KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Dodoma. Hoja kuhusu mgawanyo wa mapato ya muungano imeendelea kulitikisa Bunge Maalumu la Katiba na jana watendaji wakuu wa wizara za fedha wa muungano na Zanzibar pamoja na Gavana wa Benki Kuu ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimefuatilia ile rasimu mpaka nikawa nasisimka maana ilikuwa imeegamia kwa wananchi kwa kiasi kikubwa sana kwa jinsi ilivyokuwa kama isingetupwa wanasiasa wangekoma sio CCM wala CHADEMA. Mfano...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Wazee wa jimbo la biharamulo wamemuomba mbunge wa jimbo la biharamulo magahribi kwa tiketi ya chadema. Kuripoti jimbo la katiba hili kutoeleza migogoro ya ardhi . Wakimtaka kuchangia sura...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Wanajamvi. Wakati wananchi wanahaha kupata mlo wa siku moja kwa taabu,wabunge wa bunge la katiba wanalipwa sh 10,000/(elfu kumi) kwa kikombe kimoja cha chai kwa kila mjumbe. Wanajamvi, Samwel...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Naona hivi ni vituko vya Tanzania... 2010 wapinzani walisema Elimu bora na bure inawezekana Sekondari.... Watawala CCM wakasema haiwezekani! Tena ilani yao wakasisitiza Elimu ya Sekondari...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni pale alipopelekewa maoni na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) akayakataa akidai kwamba eti taasisi hiyo SI YA MUUNGANO! Kwa hiyo Warioba alikusanya maoni huku akijua...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
...jamani me bado sijaelewa hili bunge letu tumezoea kuliona likirushwa live sasa mbona kimya ? Kwa kulingana hali halisi iliyopo.. Juu ya mchakato huu muhimu wananchi tunahaki ya kujua kinacho...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wadau, Nimemsikia mzee Ngwilizi akisema wao wameamua zibaki serikali mbili ila wajue wenzetu wanajichagulia serekali na wana mambo yao wamekuwa wakitubagua hadharani na kutuchagulia rais kamwe...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
CCM imekosa muelekeo wa kweli katika kumkomboa Mtanzania.Miradi ya maendeleo inayofanywa ni tone tu la maendeleo ukilinganisha fedha zinazokopwa kupitia migongo ya watanzania, kodi zinazotozwa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Mweshimiwa Samwel Sitta na BMK kwasababu mumeona maoni ya tume ya Warioba hakutosha. Napendekeza muingize haki ya Watanzania kumiliki Bunduki ya aina yoyote. Nauhakika hili italinda haki zote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
madaraka ya raisi ndio msingi wa vurugu katika nchi nyingi, hebu jiulize kikundi cha watu wakiingia msituni huwa wanatafuta nini? mara nyingi ni kutokana na kuona nafasi nyingi ambazo raisi...
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Mjumbe wa Bunge la Katiba, James Mapalala.PICHA|MAKTABA Mjumbe wa Bunge la Katiba, James Mapalala ametoa siri ya kutokujihusisha na suala la upigaji kura katika kamati yake namba moja kwa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa mujibu ya matakwa ya wajumbe wa bunge maalum la katiba wanaopendekeza uwepo wa serikali mbili, kwamba kuwepo na rais na makamu wawili mmoja kama mgombea mwenza na rais wa Zanzibar awe makamu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
anapinga kupokea maoni kwasasa bungeni wafanyavyo akina sitta
1 Reactions
43 Replies
5K Views
Akihutubia viongozi wa mkoa wa Morogoro leo, JK amesema katiba mpya haitapatikana endapo viongozi wa kisiasa wataendelea kuvutana! Aidha amesema yuko tayari kukutana na viongozi wote wa...
0 Reactions
70 Replies
7K Views
WAZEE wa Mkoa wa Dar es salaam wamewaomba Umoja wa Katiba wa Wananchi (UKAWA) kurudi Bungeni ili kuendelea na mchakato wa majadiliano ya Rasimu ya Katiba Mpya yanayoendelea.- -Wazee hao wamesema...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Mbunge wa Ubungo, John Mnyika Michael Sarungi na Grace Shitundu, Dar es Salaama CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kipo katika hatua za mwisho za maandalizi ya maandamano ya kupinga...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Kamati ya uongozi ya bunge la katiba chini ya Mwenyekiti Samwel Sitta hivi sasa ipo katika mkutano hapa mjini Dodoma kujadili yale yaliyojiri na ushauri uliotolewa na kamati kuu ya CCM iliyoketi...
5 Reactions
84 Replies
10K Views
Hii hoja ya kuipa zanzibar uhuru ili isimezwe ni hoja kongwe tangu enzi ya karume, ninavyomuona sitta anataka kujaza mambo kwenye katiba ya muungano ambayo kimsingi hayakuwa maudhui ya kuungana...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa kuwa BMK wameamua kuvunja sheria ya mabadiliko ya katiba na kuvuruga mchakato wa katiba, na kwa kuwa pamoja na uvurugaji huo bado kuna hatari ya kupatikana katiba mpya mimi naomba tupewe...
0 Reactions
1 Replies
939 Views
Back
Top Bottom