KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Leo tumeona ndani ya bunge la katiba kanuni zikibadilishwa ili kuwapa nafasi wajumbe waumini wa kiislamu wanaoenda kufanya ibada ya Hijja kupiga kura wakiwa uko kwenye ibada. Naomba...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanajamvi habari zenu, Nakaa najiuliza uwezo wa hawa wabunge wa bunge la katiba kweli wana akili timamu? Hivi kweli kwa karne hii kwa mbunge angalau kuwa na elimu ya kidato cha nne ni kosa?hivi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
BUNGE Maalumu la Katiba, limepitisha marekebisho ya Kanuni zake, ili kutoa fursa kwa wajumbe wa Bunge hilo kupiga kura ya kukubali au kukataa Katiba inayopendekezwa, mahali popote walipo hata nje...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimedokezwa na ndugu yangu ambaye ni mjumbe katika bunge maalum la katiba kuwa wajumbe wake ambao ni waislamu wamepanga kupiga kura ya kuikataa rasimu ya tatu ya katiba ambayo itawasilishwa kesho...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
NOTE BANE: Ieleweke kuwa wawakilishi wa kutoka vyama vya CUF na CHADEMA walijitoa kwenye Kamati ya Uandishi kutokana na sababu wanazozifahamu wao wenyewe...
6 Reactions
133 Replies
12K Views
Salam zenu wakuu Inasikitisha kusikia wajumbe wa bunge maalum wakiwahadaa watanzania. Sijasikia mjumbe yeyote mwenye heavy pregnancy ambaye yuko karibu kujifungua. Wale wanaosema sijui...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama wajumbe walioko nje wanaruhusiwa kupiga kura, je wajumbe wa UKAWA wanaruhusiwa kupiga kura? Wao pia bado wanawawakilisha wananchi wao!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Hawa wana "UKAWA" wa Scotland walionekana mambo yao yatakuwa shwari na watawadanganya wapiga kura wakubaliane nao lakini wengi walishtuka na kupiga kura za "No to Independence!" Huku...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwambie neno moja tu Mkuu MSALANI @Ifwero 0788887788
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimekuwa ninasikiliza hoja za watunga katiba, yaani wabunge wa Bunge Maalumu la Katiba wakitetea msimamo wa serikali mbili, sababu za kuendelea kukusanya maoni mapya na sababu za kundelea kwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kanuni ya Kuruhusu Mjumbe kupiga kura akiwa hayumo ndani ya bunge imezua hali ya kurushianaa maneno kati ya wajumbe kwa Wajumbe na Wajumbe na Spika. Hali ni tete kweli. Ndio kwanza Mjadala unaanza!.
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Wakuu UKAWA (NCCR - MAGEUZI, CUF na CHADEMA) walitoka Bungeni kwa mbwembwe na maneno ya kejeli za hapa na pale! Kwa kweli tangu waliposusa wamekuwa na umoja sana. Hata mikutano yao walifanya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimelisikia hili la kamati ya uandishi bunge la katiba kufanya kazi usiku na mchana na kuwa wajumbe wake hulala masaa matatu tu. Naomba kuuliza kwa wenye weledi zaidi; haraka hii ni ya nini...
0 Reactions
5 Replies
967 Views
Onyo kwa UKAWA hapo mlipochoma basi msije mkajaribu Mkuki kuutoa ,Zenji twasema mtaimbo umewaganda akina Sita na kundile ,mpaka muhakikishe wamekata roho. CCM wabaya sana sana.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Je, sheria ya Mabadiliko ya katiba inaruhusu hili swala la kupiga kura popote? Nini kitatumika kuhakikisha kwamba hiyo kura ni halali? Na aliyepiga ni muhusika haswa? Je inakuwaje mtu ambaye...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
"Viongozi Ukawa Wanakabiliwa & Ombwe La Mtindio Wa Elimu Uraia &Ukosefu Wa Uzalendo.Wanataka Matone Ya Damu Kama Kafara Kuingia Ikulu.Ni Vema Wajue,Gunia Tupu Halisimami Wima.Naasa Chadema Wawe...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari njema wanajanvi kumbe si UKawa peke yao wanaotaka ile Rasimu ya Warioba iheshimiwe ,kuna makada mbalimbali wa CCM ambao wameapa kutokubaliana na rasimu ya CCM ya serikali mbili kuelekea...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wanabodi, Wakati tukiendelea kuisubiria hiyo "Bora Katiba" kule Dodoma kesho, ambapo wengine wetu, tunajisogeza kuishuhudia kwa macho yetu, jee kuna uwezekano wengi wa wabunge, wamepinga...
8 Reactions
8 Replies
1K Views
Mchungaji kiongozi wa Huduma ya HOSSANA LIFE MISSION ameibua tuhuma nzito kwa wanasiasa kuwanunua maaskofu kuhusu mchakato wa katiba. Amesema hayo katika ibada ya Jumapili ya 21 September 2014...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dodoma. Hali imeanza kuwa tete Bunge la Katiba kutokana na ujumbe unaosambazwa kwa kasi katika mitandao ya kijamii, ili kuwagombanisha na kuwafitinisha wajumbe wa kundi la 201 kutoka Zanzibar...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom