KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba kijana, Paul Makonda amependekeza Katiba Mpya itambue baraza la vijana la Taifa. Bwana Makonda amesema Taifa halina chombo kinachowaunganisha vijana. Makonda...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bunge maalumu la katiba litakamilisha kazi ya kupigia kura katiba itakayopendekezwa kwa wananchi kabla ya kumalizika kwa muda wake wa kisheria yaani oktoba 02,2014.mwenyekiti wa bunge hilo...
0 Reactions
1 Replies
918 Views
Kwa mujibu wa Mh. Samwel Sita (Mwenyekiti wa BMK) ni kuwa mawasiliano waliyoyafanya baina ya kamati ya uongozi wa BMK na taarifa walizothibitishiwa na kamati ya uandishi ni kuwa BMK litakabidhiwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
UKAWA WAMEDHIHIRISHA HAKUNA WANACHOKIPIGANIA ZAIDI YA MADARAKA Ni mambo matatu tu yaliyowalainisha UKAWA 1.Tume huru ya Uchaguzi 2. Matokeo ya Urais kupingwa Mahakamni Mgombea Binafsi Baada ya JK...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Sijui kilichosemwa mpaka ikafikia kuwa mchakato huo wa Katiba mpya usitishwe hadi baada ya uchaguzi mkuu ,suali ni jee utafutaji huo wa Katiba mpya utaanza ulipofikia au utaanza upya ? Wananchi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
*Msimamo wa UKAWA na Rais Kikwete hauna utengamano wa majadiliano tena. *Kinana, Nape waanza kampeni za kuhairisha mchakato wa Katiba. *Nani abebe lawama za upotevu wa mudana mabilioni ya walipa...
22 Reactions
121 Replies
13K Views
Wote kama tunavyojua bunge la katiba litaahirishwa ili kupisha bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania. Wengi sana wamedai kuwa ukawa wameshinda, na bado kejeli nyingi zinamwendea Sitta eti...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wengi wanalilalamikia Bunge Maalum la Katiba kuwa limeacha kujadili Rasimu ya Warioba na linajadili "Rasimu ya CCM!" Well, tulitegemea basi kesi dhidi ya Bunge Maalum la Katiba ifunguliwe...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa BMK, Mh SITTA anazidi kuchanganya mambo na kujitia upofu, na kuudanganya umma kwa kuendelea kushupaa. Nimemsikia, asubuhi hii akijitamba kwa kuwatangazia wajumbe na Watanzania kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Napendekeza utekelezaji wa adhabu ya kifo utekelezwe ndani ya muda maalumu mara tu baada ya hukumu kutolewa.Hii ni kwasababu maraisi wamekuwa wazito kuidhinisha utekelezaji wa adhabu hii pengine...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Tunawapongeza TCD na mheshimiwa rais kwa kufikia muafaka kuhusu bunge la katiba. Cha kujiuliza, je ilikuwa ni busara kusubiri mpaka mvutano uwe mkubwa ndo tutafute muafaka? Watu mbali mbali...
0 Reactions
0 Replies
749 Views
Tuna endelea mara zote tunapo fikilia dini zetu wakati mwanzo kabla ya wakoloni ismail na john waleo tulikua tukitumia majina asili tena yasiyo na utofauti wa kiimani na baada ya hawa wakoloni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama nilivyowataarifuni jana, kazi ya Kamti 12 za Bunge Maalum la Katiba kutoa taarifa za Kamati zao mbele ya Bunge Maalum la Katiba ilikamilika jana mchana. Leo Bunge hilo linaanza rasmi mijadala...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wajumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TDC) alipokutana nao jana Ikulu ndogo mjini Dodoma. Picha na Ikulu NA WAANDISHI WETU DAR, DODOMA HATIMAYE mvutano...
0 Reactions
24 Replies
17K Views
Ni wazi haitowezekana Tz kupata katiba bora ya wananchi ikiwa ccm itaendelea kushika dola hata miaka 100, makosa yaliyofanyika 2005-2010 watanzania hatutakiwi kuyarudia maana wote tumeona nani...
0 Reactions
0 Replies
877 Views
Nafikiri kuna haja ya kuwafungulia kesi juu ya mambo haya mawili 1) Matumizi mabaya ya madaraka, 2) Matumizi mabaya ya fedha za umma. NB; KATIBA HAIJAPATIKANA KWASABABU YA SERA YA CHAMA...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Toka mwanzo Waziri anayesimamia Wizara ya Katiba na sheria walishasema Tanzania haihitaji katiba mpya na wala haina hela, kitakachofuatia katika aibu hii ya kutopatikana katiba mpya chini ya...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Nafuatilia mjadara wa bunge maalum la katiba juu ya mahakama ya kadhi kutwjwa kwenye katiba. Kuna kitu sijakielewa naomba mnijuze vizuri. Hivi kama mahakama ya kadhi ikianzishwa na kusimamiwa na...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Sijui serekali ilichukua hatua gani katika hili. Hivi kweli nchi hii ina serekali?. Hivi hawa wauwaji wamechukulia hatua yoyote?. Hivi hawa watu waliouwawa hawakuwa watanzania?. Hatakama hawakuwa...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
ila wanaoendelea kutoa mapendekezo sijajua ya kazi gani…???
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom