KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Swali dogo tu nimejiuliza na nnaombwa kujibiwa wana CDM na wengine wenye ufahamu na hili . Ni kwanini Kilimanjaro "Hai" hakutokeafa maandamano ,haususani ya kisiasa ? ukizingatia mikoa mengibe...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Sikutegemea kama CDM ni maadui wa muungano huu, walau CUF wanajielezaga wenyewe mara nyingi. lakin nawashangaa cdm kukubali sera ambayo wanajua kama itatekelewa muungano hautakuwepo na watz...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Ndugu zangu watanzania chakwanza niaze kwa kuwalaumuwatanzania wote haswa wale wenye upeo mkubwa kidogo kwa kushindwa kusimamiarasilimali pesa zilizo batilishwa na samweli sita na wezake, Sasa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
For the first time Kingunge apendekeza jambo zito kwenye katiba... Yaani kuwe ibara inayozungumzia mwelekeo wa TAIFA kiuchumi... Mzee Kingunge this is what I was missing for so long ... Thank you
4 Reactions
23 Replies
5K Views
Dodoma. Mzimu wa posho umeibuka upya katika Bunge la Katiba, safari hii wajumbe wake wa Kamati ya Uandishi wakiomba walipwe posho maalumu ya Sh500,000 kwa siku kutokana na kazi ya kuandika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Yule jamaa aliyekurupuka wakati jua linakuchwa ni kweli anauchungu na Tanganyika na zaidi kuwa gharama nyingi zinatumika kuibeba Zanzibar na kama haitoshi alidai hata hela ya mishahara ya...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani kumekucha Bungeni, Mheshimiwa Kapten John Komba, ampa makavu laivu Mzee Joseph Warioba na kumfananisha na Mzuka Unaotisha watu na watoto kijijini. Mheshimiwa Komba amesema, matatizo yote...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Dodoma. Kauli ya Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta kwamba fedha ambazo zitakuwa zimeokolewa katika siku 60 za uendeshaji wa Bunge hilo hazitarejeshwa serikalini, bali zitatafutiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna ujinga umeingia Nchini hasa kwa vijana kudai haki bila wajibu. Swali langu kwa waandamanaji ni wangapi waliojitokeza kutowa maoni kwa tume ya Warioba? Je wote wanaoandamani ndyo waliodai...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
MZOZO WA KATIBA: Polisi wavamia ofisi za Chadema wilaya ya Morogoro, yakamata viongozi 5, wadai walikuwa wanajianda kuandamana. Polisi kutoa taarifa mchana huu.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mchango wa Zitto Kabwe kuhusu Sura ya 1 na 6 ya Rasimu ya Katiba Audio na Video ya mchango alioutoa Mhe. Zitto Kabwe katika kikao cha leo Aprili 16, 2014 cha Bunge Maalum na Katiba kilichopokea...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hiyo ni comment ya Nape akijibu hoja ya maandamano yaliyoitishwa na CHADEMA. Nape anatudhihirishia kwamba damu ya Watanzania haina thamani yoyote. Ndiyo maana inakuwa ni rahisi polisi kuagiza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Komba bungeni anasema vurugu zote ni mzee warioba kasabibisha,ameomba BMK wamtolee tamko mzee warioba!komba amejisahau kuwa uhuru wake umeshanunuliwa na Manji baada ya kulipiwa deni la crdb
0 Reactions
25 Replies
5K Views
watanganyika sasa waislam kwa wakristo wote kwa pamoja wamegundua kuwa maadui wao wakubwa ni wazanzibar maana wao wemejiandikia katiba yao vizuri sana bila kuwashilikisha watanganyika sasa iweje...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wafanyabiashara wa mkoa wa Dodoma, wamelaani vikali hatua ya Chadema kufanya maandamano ambayo yameathiri shughuli zao za biashara kutokana na kufungwa kwa maduka na maeneo yao ya biashara...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwaka 1984Mwalimu Nyerere (R.I.P) Alifanya Mabadilio ya Kuingiza Haki za Binadamu Kwenye Katiba ya JMT ilihali li akijua anang'atuka 1985................enzi zw mwalimu ilikua ZIDUMU FIKRA ZA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mahakama Kuu ya Tanzania leo mchana (17.09.2014) imetupilia mbali mapingamizi 4 (Preliminary Objections) yaliyowekwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) katika kesi ya kupinga kuendelea kwa...
4 Reactions
5 Replies
3K Views
Mfumo wa muungano unaong'ang'aniwa na CCM kwamba unafanana na ule wa uk hakika unawaumbua. mara nyingi ccm wamekuwa wakitoa mfano wa uk lakini scotland inataka kujitenga kwa hiyo nasisi tutaishia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Minister for Justice and Constitutional Affairs, Dr Asha Rose Migiro Minister for Justice and Constitutional Affairs Dr Asha Rose Migiro has reiterated the government’s stance not to stop the...
0 Reactions
2 Replies
923 Views
Wengeongeza kipengele kinachotaka uwepo wa ulazima kwa Spika wa Bunge la Tanzania iwe Bunge la kawaida au bunge Maalum apimwe akili ,ili isije ikatokea tunamuona mtu ana akili timamu kumbe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom