KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Baada ya kuona jinsi Mh Sitta anavyo endesha bunge la katiba nimegundua siyo mzalendo kwa nchi yetu, angekuwa mzalendo asinge endelea kusimamia kuliwa fedha za posho za wajumbe wa baraza la katiba...
5 Reactions
8 Replies
4K Views
Wadau, amani iwe kwenu. wakati wa mjadala wa Sura ya Kwanza na ya Sita juu ya Muundo wa Muungano, tumeshuhudia aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Nani atahesabu kura za NDIYO na zile za HAPANA ili umma wa watanzania ujiridhishe kuwa Rasimu imepitishwa au imekwamishwa kwa akidi itakiwayo na Sheria? Hii lazima ijulikane mapema kwakuwa tangu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WAZIRI WA ARDHI NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI PROF. ANNA TIBAIJUKA, AMENG'ARA SANA NDANI YA MJADALA ULIOFANYIKA CHUO KIKUU KIKONGWE TANZANIA UDSM, UKUMBI WA NKURUMA JANA SAA 8 - 12 JION. MDAHALO...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Ameacha kabisa kuchangia kilicho mbele ya BMK,badala yake anapiga vijembe kwa UKAWA,huku akishangiliwa sana.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mapendekezo ya ACT kwenye mabadiliko ya katiba ya sasa. i) Tume ya Uchaguzi iwe huru na ionekane kuwa huru, ii) Kuruhusu mgombea binafsi na wabunge ‘kukatisha kapeti’ bila kupoteza ubunge...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Wana Jamiiforums, Tunaomba yeyote mwenye access na documents za Tume ya Mhe. Warioba aturushie humu ukumbini na sisi tuweze kuzisoma ili wakati wa kupiga kura ya maoni tujue tunapiga kura kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
WAKATI kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) likishinikiza Bunge Maalumu la Katiba lisitishwe haraka iwezekanavyo, Bunge hilo limejiandaa kuwasilisha Katiba inayopendekezwa Septemba 21...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Kuna kila dalidali kuwa katiba itakayopendekezwa itakataliwa katika kura ya maoni kwani licha ya kupingwa na wanasiasa na wanaharati,lakini pia inapingwa na viongozi wa kidini.Kwa maana hiyo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Tumeshuhudia vituko vingi sana kwanza kabla ya kuwa na mawazo ya kuanzisha mchakato wa katiba, wakati wa mijadala ya Bunge la Katiba na tutaona mengi tu baada ya kuahirishwa na kuvunjwa kwa Bunge...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jinsi hali ilivyo na inavoelekea, naona CCM tumepoteza mmoja wa washika kifimbo (Sitta) kwa jinsi alivojipanga kukalia kiti.. Hii ilikuwa ndio turufu yake ambayo tayari ameshaichezea. So sitta...
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Rais ndiye alikuwa mpatanishi katika mazungumzo kati ya UKAWA na TCD kuhusiana na mkwamo wa mchakato wa Katiba mpya yaliomalizika juzi na maamuzi yake kutangazwa jana. Cha kushangaza ni kwamba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Uchu wa madaraka unapopitiliza kwa kujaribu hata kukwepa matakwa ya wananchi wenyewe waliowaweka wanansiasa madarakani, mwisho wake ni aibu. Mh Sitta pamaoja na sifa yake ya "Speed and Standards"...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Kati ya watu wanao heshimika kwenye jamii yetu ni viongozi wa Dini. Lakini viongozi hawa na hasa walioko BMK sidhani kama utendaji wao unaakisi kile waumini wao wanachokitaka. Huo ni wizi na...
0 Reactions
2 Replies
975 Views
Na; Malcom Kazindogo Shaw. Wanajukwaa nianze kwa salamu na kisha kutoa sentensi ya mazingatio. ZINGATIA; Kokote linapotumika neno UKAWA/WAKAWA, inamaanisha chadema kwa kuwa wao ndio vinara...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni baada ya makubaliano ya Rais na TCD. Hatua ya kutafuta katiba mpya imefikia katika kujadili taarifa za kamati 12 zilizoundwa. Kwa wale wajuzi wa masuala ya katiba hii tusaidiane kama kuna...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Katika kuonyesha kuwa wamedhamiria kuendelea na mchakato huo wa katiba,mh.Sitta amesema wajumbe wataanza kupiga kura kupitisha ibara za rasimu ya katiba kuanzia tarehe 26 na kwa wale wajumbe...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba amesema "KWA MSISITIZO, RATIBA ZA VIKAO ZINAENDELEA KAMA ILIVYOPANGWA" kwa mujibu wa siku 60 za nyongeza alizotoa Rais, zitaisha tarehe 4 October. Kwa mawazo...
0 Reactions
49 Replies
7K Views
Tahadhari hiyo imetolewa jioni hii na Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba baada ya Mhe. ABDALAH MTUTURA kutumia maneno makali yaliyotafsiriwa kuwa ni maneno yanayoamsha hisia za Wajumbe wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
CCM hawakuwa na nia ya kuandikwa kwa katiba mpya, kutokana na shinikizo la vya vya uinzani, Raisi Kkwete alijikuta hana namna zaidi ya kuanzisha mchakato wa katiba hiyo mpya. Kwa kutambua kuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom