Binafsi kama mpenda maendeleo. Mimi ningekuwa Mama ningependekeza katiba ya warioba iongezewe vitu vichache tu. Tutengeneze Mtandao ambao raia watatoa maoni yao kwa kuna AI sasa hivi tunazichakata...
Ndugu Wanajamvi
Kwa heshima kubwa naomba nitoe shukrani kwa niaba yangu binafsi, familia yangu na watu wangu wa Kijiweni kwa Ujasiri wa Kuendesha mijadala yenye tija kwa taifa letu bila kujali...
Ni siku nyingine Mwenyezi Mungu ametujalia kuiona, tukiwa wazima wa afya na amani ya kutosha. Mungu ni mwema nyakati zote.
Kama ilivyo kawaida, waona mbali huwa hawaeleweki kwa 'matomaso' na hawa...
Najua unapitia mno huu Mtandao wa JamiiForums na hulali bila Kutusoma Members kadhaa Watukutu ila ni Werevu (Stubborn but Intelligent) Wakiongozwa nami GENTAMYCINE na hata leo pia Umekiri Mwenyewe...
Kwa vile mwenye mamlaka anaelekea kuanza kuruhusu mchakato wa katiba mpya akili yangu inaanza kuelekea kuwaza nini nipendekeze kiwe kwenye katiba mpya. Kwa sasa mapendekezo yangu ni haya machache...
Mapendekezo mahususi kwa nchi yetu Tanzania
1. 2025 Ili mtu agombee ubunge awe na Elimu ya Shahada ya Pili (masters degree)kwenye ubobezi wwte ule.
2. Wakuu wa idara wote kuanzia Kata sifa iwe...
Natamani kujua kwa undani nini hasa kinawndelea juu ya katiba mpya maana kila kukicha tuko pale pale tunab8shana tu kwa kua tunajuana sana. Mimi nadhani katiba mpya itakua chachu pale tu chama...
Nchi inahitaji kuwa na katiba mpya pamoja na tume huru ya uchaguzi, toka miaka ya sitini mpaka Sasa nchi hii haijawahi ongozwa na chama kingine zaidi ya CCM.
Nchi ina mfumo wa vyama vingi vya...
Wabunge 19 wasio na chama na Wabunge 18 waliopita bila kupingwa.
Ibara ya 66; Kutakuwa na aina zifuatazo za wabunge,
1. Wabunge wa kuchaguliwa majimboni.
2. Wabunge wanawake wa viti maalumu.
3...
Ukisikiliza sana hoja za pande mbili zinazokinzana kuhusiana na mchakato wa Katiba Mpya unaweza kuamini kuwa tatizo ni UKAWA au CCM. Naomba kupendekeza kuwa tatizo ambalo tunalishushudia na...
HAPA KAZI TU NA KAZI IENDELEE
HATUTAKI KUFA TUTAMPATAJE!? MCHEZO TUNAUPENDA LAANA ZA KUJIAJIRI WAPO 2 KAMA MILIONI 677... TUTAMPATAJE TUMUANDAE (Katiba Mpya Inaitwaje kwa KABILA LAKO MAANA LABDA...
Wadau nawasalimu,
Katiba Mpya ni kilio cha Watanzania kwa hivi sasa. Tatizo la katiba iliyopo ni la muda mrefu sana, karibia miaka 60 ya Uhuru. Nchi imekuwa na Marais 6 kwa sasa, hakuna Rais...
Ndugu zanguni,
Wabunge karibia 146 wamesusia kikao cha katiba baada ya kuonekana kuwa wale walio wengi wanawabeza na kuwaburuta walio wachache.
Mimi ni CCM damu lakini nimekerwam kuona katiba...
Tunakumbushana tu kwa sababu Watanzania Siyo Wajinga.
Chadema haina nguvu yoyote Zanzibar na kwa sababu hiyo haina ushawishi.
Kura ya maoni kuamua Katiba Mpya Tanzania na Zanzibar zinasimama...
Bunge la Kenya lipo kwenye mjadala wa kufanya mabadiliko makubwa ya Katiba yake kwa kinatajwa na muungano wa Kenya Kwanza ya Rais Ruto kuunganisha taifa, hii ni baada ya mpango wa Rais Kenyatta wa...
Hahaha ni kisa cha kufurahisa wakati huohuo kinasikitisha kwa mda huu najikita katika kufurahisa .. Watanzania wengi wetu tumekua upepo uliokosa mwelekeo kwa kifupi hatujielewi sababu kubwa ni...
Hawa ni maaskofu wawili wa Anglikana, mmoja mstaafu na pia amewahi kuwa kiongozi wa Anglikana Tanzania. Huyu ni Askofu Donald Mtetemela na sasa ni mjumbe wa bunge maalumu la katiba. Askofu...
Suala la kuwakilisha wananchi halipaswi kuhodhiwa na mtu mmoja kwa muda usio na ukomo. Ni vyema katiba mpya ikaweka ukomo wa mtu kuwa mbunge. Haiwezekani mtu alikuwa mbunge au diwani toka enzi za...
Kuna watu wanapiga kelele ya katiba mpya kila kukicha, lakini hawachukui hatua zozote. Wanajitokeza kwa kelele tu, na serikali inasikiliza bila kuchukua hatua yoyote.
Ningependa kuwaambia wale...