na njemba zingine za uKAWA kutinga katika viunga vya majengo ya Bunge huko Dodoma kesho mida za asubuhi...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Nawaomba wenzangu wana JF na developer, web surfs nk achaneni nae ukimzungumzia sana, ni kumtangaza, tusifanye hili kosa, KUMTAJA NI KUMTANGAZA, KUMPAISHA kwa mfano uzi huu hauhitaji reply kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukawa nionavyo mimi kwa uelewa wangu finyu...swala la katiba sio turufu inayoweza kuwafikisha ikulu..watanzania si kama wakenya..ingekuwa wakenya hata haya maadamano yalogeuka kama zile ngoma zetu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu bado namtafakari huyu Mzee! (1) Ana kiburi cha kauli, utadhani ndie Raisi. (2) Raisi alikutana na wajumbe wa vyama mbalimbali vya siasa na wakakubaliana kuhusu nini kiendelee...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
:hail: Naomba wadau mjifunze kusoma hapa kwanza kabla hujaanzisha New thread inaonekana kabisa wengine mnaandika kama photocopy machine. Ni ombi tu pitia japo hii first page mpaka chini inatosha...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba mtu ambaye ni mwelewa kwenye hili: Kuna Wajumbe, baadhi, wamekuwa wakipigakura ya HAPANA kwenye IBARA kadhaa na NDIO kwenye IBARA nyingine. Watakapomaliza kufanya hivyo mwishoni athari yake...
0 Reactions
0 Replies
940 Views
Wana bodi nawasalimu: Kumekuwepo na jitihadi za makusudi za kushupaa kupitisha katiba inayopendekezwa bila maridhiano na mitifuano ya hapa na pale mmeoina leo hii kwa baadhi ya wabunge waliopiga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rasimu ya Sitta, haijatimia wala kufikia kiwango cha kuitwa rasimu ya katiba ya wote. Imejaa controversies, imeshindwa kuleta suluhisho za kero za muungano, imeshindwa kuhakikisha usawa, heshima...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Lissu:Mapambano kudai Katiba mpya yaanza upya katika vitu vinavyothibitisha kwamba, kinachoendelea ni utaratibu wa kulazimisha rasimu ya katiba ya CCM ili katiba...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Muda mfupi ujao wajumbe wa bunge la katiba kutoka Zanzibar waliopiga kura ya HAPANA watazungumza na waandishi wa habari kuelezea vitisho wanavyopata kutoka kwa wenzao waliopiga kura ya ndiyo...
6 Reactions
42 Replies
6K Views
Leo Nimefurahi Sana Kusikia Kuwa Mwenyekiti Wa BLMK Ameomba Maridhiano Ili Kuwabembeleza Wabunge Wa BLMK Ambao Wamepiga Kura Ya Hapana Kwa Rasimu Ya Sita Na Chenge, Hii Ni Aibu Kwa Samwel Sitta...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
da ubish na ubabe wa ccm umewafikisha uku. hawalal vichwa vnawauma kula ya waz imewaumbua waliinga'2ania
0 Reactions
0 Replies
679 Views
da ubish na ubabe wa ccm umewafikisha uku. hawalal vichwa vnawauma kula ya waz imewaumbua waliinga'2ania
0 Reactions
0 Replies
781 Views
CCM KUHUJUMU KURA ZA HAPANA KATIKA BMK WAALANIWE NA WATZ WOTE NA WATETEZI WA HAKI KWA DHAMBI HIYO YA KIHISTORIA. Watz wenzangu, kura ya siri huwa ni siri, na kura hupigwa mara moja tu kupata...
2 Reactions
3 Replies
835 Views
Taarifa zilizonifikia hivi punde, ni kwamba genge la mafisadi lililoko bungeni huku likiongozwa na Samwel Sitta, tayari limeshasambaza wapambe ambao ni makada ya maccm ambayo pia ni wajumbe wa...
5 Reactions
42 Replies
5K Views
Ni wazi kuna somo kubwa lipumba alitaka tujifunze,japo aliliongea kwa dakika chache,kwa ninayosikia dodoma,basi,ninaamini asiyesikia la mkuu...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Back
Top Bottom