KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Wiki iliyopita CCM walikubaliana, kwa kauli moja, kuipotezea Mahakama ya Kadhi na wakaafikiana kwamba wasiongelee suala hilo tena bungeni au mahali popote pale. Lakini kutokana na jeuri ya Samweli...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Leo asubuhi katika misa na ibada za kikriso mkoa wa kilimanjaro umesomwa waraka mkali unaoituhumu serikali na chama cha mapinduzi kwa kuchakachua na kuitupa rasmu ya pili ya katiba ambayo ilikuwa...
6 Reactions
124 Replies
15K Views
Napenda kufahamishwa kama office ya first lady wa Tanzania imetambulika kwenye katiba, kwani huwa mstari wa mbele katika kupigania haki za wanawake na watoto. Huko marekani firstlady ni...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mchakato mzima umehodhiwa na wanasiasa wenye uchu wa madaraka na kila upande una maslahi yake binfsi ndani ya katiba hii mpya! Kwa mtaji huu hakuna uwezekano wowote wa kupata katiba hata mara...
0 Reactions
5 Replies
929 Views
mfuatilieni jamani
0 Reactions
74 Replies
10K Views
Mheshimiwa Kessy atoa taswira halisi ya Muungano. Wazinzibari hawachangii chochote bara. Vipi kuwe na wabunge wao zaidi 86 wanaogharamiwa na bara wao na wake zao. Vile vile amehoji vipi Raisi wa...
8 Reactions
62 Replies
9K Views
Alichokisema Kessy jana kilikuwa cha maana sana. Wakamnyamazisha eti Zanzibar iliachia sovereignty yake kwa Tanzania na kupoteza identity yake. Wanasahau kwamba Tanganyika nayo ilifanya vivyo...
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Kwenye kundi la wanawake wako mama dada, shangazi bibi na mabinti zetu. Hivyo hili ni kundi lenye watu muhimu na makini sana kitaifa. Lakini siiamini kama imefikia hatua ya kuwa na uwakilishi wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Haya ni majanga jamani, eti kesho wabunge wa BMK watakuwa na semina itakayoongozwa na JOHN SHIBUDA na HAMAD RASHID, kweli jamani
1 Reactions
2 Replies
896 Views
Ni wazi mbinu zinazotumiwa na ccm kushinda uchaguzi zinajumuisha utoaji wa rushwa mbalimbali ikiwamo khanga,chumvi. Lakini kwa jinsi mjadala wa katiba ninavyoufatilia ccm wamekuwa siriaz kutaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanganyika ni nchi yangu ya asili, wote kizazi changu waliokwishatangulia waliishi na kuzikwa katika ardhi hii ya babu yangu. Madai ya mamlaka ya Tanganyika haitazimika kamwe; sijui hali itakuwaje...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wana jamvi, Napata ukakasi kidogo wa namna ya upigaji wa kura BMK kwa maana ya 2/3. Ccm wanaongea kwa uhakika kabisa kwamba 2/3 ipo bila wasiwasi wowote. Wakati huo huo inasemekana ni ngumu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Napenda kumtahadharisha na kumsihi mh.Mbowe ajiandae kwa mashambulizi makali kutoka kwa wajummbe wa bunge la katiba wakiongozwa na mwenyekiti wao.Yote hayo itakuwa ni katika kujibu hotuba yako ya...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Katiba ya nchi ni kitu muhimu sana katika nchi yeyote ile duniani. Tanzania tuko katika mchakato wa kupata katiba mpya .Baadhi ya watendaji wakuu na viongozi wa bunge la katiba wanadiriki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
By @Humphrey Polepole Suala la Mahakama ya Kadhi katika Mchakato wa Katiba Mpya - Kolamu - mwananchi.co.tz Mfumo wetu wa Sheria umejengwa kushughulikia mashauri ya kimila na Kiislamu. Kwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
TEC YAWASHANGAA UKAWA Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC), Askofu Severine Niwemugizi, alisema Ukawa walikuwa na kikao cha maridhiano na Rais Kikwete, hivyo...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Kama kichwa cha habari kilivyoonyesha hapo juu, mimi napenda kutoa ukweli wa moyo wangu leo. Nakubali waislam waanzishe mahakama ya kadhi kwa sababu ya umuhimu mkubwa wa uwepo wa mahakama hiyo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kumbe kwa siku moja wasipoingia wanalipwa 450,000/= kudadadeki!
0 Reactions
94 Replies
12K Views
  • Closed
Ukiupenda chukua usipoupemda sepa. Nawashauri waislam kwakuwa mahakama ya kadhi ni ibada waunde jumuiya ndogondogo za waislam ambazo watafanya ibada zao huko na watashitakiana ndoa zao huko na...
9 Reactions
352 Replies
33K Views
Maneno Ukawa Tumaini Letu: yalisikika yakitamkwa na mh. professa Ibrahimu lipumba. Alianza na na salamu Asalam alekum- wakaitikia alekumsalam bwana yesu asifiwe - Ameen Kristu- Tumaini letu. na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom