KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Mambo yoooote ni ya tanganyika, sijui nini kinaliongoza bunge hili kufanya pumba hizi
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Baada ya majadiliano ya kamati zote 12 kukamilika na ripoti kuandaliwa LEO bunge litakuwa Live kupitia Tv sosi TBC TAIFA
0 Reactions
17 Replies
2K Views
MAELEZO YA MGOMBEA WA BAVICHA TAIFA FRANCIS BONIFACE MARWA UTANGULIZI Ndugu zangu watanzania, awali ya yote niwashukuru sana, ninyi nyote mtakaobahatika kukutana na huu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jf, Bmk limeendelea kupokea maoni ya wananchi wakati tume ya kupokea maoni chini ya jaji Warioba ilishavunjwa. Sheria ya mabadiliko ya katiba ipo kimya juu ya hili la kuendelea kupokea maoni...
1 Reactions
199 Replies
18K Views
Mlitutangazia kuwa kutakua na maandamano nchi nzima kupinga BMK, sasa mbona kimya? Jamaa wamebakiza siku chache kutoka Dodoma.Hebu fanyeni Fasta fasta tuandamane wandungu.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Taarifa ya Saed Kubenea kuhusu kesi ya kupinga BMK Saed Kubenea akifafanua kitu mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani). TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 30 Agosti 2014 Ndugu...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
*Adai mabilioni yalichangwa kuwapa wajumbe rushwa wasimchague kuingia Nec Kizitto Noya, Mwananchi Uamuzi wa Kamati Kuu ya CCM wa kuwadhibiti kwa mwaka mmoja makada wake sita waliobainika...
0 Reactions
1 Replies
847 Views
Mjumbe wa Bunge la Katiba, Hamad Rashid Mohamed amewataka wajumbe wenzake kufanya utafiti ili kuelewa iwapo ndoa zitakuwa salama watakapoenda katika mfumo wa asilimia 50 kwa 50. Alisema hayo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanasiasa wamechukua nafasi kubwa katika mchakato wa katiba kiasi cha kuhodhi mchakato mzima; 1.Mathalani Rasimu inasema kuwa Waziri asitoke miongoni mwa Wabunge halafu wanaojadili kipengele hiki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Iringa Waraka uliotolewa juzi na Jukwaa la Wakristo Tanzania wakitaka mchakato wa Katiba Mpya usitishwe, jana ulisomwa katika baadhi ya makanisa na sasa utasambazwa katika jumuiya ndogo za...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Bunge Maalum, Samwel Sitta, alisema bunge hilo lina mamlaka makubwa kuliko tume ya Mabadiliko ya Katiba. Amesema hata wajumbe wa bunge hilo wanaoendelea kupitia rasimu hiyo, siyo...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Iringa. Waraka uliotolewa juzi na Jukwaa la Wakristo Tanzania wakitaka mchakato wa Katiba Mpya usitishwe, jana ulisomwa katika baadhi ya makanisa na sasa utasambazwa katika jumuiya ndogo za...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Heshima Zenu Wakuu! Kama heading yangu inavyosema hapo juu... MIMI NI MUUMINI WA SEREKALI TATU...JE WENZANGU NI WAUMINI WA SEREKALI NGAPI? MA-ENTARAHAMWE NADHANI HUU UZI HAUWAHUSU ILA...
0 Reactions
74 Replies
6K Views
Dodoma. Wakati Rais Jakaya Kikwete akikutana na viongozi wa vyama vya siasa vinavyounda Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) ili kuzungumzia mchakato wa Katiba, Jukwaa la Wakristo Tanzania (TCF)...
1 Reactions
46 Replies
7K Views
Kwamba waziri wa katiba na sheria wa Zanzibar hayuko kwenye BMK ni kichekesho. Hiyo katiba mpya inayoandaliwa na ccm huko Dodoma itakuwa na uhalali gani wa kisiasa kutumika Zanzibar ambako...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
wadau ni dhahili ccm wameamua kwa makusudi kuamua kukataa kusikiliza sauti za watanzania wanyonge katika katiba yao. kwa manguvu yao ya madaraka wamejifanya wao ni kama GOLIATI eti kwa kuwaona...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Tanzania Kwanza ambao ni umoja wa muungano wa vyama saba vya siasa ikiwamo CCM katika bunge maalum la katiba Ndugu.Agustino Matefu amesema leo kuwa UKAWA inatumiwa ili kuleta...
0 Reactions
61 Replies
5K Views
Hakuna atakaerudi labda aje kuchukua hela na mwisho aingie mitini si wameamua kura zipigwe mwisho ? Na udikteta wa CCM ndio umezidi kuwaweka ukawa mbali na bunge hilo . Wananchi waliowengi wa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Unaweza kushangazwa na hili lakini ndio ukweli wa mambo ulivyo. Kamati hii yenye wajumbe hawa wawili (Chenge na Dr Migiro) ambayo inaongozwa na Hamad Rashid Mohamed, imekubaliana kuanzishwa kwa...
6 Reactions
28 Replies
4K Views
CCM ni Chama kibaya sana sana na ubaya wao ni wa kuivuruga Nchi. Soma kwa makini na tafakari ni jinsi gani uzembe wa CCM unaweza kupigwa vita kwa pamoja ,wasiachiwe kabisa wafanye watakavyo...
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Back
Top Bottom