KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Watanzania wenzangumengi sana yamezungumzwa kuhusu rasimu ila kuna jambo moja lamsingi sana naonawatu wengi wanalipuuza haswa wajumbe bunge maalumu la katiba ni kama pandeyeyote ile ya muungano...
0 Reactions
1 Replies
784 Views
uhusu kujiuzulu kwa Mwanasheria Mkuu wa SMZ Mkutano kati ya waandishi wa habari wa Zanzibar na Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman, uliokuwa ufanyike...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Askofu methodiani Kilaini amewashauri wananchi kuwa bunge la katiba liachwe liishe kama kanuni zilizopo; ingawa kama wataweza kuwashawisi wananchi itakuwa vizuri; sababu pesa zilishatengwa na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ibara na Vifungu Mabadiliko ya Katiba vs Marekebisho ya Katiba Wabunge wa BMK na Wajumbe wa BMK Mgombe Binafsi nna Mgombea Huru Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya WATU wa Zanzibar (kwenye...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Wakuu naomba mnijulishe rasmu iliyoandaliwa na kamati ya uhandishi inasomwa bungeni lini? Nilisikia ni alhamis ila sioni dalili.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Samweli Sita katika jitihada za kuhakikisha 2/3 ina patikana amepanga kutumia simu za mkononi kuwasomea wajumbe watakao kuwa katika Hija Saudi Arabia kuwa somea Rasimu yote na kisha kuwaambia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nianze kwa kuwatakia safari njema watz watakaojaliwa kwenda Hija mwaka huu ili wakazidi kutuombea kwa Mwenyezi Mungu heri na baraka kwa Taifa letu Najiuliza tu Kwa kuwa Hija ni majaliwa...
0 Reactions
2 Replies
863 Views
Habari wadau. Kamati ya uandishi wa Rasimu ya katiba inakaribia kuanza kuandika Rasimu ya katiba baada ya majadiliano ya Bunge la Katiba, kama tunavyojua kuwa Katiba ni Sheria mama hivyo ni muhimu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waziri wa katiba na sheria katoa tamko la serikali juu ya usitishwaji wa BMK kuwa mahakama imeridhia bunge hilo lina uharali wa kisheria na kisiasa kuendelea. Akiongea wabunge walijisheherekesha...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Keshokutwa, Alhamisi ndiyo siku ambayo rasimu ya mwisho inayopendekezwa na Bunge Maalumu la Katiba (BMK), itatolewa hadharani mbele ya Bunge hilo na Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi,Andrew Chenge...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wahurumie masikini wanaokosa hata mlo mmoja kwa siku na wewe unateketeza kodi yao kwa ajili ya tumbo lako na wenzako wenye kila aina ya ulafi na uroho usio na kipimo. Kumbukeni mungu yupo sio kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jopo la Majaji watatu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, leo litaanza kusikiliza kesi ya Kikatiba inayohoji mamlaka ya Bunge Maalum la Katiba. Kesi hiyo ilifunguliwa na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Eti Mheshimiwa, hivi hiyo mipasho huwa ukienda mjengoni unakuwa umeiandaa tayari au inajileta tu yenyewe kulingana na upepo unavyovuma pale Bungeni? Lakini sasa hivi tuondoe hofu kwani nimesikia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hili ni suala nyeti,tunatunga katiba ya muungano, gharama za kutunga zinatakiwa kuchangiwa na tanganyika na zanzibar,je zanzibar imechangia? Tanganyika? Ina maana hata bunge lenyewe lina utata wa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kutoka Gazeti la Mwananchi Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Ally Keissy jana alilazimika kusindikizwa na askari wa Bunge kuondoka katika viwanja vya eneo hili kumnusuru na hasira za wajumbe...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kufuatia bunge la katiba kupingwa kila kona,wajumbe Wa bunge Hilo kwa nyakati tofauti wakizungumza na waandishi wetu, wameanza kuingia hofu ya kufarakanishwa na kutengwa na Jamii na wameanza...
3 Reactions
50 Replies
7K Views
Itasikitisha kweli endapo tutapata katiba mpya bila mchango wa the likes of halima mdee, kafulila, mnyika, tundu lissu na wengineo. Chadema na UKAWA jamani acheni hayo mambo ya serikali tatu...
0 Reactions
7 Replies
968 Views
Hebu wajuzi wa sheria mtusaidie kama ni kweli Rais hana mamlaka ya kulivunja BMK je mamlaka ya kuliahirisha anayapata wapi? na kama Rais huyu alipata mamlaka ya kuanzisha mchakato wa Katiba mpya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mheshimiwa Kessy amepasua jibu kwa kunena ukweli mtupu. Huyu amewawakilisha watanganyika wote wanoililia nchi yao. Ingawa kuna watanganyika wa kuchongwa wanaompinga lakini ukweli huwa haufutwi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndg wana jukwaa hasa wale wenye uelewa na kazi zitakazofanywa na mhimili huu wa haki pamoja na miongozo yake, nilihitaji kueleweshwa kuhusiana na mahakaa hii; Iwapo sikuridhika na maamuzi katika...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom