KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Habari zenu wana if. Kama ilivofanyika katika baadhi ya maeneo nchini .Leo hii ilikua ni zamu ya mji wa bukoba .wananchi wamefanikiwa kutembea kwa zaidi ya km2. Wananchi walikua wamebeba mabango...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana bodi, hii rasmu itakayopigiwa kura j3 imeboresha, imerekebisha au imebadilisha rasmu ya Tume ya Warioba? Kwa kufuta ibara 28 kuweka mpya 41 kurekebisha 186 kufanya idadi kufikia 289 kwa 271...
0 Reactions
2 Replies
926 Views
Habari Kwa kweli nmejaribu kuipitia hii Rasimu ya bunge la Sitta, sio siri kwa sasa sijielewi maana tumbo la uchungu kutoka moyon linaniuma sana, Wakat mwingine koo linapata hasira nabaki...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Nasubiri kwa Hamu sana Komba na wenzake walete maoni yao tujadili sijui na sisi waTanganyika na waZanzibari tutapewa muda gani? ila si mbaya tutaomba muda wa kuongezwa? issue sisi hatuna posho, so...
0 Reactions
1 Replies
951 Views
Hii ni mara ya pili.Mara ya pili kwa suala la kisheria kuitwa la kisiasa. Na mara zote nilikuwepo Mahakamani wakati Majaji wetu 'wakisingizia' suala la kisheria kuwa ni la kisiasa. Mara ya kwanza...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Samwel Siita na ushirika wa ccm katika Bunge la CCM kitendo mnachokifanya dhidi Watz kuchakachua maoni yetu ni kutunajisi kwa kutulazimisha rasimu ya ccm, kufuja fedha za umma, na kusababisha...
1 Reactions
0 Replies
716 Views
Wakuu, hapa bungeni Dodoma wajumbe wa bunge maalum la katiba kutoka Zanzibar wanapokea sms nyingi za vitisho kuwaonya wasithubutu kuipitisha rasimu ya Samwel Sitta. Wapo wengine wameambiwa kuwa...
2 Reactions
21 Replies
5K Views
Kwa yeyote mwenye nyaraka za tume naomba anipe Bango Kitita la tume ya kukusanya maoni ya mabadiliko ya katiba. Tafadhari.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imejivua katika mgogoro wa mamlaka ya Bunge la Katiba kuhusu ni kwa kiwango gani bunge hilo lina mamlaka ya kufanya marekebisho au kuboresho...
2 Reactions
3 Replies
982 Views
Kwakuwa Bunge la Katiba,chini ya mwenyekiti wake mzee Sitta, limeamua kupuuza ushauri na wito uliotolewa na watu/Taasisi mbali mbali kama vile mzee Warioba,TEC,JUKATA n.k wa kulitaka lisitishe...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Haiingii hakilini watu wanatafuna fedha za umma mwisho wa siku wanakuja na kituko! Rasimu ya Sitta ingewezekana kabisa kufanyiwa marekebisho madogo kwa katiba iliyopo tukasonga mbele...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Ukawa wamekuwa na tabia ya kufanya mashambulizi kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii juu ya mchakato huu wa katiba. Mashambulizi yamekuwa kama ifuatavyo; 1. Serikali 2. Raisi 3...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna hoja hurudiwa kila mara na Prof.Issa Ghullamhussen Shivji katika makongamano kuhusu Katiba.Ni kwamba,katiba zote zilizopita hazikuwashirikisha wananchi. Prof.Shivji amekuwa akitoa mifano ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu kwa hiki kinachoonekana kwenye rasimu hii uiliyowasilishwa jana. Hakika ni hatari sana kwa kizazi chetu kijacho maana tutawafundisha watoto kutokujali mali za umma,kufanya kazi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watanzania, kabla ya 2005 daftari ndio lilichukua idadi ya wapiga kura, Ni miaka takribani kumi na moja daftari halijaboreshwa.Mtu alyekuwa na miaka 10 au 17 hajapata haki ya kupiga kura 2010 na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mahakama Kuu Dar es salaam imetoa tamko kuwa Bunge Maalum la Katiba limevunja sheria kwa kuwaita wadau kutoa maoni Bungeni hapo, na kusema BMK haina mamlaka kufanya hivyo. Tusubiri kesho kwa...
10 Reactions
115 Replies
11K Views
KATIBA MPYA TUTAKAYOLETEWA NA CCM ILI CC WANANCHI TUIUNGE MKONO, IMEHALALISHA UPUUZI UFUATAO; 1. IMEHALALISHA UWEPO WA WAKUU WA MIKOA AMBAO WATATEULIWA NA RAIS NA HIVYO KUFANYA WAKUU WA MIKOA...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Ibara ya 93 ya rasimu ya Katiba inayopendekezwa, bado inatoa kinga ya Raisi kutoshitakiwa kwa kosa lolote la jinai alilolifanya akiwa madarakani au hata kumfungulia shauri la madai na hata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kilio cha watu wengi nchini hasa yale makundi ya kiunaharakati ilikuwa ni kupunguza madaraka makubwa aliyo nayo Rais. Tulifikiri sana kuwa katiba mpya ingepunguza madaraka haya.Lakini...
0 Reactions
1 Replies
807 Views
RASIMU YA SITTA Mambo ya Muungano 14 Idadi ya serikali mbili Mawaziri wawe wabunge Mgombea binafsi akataliwa Wabunge wa Muungano 360 Wananchi wazuiwa kuondoa mbunge mvivu RASIMU YA...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom