Wapendwa wazima
Wandugu, hivi ni kweli kwamba iliyokuwa Tume ya kukusanya maoni ya wananchi, TUME YA WARIOBA haikufanya jambo lolote la maana?
Ni kweli kabisa.
Maana tangu nimeanza kufuatilia...
Kukosekana kwa Waziri na pia mwanasheria Mkuu kujiondoa wote wakiwa wanaiwakilisha Zanzibar ,wajumbe walio wengi wameichukulia hali hiyo kama kujitoa kwa Zanzibar katika kutunga Katiba mpya kwani...
Ndugu wapendwa,
Nianze kwa kuwatakieni siku njema ya Jumatatu. Dodoma kumekucha salama kabisa tofauti na siku zingine, leo hali ya hewa ni ya Mawingu, baridi na Manyunyu ya Mvua.
Baada ya salamu...
MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA MHE. SAMUEL SITTA
Hakuna shaka kua hali inavo onekama mbele kiza kitupuuu,
Katiba ni jambo la maridhiano na sio nguvu wala jazba kama anavyo fanya Mh...
Dodoma. Pendekezo la Rasimu ya Katiba kuwa wabunge walau wawe na elimu ya kidato cha nne limetupiliwa mbali na wajumbe wa Bunge Maalumu, baada ya Kamati karibu zote kulikataa.
Kamati hizo...
Katibu wa BMK Bw. Yahaya hamisi amewaambia waandishi wa habari leo kuwa thelusi 2 ya wajumbe wote toka pande mbili za muungano (Tanganyika na Zanzibar) imepatikana.
Source: Televisheni ya...
KIKAO kati ya Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kimeshindwa kupata muafaka baada ya pande hizo mbili kuendelea kuvutana hadi jana jioni...
Kesho tutajua nini hatma ya mchakato wa katiba mbaya wakati rais atakapokutana na umoja wa katiba ya wananchi ukawa.
Tunasubiri kitakacho tokea.
==============
Wenyeviti na Makatibu Wakuu wa...
CCT YAWAKANA VIONGOZI WA DINI BUNGE LA KATIBA Wakati huo huo, katika kile ambacho kinaweza kutafsiriwa kuwa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imelivua nguo Bunge Maalumu la Katiba, ni hatua yake...
HATUA ya kujiondoa kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Othman Masoud Othman katika ujumbe wa Kamati ya Uandishi wa Katiba, huku waziri wake, Abubakar Khamis Bakari akiwa...
Serikali ya Tanganyika imeendelea kupingwa, ambapo wajumbe wa Kamati mbalimbali za Bunge Maalumu la Katiba, wamesema haiwezi kuwa na tija kwa Watanzania. Kamati nyingi kati ya 12 zilizoundwa kwa...
Kwa mujibu wa taarifa ya wawakilishi wa taasisi za dini katika bunge maalum la katiba iliyotolewa kwenye vyombo vya habari,bunge maalum la katiba linajadili rasimu tofauti na iliyopendekezwa na...
ETI Hii katiba inayotungwa BUNGENI sikatiba ya CHAMA KABISA sio KATIBA YA WANANCHI,,kila nikifuatilia Vipengere vya Rasimu niliyonayo na Vipengele vya Rasimu inayotumika bungeni ni TOFAUTI...
Sina cha kuongezea .ila somo hapo kwenye heading linajitosheleza ,Ninachomshauri Mheshimiwa Sitta asiwe mnyonge ,WaTanzania wengi wanaelewa kilichotendeka kwani wengi wao wakilifuatia kwa karibu...
Rasimu ya Katiba yaendelea kuchanwa chanwa na MA CCM baada ya kukataa elimu ya kidato cha nne kwa wabunge. Najiuliza wana fanya hivi ili kuwabeba wakina LUSINDE walioishia darasa la saba au...
Mwishoni mwa mwaka 2010, wakati Jakaya Kikwete, akilihutubia Taifa kupitia vyombo vya habari kuwa anataka Tanzania iwe na katiba mpya, itakayolivusha Taifa hili kwa miaka 50 ijayo, wengi wa...
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini...
Baada ya ubishani wa kisheria ulio dumu kwa muda mrefu mahakamani huku upande wa kubenea ukitaka mahakama kutoa amri ya kusitisha bunge maalum la katiba mpaka kesi ya msingi itakapo sikilizwa...
Shibuda aungana nao, awashambulia UKAWA kwa kususuia Bunge
Kamati za Bunge Maalum la Katiba zinazoendelea kuwasilishwa bungeni, zimetoa taswira ya dhamira ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), ya...
BAADHI ya Kamati za Bunge Maalumu la Katiba zimependekeza Msajili wa Vyama vya Siasa nchini apewe nguvu na Katiba awe na mamlaka ya kufuta chama chochote cha siasa kinachokiuka masharti ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.