KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Kuna Wajumbe walipiga kura za siri kupitisha Rasimu inayopendekezwa jana na leo. Kama zimeshahesabiwa,tunaomba kujua matokeo hata ya awali. Wajumbe wa kura za wazi tumewaona,tunawajua na kuhifadhi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Roho inaniuma sana kuona jinsi mchakato wa kupata katiba unavyoeuzwa geuzwa ili mradi tu watu flani wapate wanachotaka. Mpaka sasa imeoshaonekana kwamba viongozi wetu wamefikia kiwango cha chini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tuenda kuwaambia wananchi watupe ridhaa ili tulete katiba ya wananchi.....maana ya maccm tayari tunayo.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Usipokuwepo bungeni unapiga kura zilizopigwa na wenzako kesho yake!! Hii ndo demokrasia? Naombeni mnaojua nifahamisheni ndugu zangu.
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Nitakuomba ujibu maana upo humu. Hivi unaposema umezunguka wananchi wakaomba Maji, Umeme, Barabara, shule na Zahanati ulimaanisha haya? 1. Wanaomba kwa maana miaka 50 hamjawapatia hayo mahitaji...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna Habari Kuwa Mahakama Ya Waislam Imeingizwa Kwenye Katiba, Nawaonya Wajumbe Wakikristo Waliomo Kwenye Bmk Kutoipigia Kura Katiba Yote Kwa Sababu Kuipigia Kura Baadhi Ya Vipengele Halafu Kwenye...
4 Reactions
77 Replies
5K Views
wanzanzibar zaidi ya 25 wamepiga kura za siri. ili 2/3 ipatikane kura hizo ni muhimu sana. utata unakuja kua kesho ndo matokeo yake yatatangazwa Je kura hizi muhimu sana kwenye historia ya nchi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimemsikia kupitia ITV taafifa ya habari,akihutubia mkutano huko Tanga leo; Nape: Je,mnataka katiba au maji? Wananchi: Majiiiiiii Nape: Mnataka katiba au barabara? Wananchi: Barabaraaaaaa Nape...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Rasimu iko tayari.Wapigakura wako tayari.Tayari kukubali.Tayari kukataa. Waliotoka nje waitwao UKAWA bado wana 'influence' kwenye upigaji wa kura. Mahakama ya Kadhi ilitajwa lakini ikaachwa. Haimo...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Muda mchache ulopita, nimemsikia captain Komba akichangia katika mjadala unaoendelea wa BMK, alichokifanya ni kumshambulia mwenyekiti wa iliyokuwa kamati ya tume ya mabadiliko ya Katiba, mbaya...
2 Reactions
39 Replies
4K Views
Watu wengi tulitarajia wajumbe wengi wa BMK hasa kutoka zanzibar pamoja na waislamu wangepiga kura ya hapana. Ninafatilia Bunge muda huu naona wengi wanapiga kura ya ndio​
0 Reactions
19 Replies
2K Views
SURA YA KUMI MAHAKAMA YA JAMHURI YA MUUNGANO SEHEMU YA KWANZA MISINGI YA UTOAJI HAKI NA UHURU WA MAHAKAMA 12.3 IBARA YA153: Muundo wa Mahakama (b) Ibara ndogo ya (2): (vi) Kuongeza ibara...
3 Reactions
153 Replies
12K Views
Ni jambo lisilopingika kwamba CCM wamejipanga kisawasawa kuhakikisha akidi ya wajumbe inatimia bungeni ili katiba yao ipite bila kikwazo chochote. Hili suala liko wazi hasa ukizingatia kwamba CCM...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi binafsi baada ya kumsikiliza mwenyekiti akielezea mchakato mzima wa upigaji kura za kupitisha rasimu ya katiba utakavyoendeshwa nimeingiwa na wasi wasi mkubwa ya kwamba unatoa mwanya mkubwa...
1 Reactions
1 Replies
842 Views
Ni wazi kuwa mh. Sitta na bunge lake wangejikita kujadili rasimu ya wananchi iliyo wasilishwa na tume ya jaji warioba; lisingeibuka swala la mahakama ya kadhi. kwani swala hilo halikuwamo kwenye...
2 Reactions
4 Replies
984 Views
Napatwa na mashakha pale ninapoona mchakato unaenda mwishoni na wajumbe karibu wanapiga kura…!!!, japo najiuliza hv ni mzee 6 pekee ndiye anaewajua waliollenda "Macca", waliopo Hospital nk ambao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mtu aliotuhumiwa ufisadi ya change rada anakuwa mwenyekiti ya uandishi kuhusu zawadi kwa viongozi sijalielewa nimeona kama limefunikwa hapo naona tunazidi kuboresha rushwa ufisadi kwa viongozi...
0 Reactions
2 Replies
875 Views
Suala la kura naliona halijakaa vizuri,nimemsikia sitta anawaambia kwamba kura za siri zisiandikwe majina ya wapigaji,je ndio mantiki yake? Na je hakuna utaratibu mwingine wa kufanya?kama...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
So the final draft constitution for Tanzania is here with us, a document that is expected to propel this country forward through the next half century or so. It has been received with mixed...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Nimeisoma "Rasimu ya Chenge" na kubaini kuwa Zanzibar imeruhusiwa kujiunga na "Jumuiya Yoyote ya Kimataifa" au ya "Kikanda!" At the same time Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984 iliyofanyiwa...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom