KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Ni mashehe wameikataa rasimu ya Sitta, mashehe hao wakiwa chini ya jumuia na taasisi mbalimbali wametoa tamko hilo jana mjini Dar es salaam. Watangaza kuzungukia misikiti Nchi nzima kuwashawishi...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Kwa moyo mweupe kabisa naombeni kama kuna mtu anajua utaratibu wa upigaji kura anielimishe taratibu za upigaji kura ambazo zinaanza leo saa Tisa kamili. Napenda nipate ufafanuzi katika sehemu...
0 Reactions
1 Replies
873 Views
Wakati Waziri mkuu akilihutubia BMK asubuhi hii kasema swala la mahakama ya KADHI lipewe muda mpaka mwakani mwezi wa kwanza ila leo na kesho waislamu wapige kura kama kawaida.Hili ni changa la...
2 Reactions
2 Replies
985 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa, Katiba siyo ajenda ya uchaguzi mkuu wa 2015 kwa sababu siyo hitaji la wananchi walio wengi na kwamba ni ajenda ya wachache wenye ulafi wa madaraka. Kauli...
0 Reactions
1 Replies
998 Views
Dodoma. Former Kenyan Attorney General Amos Wako yesterday warned Constituent Assembly (CA) members against meddling in people’s views when debating the second Draft Constitution. Mr Wako who...
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Tumejadili na mteja wangu Saed Kubenea,na kukubaliana haya; 1.Tutakatia Rufaa katika Mahakama ya Rufani Tanzania sehemu ya Uamuzi wa Mahakama Kuu katika kipengele cha Mahakama kusema kwamba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Kama CCM imechoka kukaa madarakani basi iendelee kutetea mahakama za Kadhi kuwepo kwenye Katiba! JK anakumbuka vizuri alipokaribia kugalagazwa katika nafasi ya Urais mwaka 2010 kwa sababu...
0 Reactions
3 Replies
731 Views
Kwa sasa baada ya Bmk kufumua Rasimu iliyowasilishwa na Tume, Na kwa kuwa Mapendekezo ya wananchi walio wengi walipendekeza Seeikali tatu, Basi seeikali ifanye yafuatayo. Ili Serikali irudishe...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Je Wabunge wameamua kujitengenezea HAZINA yao ndogo!!!!!!!! 157.- (1) Kutakuwa na Mfuko wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambao utakuwa chini ya usimamizi wa Katibu wa Bunge. (2) Mfuko wa Bunge...
0 Reactions
1 Replies
943 Views
Sisi ni vijana wasomi wazalendo kutoka vyuo vikuu mbalimbali vilivyoko Dar es Salaam, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM); Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU); Dar es salaam University College of...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Ipi iko more progressive kati ya hizi mbili? naamini wataalam washafanya comparative analysis hebu tupeni majibu . KATIBA YA KENYA HII HAPA...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Wakati naisoma Rasimu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliyoandikwa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba iliyokuwa chini ya Jaji mstaafu Mh. JOSEPH WARIOBA Sura ya 10 SEHEMU YA PILI,MUUNDO...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
wanajf naombeni msaada juu ya umuhimu wa mahakama ya kadhi kutambuliwa ndani ya katiba na pia kwa wale wanaoelewa juu ya hasara zake iwapo itatambulika kikatiba.N.B. jitahidi kutoa sababu yenye...
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Wanajf katika moja ya mkakati wa kuokoa fedha nyingi zinazopelekwa kufichwa nje ya nchi,watanzania walipendekeza kuwabana mafisadi wote. Tune ya warioba iliweka ibara ya 16 ambayo ilizuia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hivi nyie wajumbe wa bunge la katiba ambao sisi tuliwatuma kwa niaba yetu mkatuwakilishe kwenye kuichambua na kuipendekeza katiba itakayo pigiwa kura na wananchi mnapoanza kutoa matusi kwa...
0 Reactions
1 Replies
985 Views
Maana yake ni kwamba tungekuwa kwenye Chama kimoja na hii misamiati ya "People's Power," "UKAWA," nk isingekuwepo maana miaka ya 90 "Wananchi Walio Wengi" yaani zaidi ya 80% walitaka mfumo wa...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Watanzania wa leo sio wa miaka ile wamebuluzwa sana lkn naona sasa wamekaribia ukingoni, "so wait for revenge" "enough is enough" historia itawahukumu wanafiki wote, Mungu tusaidie kwani ni hatua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Warioba amefedheheshwa na kitendo cha BMK kuondoa vingele vyote vilivyokuwa vinaitofatisha rasimu yao na katiba ya 1977. Warioba amesama yeye na wajumbe wake wataenda kwa wananchi kutetea maoni...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
Wakuu. Jioni hii nimeangalia taarifa ITV kuhusu vitisho vilivyosambazwa Dodoma na watu wenye mentality ya UKAWA kwamba eti wasiipigie kura Rasimu ya Katiba inayopendekezwa. At the same time...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Kabaka leo kanitolea mpya, Kasema eti hawezi kuweka haki ya wafanyakazi kuandamana kwa sababu hata wafanyakazi wa ndani wataandamana! kadai tukiweka haki hiyo ndani ya katiba watanyakazi wa ndani...
0 Reactions
5 Replies
925 Views
Back
Top Bottom