Habari iliyonifanya nishindwe kunywa chai leo ni hii.. 👇👇👇
BUNGE MAALUM LAANZA KUPOKEA MAONI YA KATIBA UPYA.
Na Mwandishi wetu.
Mwenyekiti wa bunge Maalum la Katiba...
Kwanza nianze kwa kusema, ni huzuni na masikitiko kitaifa kwa suala la Mchakato wa Katiba kwa sasa kumilikiwa na wanasiasa pamoja na kuwa msingi wa Katiba ndani ya demokrasia ni makubaliano ya...
Kati ya sababu ambazo ziliifanya tume ya katiba kupendekeza muundo wa muungano wa serikali 3 ni maoni ya wazanzibar kuwa Serikali ya Tanganyika imevaa koti la muungano na hivyo mamlaka yake...
Leo BMK la wana CCM wakati Ngeleja anawasilisha rasimu ya kamati yake wamekubaliana kuwa Rais atangazwe kwa wingi wa kura badala ya kupata zaidi ya 50
Hii ni dalili ya kuwa maji yako shingoni...
Ndugu zangu wana JF, hatimaye nyundo ya kuwasambaratisha UKAWA imechongwa. Nayo ni kuingiza suala la KADHI kwenye katiba mpya. Ukawa mlikuwa na plan B? Kazi kwenu
Dar es Salaam. Kama ilivyo kwa makada wengine wa CCM, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe anaona kuwa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilifanya kosa moja...
Ndugu wadau wangu, siku ya jumatatu tarehe o1 septemba niliweka mada kuwajulisha kuanza kwa Bunge Maalum la Katiba. Niliwaomba sote kwa kadri tunapojaliwa muda tufuatilie tukio hili mhimu na adimu...
Ni kuhusu muda gani hasa umeongezwa kwa BLK kukamilisha kazi yake. Kulingana na gazeti la Mwananchi la leo hii, uongozi wa BLK umeandika barua kwa Rais Kikwete kuomba ufafanuzi wa kisheria juu ya...
MEMBERS of the Constituent Assembly (CA) are proposing a new form of the Union government, with the Zanzibar President becoming one of the two vice-presidents who will be helping the head of state...
WAJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA WAPENDEKEZA SIFA ZA MGOMBEA URAIS
Mwenyekiti wa kamati namba moja ya Bunge Maalumu la Katiba Ummy Mwalimu amelieleza Bunge kuwa Kamati yake imejadili sifa za...
TAMKO KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UAMUZI WA CHAMA CHA SHERIA TANGANYIKA (TLS) KUFUNGUA SHAURI MAHAKAMA KUU KANDA YA DAR ES SALAAM KUOMBA TAMKO LA MAHAKAMA JUU YA USAHIHI WA UWEPO NA MWENENDO WA...
Ni wakati mwengine kwa Bunge Maalum La Katiba kupokea kipigo kingine kwa lile kundi linalounda 201 kuachana na bunge hilo ,kwani viashiria vyote vinaonyesha kuna upinzani mkali sana kutoka kundi...
"Wamo: Lembeli, Kessy, Ester Bulaya"
Chama cha Mapinduzi (CCM),
kimewataka wajumbe wake walioko
katika Bunge Maalum la Katiba,
kutotoa kauli zenye mwelekeo wa
kupinga kuendelea kwa...
Wakati mwingine tukubali ukweli hata kama unauma. Ukiangalia Bunge la Kenya (fuatilia KBC) au Uganda utaona jinsi watu walivyo na nguvu za hoja na mabungeyao yalivyo na msisimko.
Hapa kwetu...
Tunaamini watu waliopewa dhamana ya kufanya maamuzi kwa niaba ya wengine wameshiriki shwa kikamilifu.
Yale majina ya kutuita sisi tunawabaka, wezi wa mapato ya muungano, hatutaki kuyasikia...
Wakuu
Salaam kwenu
Leo CCM wametangaza kupitia vyombo mbalimbali vya habari kuwa wamewaandikia barua wabunge 25 wa CCM waliogoma kuhudhuria vikao vya bunge (waliojiunga na UKAWA)
kujieleza ni...
Nidhahiri kuwa mwenyekiti wa BMK Mh. Samwel Sita amepoteza heshima yake kwakiwango cha hali ya juu sana kutoka na kushindwa kusimamia kanunu na sheria za BMK na badala yake amekuwa akionekana...
Mapendekezo ya wajumbe walio
wengi wa Bunge Maalum la Katiba ya
kufutwa kwa baadhi ya ibara katika
sura ya tatu ya rasimu ya Katiba
iliyopendekezwa na iliyokuwa Tume
ya Mabadiliko ya Katiba...
UBALOZI wa Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani nchini umejitosa katika mjadala wa Bunge la Katiba mpya linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma.
Pamoja na hali hiyo, Ujerumani imekanusha...
Utasikia mara kwa mara shughuli za majadiliano zinasimamishwa kutangaza wageni walio watembelea wabunge kutoka majumbani kwao!
Utasikia, wahashimiwa wabunge, muda wetu haututoshi, lakini kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.