KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Wajiweke kwenye nafasi ya mwananchi wa kawaida. Wasijifikirie kama viongozi au labda wataendelea kuwa viongozi milele. Wajiweke kwenye nafasi ya raia wa kawaida halafu baada ya hapo kila...
1 Reactions
2 Replies
754 Views
Watanzania hatujawahi kutengeneza katiba yetu kwa ujumla wetu ila kutengenezewa na kikundi cha watawala wanaojiita sisimu! Lazima tutafute utaratibu wa kupata katiba ya wananchi na si ya kikundi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Timu ya Warioba ilienda kuchukua takwimu kwa wananchi, watu wametoa maoni kulingana na maswali waliyo ulizwa. Mtafiti yeyote hufanyia "analysis" data alizopata field. Sasa kinachofanywa na bunge...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa ubabe,kiburi na dharau za CCM na Samwel Sitta,ipite isipite tutaendelea kudai katiba mpya,maana maoni ya wananchi hayajaheshimiwa. Waache wapitishe katiba ya ccm,akidi...
0 Reactions
1 Replies
713 Views
Kwa hiki kinachofanyika bunge la katiba sasa tumepoteza bure mabilioni yaliyotumika na tume ya katiba Rasimu yao imewekwa pembeni kabisa Chanzo kikubwa ni neno tanganyika tu Wabunge wanaogopa...
0 Reactions
1 Replies
851 Views
JINAMIZII LA MUUNDO wa serikali mbili au tatu limeibuka tena katika Bunge Maalumu la Katiba, baada ya wajumbe wachache kuwapinga wenzao wanaounda maoni ya wengi kwa hatua yao ya kufuta pendekezo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii ni kutokana na mapendekezo ya tume ya Warioba kupingwa kuhusu elimu ya mbunge walau awe kidato cha nne. Wajumbe waliopo dodoma wanataka awe anajua kusoma na kuandika kweli maajabu hayataisha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimeshangaa sana na maamuzi ya baadhi ya kamati za bmk kukataa kipengele kwenye rasimu ya katiba kina chowapa haki na mamlaka wananchi kumfukuza mbunge iwapo atashindwa kutimiza ahadi zake kwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kupitia Star tv habari usiku huu saa mbili.M/kiti wa kundi la Tanzania kwanza (nje ya bunge) linaloundwa na CCM ndg Matefu kasema wamepanga kuandamana ili kumshinikiza balozi wa Ujerumani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA Sisi Wawakilishi wa Jumuiya na Taasisi za Dini...
0 Reactions
0 Replies
852 Views
:cool2:C:\Users\MU42701\Deskto p\IMG_0354.mp4C:\Users\MU42701\Desktop\IMG_0 354.mp4 C:\Users\MU42701\Desktop\IMG_0 354.mp4:cool2:
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Baada ya taarifa za baadhi ya Sura za Rasimu ya Jaji Joseph Sinde Waryoba kuwasilishwa mbele ya Bunge Maalum la Katiba , nimeona nije na tathmini ya Mwenendo mzima wa bunge hilo na hasa baada ya...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Kuanzia Ofisi Ndogo za chama, Lumumba hadi 'White House' kule Dodoma, jambo linalotukabili ni moja tu kwasasa. Ni kupata 2/3 ya kupitisha Rasimu baada ya Taarifa za Kamati na Majadiliano ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya CCM kukataa maoni yote ya wananchi yaliyomo kwenye Katiba Mpya na badala yake kuingiza mambo mapya yanayolenga kuwabeba CCM, viongozi wa dini za kikristo kupitia jumuiya zao walitoa tamko...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Waheshimiwa sauti ya watu wengi ni sauti ya Muumba na kinyume chake ni sauti ya shetani!waheshimiwa mlioko mjengoni mmejigawanya kwa jinsi mnavyojua na kupindua mawazo ya mamilioni ya watu na...
0 Reactions
1 Replies
882 Views
WAJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba kupitia kamati zao, wametofautiana kwa kiasi kikubwa kuhusu nafasi ya Makamu wa Rais, ndani ya muundo wa Muungano wa serikali mbili, unaoungwa mkono na wajumbe...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Dodoma, Hatima ya Bunge Maalumu la Katiba imebaki mikononi mwa Rais Jakaya Kikwete, ambalo limemwandikia barua kiongozi huyo wa nchi kutaka ufafanuzi wa kisheria kuhusu tarehe ya mwisho ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tanzania’s Katiba process dogged by lack of trust, boycotts, wrangling and deceit - Comment - www.theeastafrican.co.ke
0 Reactions
0 Replies
672 Views
Hivi kulikuwa na mantiki gani ya kuundwa tume ya Warioba na kupoteza mabilioni ya fedha za walipa kodi,ilihali yale mambo yaliyopo kwenye rasimu ya tume ya Warioba yananyambuliwa na bunge maalumu...
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa. Kinachoendelea Dodoma kwenye bunge la katiba siyo BUNGE MAALUMU LA KATIBA MPYA! bali ni BUNGE MAALUMU LA MABADILIKO YA 15 YA KATIBA YA MWAKA 1977. Kwa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom